Search results

  1. J

    Je, hii ni halali kwa askari wa wanyama pori?

    Zaidi ya ngombe 176 wameuwawa katika pori la KIMISI na askari wa wanyama pori baada ya mmiliki wa ng'ombe hao alipokataa kutoa hongo na kukubali kulipa faini ndipo baadae askari pori hao walipoamua kuwaua hao ng'ombe baada ya kuwaingiza kwenye shimo.
  2. J

    Mkoa wa Singida watajwa kuwa nyuma kielimu.

    Mkuu wa mkoa wa Singida asema mkoa huo uko nyuma kielimu kila mwaka jambo ambalo linampa wasiwasi na kudai kuwa sio kwamba mikoa mingine kama Dar es salaam ina waalimu wazuri bali ni kujituma. Hivyo amesema Singida wanaweza wakiweka bidii katika elimu.
  3. J

    Mwizi aiba dukani usiku na kuondoka na kitita cha pesa

    Usiku wa kuamkia leo, mwizi ameiba dukani kwa NYAMONGO HARDWARE ilioko maeneo ya stendi ya zamani hapa Bunda mjini na kuondoka na shilingi milioni mbili na ushee yaani zaidi ya milioni 2. Huyo mwizi aliingia humu dukani kupita ukumbi wa BUGINGO iliyopakana na duka hilo. Alitoboa bati sehemu...
  4. J

    Steven Wasira na ndoto ya urais 2015

    Huyu Wasira anawaza kugombea urais mwakani. Namsikitikia sana maana jimboni kwake BUNDA anashindwa hata kuitisha mikutano ili aweze kuongea na wanchi kwa kusikiliza kero zao. Yeye anakaa tu huko Bongo na Dom hakumbuki kuwa kuna walompa kura na kumuweka katika hiyo nafasi. Kama Bunda ndo hana mda...
  5. J

    Kwa nini Kunzugu Secondary tu ndio watoe mchango wa chakula?

    Hapa BUNDA mjini kuna shule za sekondary za serikali kama ifuatavyo Kunzugu, Rubana, Dr.Nchimbi, Bunda day, Nyiendo na Sazira. Lakini najiuliza ni kwa nini KUNZUGU SECONDARY tu ndio wanafunzi wanatoa mchango wa chakula kuwa wale shuleni na kutoka shuleni saa kumi na nusu jioni wakati hizo shule...
  6. J

    Je, hii ni halali?

    Nashindwa kuelewa kazi ya mgambo na polisi wa Tanzania. Nauliza hili maana nimeshuhudia mgambo wa BUNDA mjini kutembea na pingu kuwa wanaenda kumkamata mtuhumiwa. Je, hii ni halali? Kama itakuwa halali je, kazi ya polisi itakuwa ipi? Kama sio halali je, kwa nini iwe hivyo?
  7. J

    Hii ndo Bongo

    Wamama wawili walijikuta magari yao yamegongana. Wakashuka kwenye gari wakaanza kutoleana kashfa, hasa yule aliyekuwa na vogue akamtukana sana mwenye Kivitz, japokuwa ndie aliyekuwa na makosa. Mwenye Kivitz akampigia mumewe simu. MAMAKIVITZ: Mume wangu ninatatizo MUME: Jamani niko bizy...
  8. J

    Hii ndo Bongo

    Wamama wawili walijikuta magari yao yamegongana. Wakashuka kwenye gari wakaanza kutoleana kashfa, hasa yule aliyekuwa na vogue akamtukana sana mwenye Kivitz, japokuwa ndie aliyekuwa na makosa. Mwenye Kivitz akampigia mumewe simu. MAMAKIVITZ: Mume wangu ninatatizo MUME: Jamani niko...
  9. J

    Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya hali ni mbaya.

