Search results

  1. eucalyptos

    Tatizo la umeme kukatika; Waziri Makamba jipime kama unatosha au kung'atuka

    Shukran kwa kujibu, We are looking forward to seeing you at the site.
  2. eucalyptos

    Tatizo la umeme kukatika; Waziri Makamba jipime kama unatosha au kung'atuka

    TANESCO Habari za kazi? Eneo letu la MARANGU MAUO Karibu na kanisa la KKKT BETHANIA kwa mwenyekiti Estomihi Mongi ambaye namba zake za simu ni 0753716202 Tunaomba msaada wa haraka. Ninaijulisha ofisi yako kuwa tangu mwaka 2018 au kabla tumekuwa tukiripoti katika ofisi ya Tanesco HIMO-Moshi...
  3. eucalyptos

    Electronic Passport hupatikana kwa muda gani?

    Kwa taarifa nilizozipata hii idara kule Rwanda imewahi kutunukiwa tuzo za huduma bora kwa taasisi ya serikali kimataifa kwa mfululizo wa zaidi ya miaka mitatu. Kuna jambo la kujifunza hapo.
  4. eucalyptos

    Mrejesho wa panya wasumbufu

    Kama haujapata tumia ICON, inapatikana maduka ya pembejeo. Ukifika waambie wakuuzie original maana nyingi zilizopo ni fake. Hii inauwa mende, mbu na wadudu wengine wote na hudumu kwa miezi kadhaa hivyo kusaudia kuwaua hata wale wanaozaliwa baadae.
  5. eucalyptos

    SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

    Mashine Za kufulia nguo unazo? Ninaomba kuziona na bei yake kwa size ya 10kg. Automatic na manual.
  6. eucalyptos

    Njoo tujuzane ujuzi wa kutafuta sattelite za chaneli bila kubahatisha

    Habari wakuu! Ninahitaji Supplier and Installer (aliyebobea) wa FTA Satelite Dishes aliyeko Dsm Tz. Please PM me.
  7. eucalyptos

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Habari wakuu! Ninahitaji Supplier and Installer (aliyebobea) wa FTA Satelite Dishes aliyeko Dsm Tz. Please PM me.
  8. eucalyptos

    Maswali 12 kwa kigogo asiyejulikana ‘dili’ Airtel

    Hapa ndiyo kwenye kila kitu
  9. eucalyptos

    Sakata la Airtel na TTCL: TTCL wasema wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa kampuni ya Airtel ni mali yao 100%

    Waandishi wa habari zenye mustakabali wa Taifa kama Jenerali na wengine walipoziandika kwenye magazeti yao mpaka Ile walionekana "siyo raia" Ana wazushi n.k. lakini Leo TTCL and the co wanayo taarifa zile zile wanaonekana wa maana
  10. eucalyptos

    Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata Magari takribani 53 yasiyo na mwenyewe, IGP alaumiwa Mikataba ya Lugumi

    Afadhali kama ameuona uozo kwenye hizo taasisi ila bado majibu ya makontena yaliyopotea, vile vichwa vya treni visivyo na mwenyewe, magari yaliyoingizwa kama nguo za mitumba nk. Walau kila issue ikianzishwa iishie kwenye uwajibishwaji wa wahusika na wenye nchi wapewe taarifa.
  11. eucalyptos

    Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    Nimeona anatajwa kama "KADA WA CHADEMA". Hivi ili uwe KADA wa chama au mfumo fulani unatakiwa kuwa na sifa zipi au ukidhi vigezo gani?
  12. eucalyptos

    Mwanafunzi Humphrey Makundi aliyeripotiwa kupotea, apatikana akiwa amefariki na kuzikwa

    Watakuwa wamefunzwa na "Interhamwe" na ISS. Imenisikitisha sana na inaumiza. Mungu awape nguvu wazazi na ndugu wa marehemu. Serikali ichukue hatua stahiki kwa wahusika wote na ikiwezekana baada ya uthibitisho kuwa yanafanyika mateso ya aina hii kwa vijana wetu kwa muda mrefu, shule itaifishwe na...
  13. eucalyptos

    Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Kwa taarifa chache nilizonazo ni kuwa balozi zetu nyingi hazifanyi kazi zake inavyotakiwa hata raia wakipata shida ama kure-quest chochote huweza kuchukua miaka mingi bila kusikia majibu yoyote toka kwao. Ni kama zipo kwaajili ya mambo fulani fulani machache tu. Nadhani tunahitaji seriousness...
  14. eucalyptos

    Waziri Mkuu wa Canada ajibu barua ya Magufuli kuhusu Bombardier. Asema hawezi kuingilia Mahakama...

    Kasema hawezi kufanya lolote juu ya hiyo case na anaamini mahakama Italeta suluhisho sahihi
  15. eucalyptos

    Rais Magufuli apiga marufuku kufanya biashara kwa kutumia fedha za kigeni

    Tuanze na TRA ambaye ndiye mkusanyaji mkuu.
  16. eucalyptos

    Tecno spark k7 na k9 balaa lingine kutoka tecno

    Bado nayo ni mtoto wa TECNO
  17. eucalyptos

    jinsi ya kudumu na smartphone charger na earphone.

    #1. Unaponunua Simu aina yeyote hakikisha charger na cable unazopewa ni za aina hiyohiyo ya Simu husika (original). #2. Hakikisha hautumii charger au cable Za Simu yako kwa vifaa au Simu nyingine hata kama ni brand hiyohiyo japo model tofauti. #3. Usitumie charger yako kwa cable nyingine kuchaji...
  18. eucalyptos

    Kwanini ajali ya Chacha Wangwe na Lissu madereva wao wote hawakudhurika? ?

    Je, dereva wa marehemu Sokoine Edward pamoja NA wale waamnata wake unawakumbuka au hukuwepo wakati wa tukio ama kusoma historia husika?
Back
Top Bottom