Search results

  1. Shark

    Namna ya kujua Square meters za eneo

    Mtaalam umeona shape yoyote kwani kwenye uzi wake? Inawezekana kabisa labda natumia browser ya zaman isiyoonyesha picha, lakin mimi naona bandiko tu.
  2. Shark

    Nilijiona mjanja kumbe mjinga tu, hatimaye leo nimetapeliwa

    Dah, kitambo sana hii kitu Huu utapeli nikiwa na Maza mwaka 1994 maeneo ya Kiwalani walitokeaga jamaa wawili hivi hivi wakataka kumtapeli Maza. Shida ni kua Maza aliona udwanzi kuanza kizunguka nao akiwa na Mimi, hapo nina miaka kama 13 hiv. So kwakua Maza aliona kuanza kuzunguka na mimi...
  3. Shark

    Ni viongozi gani waliaminiwa na JPM na ndani ya miaka mitatu tayari wamemsaliti kwa kauli na matendo?

    Mama akiwa Msaidizi alikubaliana na Jamaa kuhusu kushusha bei ya kuunganishiwa Umeme, lakin jamaa alivyoondoka tu Mama akasema ki uhalisia ile bei ilikua haiwezekaniki.
  4. Shark

    Ifike mahali Watanzania tuache kukubali hadaa na uzushi unaotolewa na akina Evarist Chahali na Kigogo

    Kitu ambacho sina uhakika ni tarehe halisi aliyofariki JPM. Lakini hata hivyo kitu ambacho nina uhakika nacho ni Mabeyo asingeweza tena kutaja tarehe tofauti na iliyotajwa awali hata kama ndio tarehe ya kweli.
  5. Shark

    TAKUKURU isiongozwe na Askari. Inahitaji katiba ya Dkt. Hosea kuifufua

    Hakijawahi kua perfect toka kimeundwa, Yes. But ubutu wa sasa unazidi Kwa mbali ubutu wa zamani. Sasa kimezidi kua butu mno.
  6. Shark

    TAKUKURU isiongozwe na Askari. Inahitaji katiba ya Dkt. Hosea kuifufua

    Zamani kitengo chao Cha operesheni kilikua moto sana yaaan ilikua ushangai wanawategeshea wapenda rushwa zile hela zao za moto maofisini, matrafiki walikua waoga maana mda wowote wananaswa na wale jamaa, ilikua mabosi hawana upendeleo ule kisa ngono maana majamaa walikua siriaz. Cjui wamekumbwa...
  7. Shark

    Msaada wa ushauri kuhusu suala la hili la upimaji wa ardhi

    Nyinyi watu wengine mnaboa sana, hata mnaweza kufanya mtu akajuta kufungua nyuzi zenu. Unasema kiwanja kimepimwa kabisa kwa hiyo kitakua na documents halali (leseni, offer au title deed) kisha unakuja kuzungumzia habari za miguu, kwa hiyo documents za kiwanja zinaonyesha vipimo vya miguu...
  8. Shark

    Namuona mayele ndani ya Simba

    Hata mimi niliwaza hivi hivi. Shida hapa ni mshiko, mchezaji hahami tu hivi hivi kama vile unamuacha demu huyu na kuchukua mwengine. Simba watatakiwa wanunue mkataba wake pale Pyramid. Labda itokee Pyramid wakubali tu hasara kama walivyomtoa Al Ahly Kwa Louis Josee Miquossoine.
  9. Shark

    Angalizo kwa Simba: Jwaneng Gallaxy sio team nyepesi kama mnavodhani

    Nilitaka nianzishe hii mada, umeniwahi. Sio tu kwamba sio timu dhaifu, bali pia nao wana nafasi ya ku qualify pia. Jwaneng wakimfunga Simba, na Asec wakamfunga Wydad atapita Asec na Jwaneng. Matokeo yote mawili yanawezekana sababu Wydad ashawahi kupoteza home against Jwaneng hivyo sio ajabu...
  10. Shark

    Nimeamua kupaki gari nitumie usafiri wa umma

    Kwenda 10km, Kurudi 10km Jumla 20km, Mafuta lita 4, Average= 5km Kwa lita. Gari gan hiyo Mkuu? Unaweza kukuta unalalamikia bei ya mafuta kumbe gari bovu.
  11. Shark

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia mauaji ya Aneth Msuya

    Hakimu anapomuachia mtuhumiwa hua anataja na "grounds“ alizotumia to make such decisions. Yaan vipengele vilivyompa doubt ni vipi. Huyu wa hii kesi alisemaje kwani?
  12. Shark

    Makadirio ya tiles

    110/1.92 = Boksi 57.29, approximately Boksi 58
  13. Shark

    Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

    Sawa, Conclusion?? Kwamba hayupo au?
  14. Shark

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Mmmhh, Somo bado teacher, tunaomba urudie.
  15. Shark

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Nasisitiza Tena, "hata kitanda kikiwa kibovu kunakuwa hakuna shida yoyote". Sio mko kwenye shughuli zenu za "kubovusha" kitanda Watoto au family members wengine wanawasikia.
  16. Shark

    TRIBUTE: Pumzika Lowassa. Kazi umekamilisha, umeacha alama, mwendo umeumaliza. Watanzania wazalendo tutakukumbuka daima-1

    Ha ha ha, Muosha huoshwa dadeki. Ngoja tusubiri part two ya ID Fake
  17. Shark

    Mashimo ya Choo yasiyojaa ni kama yako Over-Charged hivi

    Hata hiyo 1mil still ni nyingi HK. Tofali ni hizo nyembamba ambazo mnazipanga tu bila motar. Kwa wembamba huo pale juu hata halitokula nondo nyingi.
Back
Top Bottom