Post zako zote ni majungu majungu tu, hunaga issues yaani wewe muda wote unaongelea watu tena kwa chuki tu.
Unafanya jukwaa linaloheshimika watu waapuze kusoma.
You are too mean, too childish and irretional at all.
Hata unavyoandika huna utulivu na bando lako unalitumiaje kwa udaku udaku...
Wewe huwezi kuona na hata ukiambiwa katu kuelewa huwezi kwasababu unachuki na huyu bwn. Ongeza chuki, mseme kila thread ufurahi, andika kabisa, mtukane hadi akome. Ila ujue mimi nimechimba madini kwa miaka sasa kijana huyu na mnayoandika hayana mfanano nao.
Kwani Kosa la Nasari ni lipi? Ina maana ukipongeza tu umekua msaliti? Tunahitaji kikombe kingine if this is our thinking.
Thus why Mbowe alishambuliwa sana alipomfagilia JK sometimes back. Niliona mapovu yasomithirika, leo Nasari alaumiwe kwa jambo jingine si hili.
Heche tulia na mwenzio afanye kazi
Ukisoma Takwimu hizo za baraza la taifa la Takwimu (National Bureau of Statistics | Statistics for Development) ni kwamba zaidi ya watanzania milioni 30 ni Vijana.Hawa ndio BAVICHA inabeba matumaini yao yote.
Kati yao Milioni 22 ni vijana na watoto chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.