Search results

  1. Neem tree

    Makonda: Ndoa zote ndani ya mkoa wa Dar es Salaam kusajiliwa

    Swali ni kuwa utabaini vipi kuwa huyu ameoa na huyu hajaoa. Ama kutakuwa na ID kwa wenye ndoa kwenye paji la uso. Na wale wanao ingia dar na kutoka itakuwaje?
  2. Neem tree

    Hatua nne za ukaguzi unaofanywa na CAG kwa mujibu wa Dk.Marcosy Albanie

    Kwa hali hii report ya mwaka ujao si rahisi kuonekana kwa raia wala kupokelewa live. Na sheria pamoja na kanuni zinaweza badilishwa kutoruhusu taarifa hii iwekwe wazi nje ya bunge na sehemu rasmi za serikali
  3. Neem tree

    Ushauri kwa Watanzania: Tumfanye rais Dr. Magufuli atawale milele. Wahubiri demokrasia wao hawana demokrasia.

    Sidhani kama wazo lako liko sawa kwani hapa duniani kuna watu wanamaono tofauti tofauti hivyo tunapaswa kupokezana hicho kijiti ili kuongeza chachu ya maendeleo na sio mtu mmoja kudumu kwenye kiti.
  4. Neem tree

    Uhaba wa samaki

    Nadhani hapo unatakiwa kuweka aina ya samaki maana kuna mikoa ina samaki aina fulani na haina aina fulani. Hivyo jaribu kuweka aina ila mikoa kama Singida Dodoma tabora inauhaba wa samaki fanya utafiti huko pia
  5. Neem tree

    Natafuta mteja wa kuku chotara Sasso

    Kapicha basi tuwaone walivyojaa nyama maana sikuhizi sura hata mbuzi anayo tatizo ni .........
  6. Neem tree

    Usikurupuke pale unapoambiwa kitu fulani kinalipa, tuliza akili kabla ya kufanya maamuzi

    Somo la mwaka hili. Nimekisoma vizuri mleta mada. Asante
  7. Neem tree

    Tamko la Rais kuhusu benki ya walimu kuyumba ni hatari kwa ustawi wa benki

    Sio CWT tu ndio inafanya hivyo. Vipi kuhusu tucta yenyewe inapata wapi michango yake. Hivyo angevisema vyama vyote.
  8. Neem tree

    Msemaji wa Serikali: Rais Magufuli hakukataa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma bali posho za Madiwani

    Uhakiki ukikamilika wataongeza na sasa waziri mwenye dhamana ametangaza kuwa kuna watu 40000 wamegushi umri hivyo uhakiki wa umri ukiisha maslahi yataboreshwa.
  9. Neem tree

    Jaji Warioba: Nchi imepoteza mwelekeo, inaendeshwa na matukio

    Hapo umenena vyema maana kuna dalili za kuhamisha mada moja kwenda nyingine kwa maunufaa fulani ila zote hukinzana kimalengo kati Wawili wanaolumbana.
  10. Neem tree

    Kwanini watumishi tumekaa kimya wakati TUCTA wanachukua michango yetu lakini hawatutetei?

    Jamani wafanyakazi sio kipaumbele ngoja tujenge kwanza viwanda na uchumi ukiimarika wataangaliwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Neem tree

    Nini kimesikika toka watawala wa Afrika tukio la uchaguzi Kenya

    Nafikiri hawajafurahishwa nacho maana ingekuwa ni kushunda uchaguzi wangesha zituma hongera kwa mshindi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Neem tree

    Kaimu Jaji Mkuu wa TZ, pole Prof.

    Ibara ya 74 (12) inasemaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Neem tree

    Nani wa kulaumiwa na kadhia inayoipitia Tanzania?

    Ni mwananchi maana ni ndiye aliyechangua huu utawala usiomjali. Maana kama wananchi wangechagua tofauti kwa wingi hata kama tuhuma zilizopita za kuchakachua zisingekuwa hivi. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Neem tree

    PM Majaliwa: Serikali italipa madeni yote halali ya watumishi

    Kwa wafanyakazi awamu hii ni kama vifaranga kuamini nyonyo kesho. Na kesho yenyewe huwa haifiki. Viongozi wetu wanajua kucheza na kauli zisiozo na timeframe ambazo hamuwezi kuwauliza mbona time waliotupa imekata. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Neem tree

    Serikali ya wanyonge: Wafanyakazi waambiwa hakuna nyongeza; kama mshahara hautoshi wakalime

    Kwa kauli hizi ukizijibu unaweza jikuta unaitwa mchochezi na kulazimishwa kupima vipimo visivyohusika. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Neem tree

    Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    Nadhani kama mtanzania unaweza soma alama za nyakati. Wakati anahutubia moshi aliwasifia sana viongozi wa tucta maana yake lao ni moja wanajua wanachofanya ndio maana akapiga dongo kwa union zingine zinazomsumbua. Ila jk alisoma alama hizo wakati alipotoa kauli za kuudhi kwa wafanyakazi na kura...
  17. Neem tree

    UTUMISHI: Hakuna nyongeza ya msahahara kwa sasa, tamko la Rais bado linafanyiwa kazi

    FKKU nimeipenda maana hakuna namna. Kila kukicha ni matamko na nahisi hakuna Mkubwa wala mdogo katika hii serikali wote ni jamii ya kambale. Maana mkulu kasema mzigo oya oyaa halafu wa chini anasema bado. Duh maajabu ya nchi yetu hayaishi kwa kweli. Post sent using JamiiForums mobile app
  18. Neem tree

    Matokeo ya awamu ya pili ya uhakiki Lini?

    Sasa hivi bado tunaendelea kuhakiki ID za nida na vya kazi. Usijali tukimaliza tutawapa tu ripoti. Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  19. Neem tree

    CCM Washindwa Kuchukua Fomu Kibiti

    Hahahahaaa umenifanya nicheke kwa sauti hadi watu wananishangaaa Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom