Naomba kuelimishwa juu ya mahesabu ya kukokotoa VAT kwenye mauzo yenu ya umeme wa TANESCO.
Nimeona kuwa TANESCO wanakosea kukokotoa VAT kwenye kiasi anacholipa mteja.
Badala ya kukokotoa VAT kutokana gharama ya umeme alionunua mteja, TANESCO wanakata kwanza VAT halafu inayobaki ndio wanaigawia...
Vitambulisho vya NIDA sio uraia. Hivyo ni vitambulisho kwa ajili ya wakazi wote - wenyeji na wageni. Hata wewe ukienda nchi nyingine, ukapata permit una haki ya kupewa kitambulisho kama vya NIDA. Usijali sana.
Ndivyo wanavyofanya madaktari wetu, ila wanaambulia kulaumiwa na kujeruhiwa.
Wanadai mazingira mazuri ya kazi ili mgonjwa aweze kuhudumiwa vizuri na apone.
Wao pia wana familia zinazohitaji huduma hizi na huduma zingine
Serikali yetu haijui kuwa madaktari wasipokuwa na mazingira mazuri wanaweza...
Kwani hujui magamba wanawatumikia wawekezaji?
MAWASILIANO ni voda, airtel, tigo ... akitoka hapo anaenda kuwafanyia mpango TCRA au TIC
KILIMO KWANZA ni wawekezaji toka magharibi na mashariki, na kuwaunganisha na TIC
MADINI, UTALII ni hivyo hivyo
Shule na vyuo vyetu hakuna anayehangaika navyo...
Hii ina maana gani?
Ina maana faru wameisha kabisa kwenye mbuga zetu? au
Hao faru ni aina nzuri zaidi?
Isije ikawa kama samaki wa ziwa victoria ambao wamemaliza aina za samaki wengine!
Nakuunga mkono. Nashangaa MM anadai kuwa wabara hawajawahi kukataa muungano huu uliopo. Kundi la wabunge wa G55 miaka ile ilikuwa inadai nini? Bora kila nchi iwe na serikali yake ndipo tuwe na serikali ya muungano.
Suala la muungano lingejadiliwa kwa kirefu kama watu wote, bara nza visiwani...
Wanajamii na wataalamu ya mambo ya kimataifa,
Wananchi hawana haki kujua kuhusu mikataba inayosainiwa na viongozi wetu?
Mara kadhaa nimeona picha za viongozi wakisaini mikataba lakini kinachoripotiwa ni mkataba juu ya uhusiano wa kimataifa au mambo mbali mbali.
Mfano halisi ni hii habari...
Nafikiri ushauri wako utamfikia mkulu ili akae kitako na wadau!
ila JF sio punch, ni jukwaa tu kutolea maoni!
Hivi ulikuwa mwanachama wa punch? Maana tulikuwa tukiuliza punch ni nani, kila mtu anasema hajui!
Hoja yako nzuri sana ila hawajaielewa.
Mbunge kuendelea na kazi yake ya zamani wakati anawawakilisha wananchi sio sawa!
Ukiwa mbunge unapaswa kusoma mambo mengi sana ili upate hoja.
Unapaswa kupitia hoja za zamani, hata miaka 20 iliyopita!
Unapaswa kupitia sheria mbalimbali zilizowahi...
Huyo mwanasiasa wa ulaya aliendelea kuwa mchezaji wa timu gani?
Kinachotakiwa ni wabunge na mawaziri kuacha kufanya kazi mbili!
Ubunge/uwaziri na biashara, sio kuacha fani!
Kama anaalikwa na wenzake kwenda kutumbuiza, hiyo haina neno.
Ila kama anaandaa na kutafuta pesa za kuandaa matamasha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.