Search results

  1. A

    ATCL bado sana kwenye Safari za anga

    Halafu wana sera yao fulani ya "ticket refund". Eti huwezi kupata refund mpaka miezi sita ipite ndiyo uanze kufuatilia hiyo refund yako.
  2. A

    Uzito wa Dr. Slaa dhidi ya demokrasia nchini Tanzania

    Ukitaka kujua CDM imekufa na Slaa au laa ruhusu mikutano na mikusanyiko ya siasa. Huwezi kusema mpinzani wako ni kwishme angali unamnyima pumzi.
  3. A

    TANESCO Kilimanjaro kuweni wakweli

    Mimi mwananchi wa kawaida nimesikitshwa na kitendo cha hawa wakuu kulazimisha kununua umeme wa tariff one angali kwa zaidi ya miaka miwili nimekua natumia tariff 4. Kwa zaidi ya miaka 2 umeme wa elfu tano hutumika zaidi ya mwezi. Cha kishanhaza nimeambiwa kuna uhakiki kwa hiyo lazima kwa miezi...
  4. A

    Jengo la Bilioni 46 kujengwa kwa bilioni 10, natanguliza pole kwa watumiaji

    Kama 10bilioni zinatosha kijenga hospital ya mkoa basi kila mkoa tanzania unatakiwa uwe na hospital kwani ni kama bilioni 300.
  5. A

    CV ya Freeman Mbowe hii hapa

    Kwani Tume ya Uchaguzi haijui elimu yake. Waulize walitumia data zipi kumpitisha kama mgombea uraisi 2005.
  6. A

    Hivi Mahakama ni Kisutu tu?

    Soma kijarida cha muundo wa Mahakama
  7. A

    The CITIZEN: 70% ya makusanyo hulipia deni la taifa, 30% uendeshaji serikali na maendeleo

    Mapato ya Serikali siyo makusanyo ya TRA tu, kumbuka kuna uuzaji wa Treasury bonds, kuna mikopo ya ndani na nje, kuna Donor funds, kuna financial aids etc. Kwa hiyo bado tunakopa huku tunalipa deni. Lizaboni rudi shule ukajifunze.
  8. A

    Maswali magumu kuhusu hotuba ya Mh Rais Magufuli UDSM

    Badala ya kujenga msingi bora kwenye elimu ya Msingi na Sekondari anahangaika na vyuo vikuu ambavyo vioo kisheria na vinakaguliwa mara kwa mara. Atatue swala la watoto kumaliza darasa la saba bila kujua KKK - Kusoma Kuandika na Kuhesabu.
  9. A

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Hebu tutajie angalau watu watano uliosoma nao. Tutajie jina la shule yq msingi na sekondari uliyosoma?
  10. A

    Namba hii 0752 733557 inatumika kuibia watu

    Namba tajwa hapo juu inatumika kuwaibia wateja wa vodacom M-Pesa na M-Pawa. Wanapigia wateja na kujifanya ni wawakilishi wa Vodacom, watakupa info zote kukuhusu na pia watakwambia umeshinda zawadi za mpawa Tunaomba muwe makini na tunaomna wahusika wachukue hatua
  11. A

    Startimes Bamaga (Makao makuu) ni matapeli

    Hazipatikani popote pale mpaka kwao tu.
  12. A

    Startimes Bamaga (Makao makuu) ni matapeli

    Wafanyakazi wa Startimes wakiongozwa na dada wa reception na wa idara ya simu ajulikanaye kama Lydia, wanaibia wateja na serikali. Wachina wameweka bei ya vitu vyote pale na tangazo kuwa kila malipo upewe risiti. Lakini cha kushangaza hawa wadada badala ya kuuza betri kwa bei halali ya shilingi...
  13. A

    Halotel, Voda, Airtel, Zantel zapasua mawingu Tigo ovyoo!

    Tigo wameleta mtindo wa kukata salio hata kama hujatumia simu kabisa. Nimeweka 1500 asubuhi, simu ikawa haina chaji, imefika mchana nata kujiunha baada ya kuchaji nakuya nimekata 300, jumatatu ilikiwa hivyo hivyo.
  14. A

    NHC: Hatujamuonea Mbowe

    Hivi kwa nini nyumba nyingi za NHC wapangaji wake wa kudumu ni Wahindi na watu wenye uraia pacha.
  15. A

    Wasifu (CV) ya Mrisho Gambo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

    Stashada kwenda Masters. Kutoka Diploma ya Juu direct to Digrii ya pili
  16. A

    Maoni Ushauri na Mapendekezo kwa mabasi ya mwendo kasi (DART): Nini changamoto, nini umefurahia?

    Mimi nikiwa kama abiria wa DART maomba kuonyeshwa kukerwa kwangu na huduma zenu kwa wiki hii. Kuna mpango mmeanzisha wa kusimama kila kituo hata lama gari limejaa. Mgano sasa hivi nipo kwenye gari namba A-032 kutoka Kimara kwenda Gerezani Dereva lasema kapewa maagizo ya kusimama kila kituo...
  17. A

    Mh. Tundu Lissu, kuwa makini na CHADEMA

    Hivi Dr. Slaa alifukuzwa CHADEMA? Nijuavyo yeye mwenyewe aliamua kuachana namsiasa za vyama baada ya kukosa nafasi ya kugomnea Urais.
  18. A

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Hivi ccm imejenga ofisi ngapi kwa pesa yake na kwenye viwanja vyake
  19. A

    Katiba ya Tanzania hairuhusu mtu yeyote kutukanwa

    Je dikteta ni tusi? Na malofa je?
  20. A

    Kuna wizi mkubwa katika matumizi ya kadi ya mabasi ya mwendo kasi

    Mi natumia kadi yangu siku zote tena napanda mpaka mbezi. Sijawahi kukatwa mara mbili na huwa naweka track ya safari na kabla ya kuongeza salio huwa naomba salio. Halafu ukiscan mara moja mashine ikasoma ukijaribu kuscan tena itakuambia ALREADY VALIDATED" na kukutaka utumie OTHER LANE...
Back
Top Bottom