Search results

  1. B

    Jamani hivi huwa naeleweka?

    nakuona kama kichwani hauko sawa vile? sikuelewi na sijui kama nitakuja kukuelewa
  2. B

    Kikwete kwanini hataki kujaza nafasi hizi? hakuna wanaofaa?

    Jk urais umemshinda hilo liko wazi. ccm tuoneeni huruma watanzania tupeni mtu mwingine 2010. huo utaratibu wenu wa kutaka rais atimize vipindi viwili pasipo kuangalia maslahi ya nchi mnatupoteza. Huyu mtu hawezi na mshaurini akubali kupumzika awapishe wengine. atakuwa amejijengea heshima...
  3. B

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    polisi wa Tanzania msitufanye sisi wajinga, kama jery alidai rushwa basi alipaswa kukamatwa na askari wa pccb na siyo polisi wa kova. pingu na miwani ninyi ndiyo mmevitega kwenye gari lake. huyo afisa wa bagamoyo alikuwa anatoa rushwa ili iwe nini wakati watanzania wote tunajua ni fisadi. sasa...
  4. B

    Muhingo Rweyemamu abwaga manyanga New Habari

    Du! sasa Luhingo akiondoka gazeti la Rai ndio litakuwa limekufa kabisa. binafsi nikibahatika kuliona mezani basi nitamsoma luhingo tu . niliacha kulinunua . sasa huyu bwana akiondoka basi tena. labda manyerere arudi free media aendeleee kuwa manyerere maana sasa sijui yupo? mafisadi bwana
  5. B

    Natafuta mkopo binafsi jamani

    Nenda benk zifuatazo NBC,ACB,au Accesses onana na maafisa mikopo . peleka salary slip yako ya miezi mitatu na barua ya mwajiri wako. watakukopesha hata mara kumi ya mshahara wako kwa sharti kwamba mshahara wako wa mwezi upitie kwao. ni rahisi tu
  6. B

    Flaviana Matata amjia juu anayedai kumfikisha alipo

    mi nakumbuka mwanzo Flafiana alichaguliwa kuwa miss University. ni kweli alikuwa mwanafunzi pale udsm lakini sina uhakika na kuhitimu kwake.
  7. B

    Flaviana Matata amjia juu anayedai kumfikisha alipo

    Du! kazi zingine hizi Mungu apishie mbali. kwa hiyo kazi ya dada yetu huko ughaibuni ni kuvaa hivyo viguo.? kweli kiama kimekaribia
  8. B

    Huyu ni nani?

    Balbour Merei navyo jua anamiliki TIOT sina hakika kama ni ya familia au ya kwake, pia inasemekana Mkuu wetu wa majeshi mstaafu Jen. Robrt MBoma ni mwanahisa kwenye hiyo kampuni. pia bwana Merei alikuwa na kesi ya kuibia benki ya Baclays Bank kwa njia ya mtandao sijui ile kesi imeishaje.
  9. B

    Najitambulisha wakubwa baada ya kutoka kifungoni

    unaonekana kama bado unaendelea kula majani.
Back
Top Bottom