    Wananchi wa wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wako katika hali mbaya kutokana na mafuriko. Kwa taarifa za mkuu wa mkoa Mbeya mh.Abbas Kandoro, amesema mpaka sasa watu 3 wameishafariki kutokana na mafuriko ya maji na wengine wanaendelea kutafutwa. Wakaazi wa Kyela wanasema kuwa mihogo yote imeoza...
  10. J

    22 ways on how to keep a relationship

    1. Build trust 2. Be honest 3. Be faithful 4. Be considerate 5. Respect each other 6. Become best friends 7. Be proud of one another 8. Be there for one another 9. Bear each other's burden 10. Make time for one another 11. Communicate to each other 12. Trust and always pray to God 13. Accept...
  11. J

    Ajali pikipiki na baiskeli BUNDA

    Ajali ya pikipiki na baisikeli imetokea majira ya saa moja jioni eneo la REZA BUNDA MJINI. Nlikuwa katika pitapita zangu kuelekea musoma nikitokea MWANZA na kukuta mkusanyiko mkubwa wa watu na kuhoji ndo nikapata taarifa hizi. Hakuna aliyekufa wala kujeruhiwa bali baisikeli iliharibika vibaya...
  12. J

    Zacharia express yapata ajali

    Basi la Zakaria imepata ajali ikielekea Mwanza leo eneo la Nyanza Road na kuua.
  13. J

    Kabila gani huoa wanawake wengi?

    Habari zenu ndugu zangu. Hivi ni kabila gani hapa Tanzania linaloongoza kwa kuoa wanawake wengi?
  14. J

    Muuaji wa ALBINO Bunda.

    Wana Jf mimi, mimi nashindwa kuelewa maana kuna muuaji wa Albino miaka ya 2011 wilayani Bunda aliyeshitakiwa katika mahakama ya wilayani hapo. Mhusika ni muuzaji maarufu wa magazeti katika stendi ya zamani. Kinachoshangaza ni kwamba, pamoja na ushahidi uliokamilika lakini jamaa kwa sasa yuko tu...
  15. J

    Ndugu lawama jamani.

    Ndugu lawama jamani. Mdogo wangu nimemtafutia kazi na analala kwangu na kula kwangu. Ajabu ni kwamba anamtongoza mpenzi wangu na kumwambia maneno ya uongo hadi mpenzi wangu kuchukia na kusema ni kweli maana aliyemwambia ni mdogo wangu. Kwa kweli mpenzi alibadilika sana na kuanza kukata...
  16. J

    Kisa cha kweli. Mashemeji wengine nuksi tupu

    Baada ya mke wangukunitambulisha yule shemejihisia za mapenzi zikaanzakunishika kwa kasi ya ajabu. Nikajiapiza lazima nihakikishenampata kwa gharama yoyoteile. Shem wangu yule kiukwelikaumbika maana guu guu hipshizoo na kwa upande waucheshi wake mimi sisemi kitu. Basi nikaidaka namba yake...
  17. J

    Askari Polisi Bunda amjeruhi rai.

    Kwa taarifa zilizothibitishwa zinasema kuwa askari polisi aliyekuwa lindo katika BENKI YA TWIGA ilioko katikati ya UKEREWE ROAD na BOMA ROAD ampiga dereva bodaboda kichwani kwa fimbo na kuzimia. Chanzo cha tukio hilo ni kwamba, huyo bodaboda alikuwa anadaiwa sh.1000 tu na jamaa mmoja aitwaye...
  18. J

    Binti atoa mpya kwa mzazi

    Sikiliza huyu binti alivyomjibu baba yake mzazi. Walikuja vijana watatu kumposa binti mmoja. Kijana mmoja alikuwa Tajiri sana.. Kijana wa pili alikuwa Handsome sana... Kijana wa tatu alikuwa maskini sana.. Baba wa msichana akamwambia bintiye, Mwanangu nasaha yangu kwako. Huyu...
  19. J

    Mauaji ya wanawake Butiama

    Haya mauaji ya wanawake Butiama yataisha lini? Wanawake wanauwawa kila leo. Nimrode Mkono asema Tembo akiuwawa na filimbi kupigwa serikali hufuatilia kwa karibu hadi ndege hupaa angani kusaka majangili lakini mauaji ya wanawake Butiama serikali iko kimya haisemi wala kuchukua hatua.
  20. J

    Mkuu wa Wilaya amenikera sana.

    Mkuu wa wilaya Karatu aongelea mafuriko yaliyotokea Karatu hadi kusomba gari la dereva mmoja na hatimaye kunusurika na kupanda mti. Halikadhalika hayo mafuriko yalikwamisha magari ya abiria kwa takribani masaa matano. Kilichonishangaza ni kuona huyo mkuu wa wilaya kuongea kwa kufurahia suala...
Back
Top Bottom