Search results

  1. GEBA2013

    Mbegu bora ya nyanya

    Nilisimama kulima nyanya kwa muda mrefu, na sasa nataka kurudi kulima nyanya tena. Naombeni msaada wenu ipi mbegu bora ya nyanya kwa sasa na haipigwi na kinyausi.
  2. GEBA2013

    Kilindi: Watu 6000 wapo hatarini kukosa makazi

    Watu zaidi 6ooo wapo hatarini kukosa makazi baada ya waziri wa mali asili kutoa siku tisini bungeni kwa waliovamia msitu wa Bondo Mswaki wilayani Kilindi, waziri hakuchukua taarifa ya uhakika alipewa taarifa ya uongo na mbunge wa Kilindi, Omar Kigua kwamba wapo watu 4oo jambo si kweli. Wapo...
  3. GEBA2013

    Rufaa ya vyeti feki

    Awamu Hi Cyo Ccm Wala Upinzani Wala Bwenyennye Au Makapuku Wote Tunaisoma Namba
  4. GEBA2013

    Renatus Mkinga amuomba Rais Magufuli atakapounda Tume ya ufisadi Bandari na yeye awepo

    Mwanaharakati machachari, Renatus Mkinga, amemuomba Rais John Magufuli kuwa akiunda Tume ya kuchunguza madhaifu pale Bandari anaomba na yeye awepo. Ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza katika Kituo cha Televisheni cha Startv kwenye kipindi cha tuongee. Anasema yeye anajua mengi kuhusu...
  5. GEBA2013

    Tahadhari kwa UKAWA

    Kuna baadhi ya watu wanabeba mabango yaliyoandikwa KASKAZINI IKULU LAZIMA TUENDE, hayo mabango hayana nia njema kwa UKAWA na pia kwa Lowassa. Yapo kwa jili ya kutugawa kwa ukanda na kudiscourage wengne wakanda nyingne. Naomba yadhibitiwe mapema na haraka mno.
  6. GEBA2013

    Zito kabwe tatizo la ufisadi siyo mfumo tatizo ni mtu

    Zito kabwe amesema tatizo la ufisadi nchni cyo tatizo la mfumo ni tatizo la mtu.suala la richmond lichunguzwe ilikubaini nani amehusika kuliko kuacha linaelea alisema zito kabwe...rfa magezeti asabuhi
  7. GEBA2013

    Dr. Slaa atakuwa Karatu tarehe 12 mwezi wa 8

    Dr slaa atakuwa karatu tarehe 12\8.atakuwa na mkutano nawazee wa karatu nabadaye atakuwa na mkutano wa hadhara.mambo atakayezungumzia nipamoja na mambo yanayoendelea ndani ya chama na ukawa kwa ujumla.
  8. GEBA2013

    Mbunge wa Karatu, Israel Natse (CHADEMA) ajitoa kuwania Ubunge

    Mbunge wa Karatu bwana Yohana Natse amejitoa kuwania ubunge.Mpaka sasa hivi waliochukua fomu kwa tiketi ya CHADEMA Karatu ni Wele Qambalo, Sesilia Paresso na Lazaro Titus.
  9. GEBA2013

    Huu uzembe wa upinzani katika siasa za Tanzania hadi lini?

    Wakuu nashndwa kuelewa ni kwann maeneo mengine Tanzania hi haina upinzani? Maeneo kama Tanga Pwani na Morogoro. Mwanzoni nilielewa ni mwamko wa wananchi ktk mikoa husika haupo. Baada ya kutembelea hiyo Mikoa tajwa hapo juu katika shughuli zangu za kawaida niligundua mengi sana katikaa siasa za...
  10. GEBA2013

    Marekani kutoa msaada wa makomandoo wake kupambana na ujangili Tanzania

    Wakuu hyo taarifa nilisikia kwenye gazeti la majira wakati ikisomwa radio free afrika
  11. GEBA2013

    Kakakuona atabiri vurugu mwakani

    Kakaona amatabiri kutokea vurugu mwakani. Chanzo: Magazeti asubuhi RFA.
  12. GEBA2013

    Uzinduzi kampeni za kupinga ndoa za utotoni wafanyika Dar

    Baadhi ya waandishi wa habari na wadau wengine wa habari wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa kampeni maalumu za kitaifa za kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), zilizofanyika jijini Dar es Salaam kampeni hizo zitaendeshwa Mkoani Mara. SERIKALI kupitia Wizara ya...
  13. GEBA2013

    Mauaji Arusha: Dereva wa majaji auawa kwa risasi

    Dereva wa majaji wa mahakama ya EAC auawa kwa risasi na mlinzi baada ya bastola ya mlinzi wa ofisi za jumuiya hiyo kumfyatukia. Polisi yasema ni bahati mbaya. =========== Habari kamili ========== Dereva wa jaji EACJ auawa Dereva wa mmoja wa majaji wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki...
  14. GEBA2013

    Kampuni ya Mobisol

    Wakuu km kuna mtu anajua mawasiliano ya kampuni ya Mobisol Tanga au anayejua ofisi yao Tanga.
  15. GEBA2013

    Nape vs Humphrey Polepole Voice of America

    Nape nauye amesema theluthi 2 ya zanzibar ipo.hakuna tatizo lolote litakolosimamisha bunge maalum la katiba sababu kisheria colum imetimia ila kuna tatizo kisiasa sababu pawe na maridhiano pande 2 hata na hvyo hakuna tatizo sana sababu vyama vilivyotoka ni 3 na vilivyobaki ni i4 kwahyo hakuna...
  16. GEBA2013

    Nnape Nnauye: CCM imebariki mchakato wa katiba mpya uendelee

    Katibu Mwenezi Wa CCM Nape Nnauye amesema kamati kuu imebariki mchakato wa katiba maulum uendelee, alisema hayo wakati anahojiwa na redio ya DW leo mchana. Kuhusu UKAWA Nape amesema hata kama wasipohudhuria vikao haitadhuru chochote sababu colum imetimia, japo kuna athari za kisiasa haidhuru...
  17. GEBA2013

    Walevi wauawa bar na majambazi mkoani Mara

    Watu Wawili Wameuwa Na Kazaa Wajeruhiwa Baada Ya Majambazi Kuvamia Mjini Sirali Kwa Kupiga Risasi Walevi Polisi Yaanza Uchunguzi,,my Take Kwann Hawa Majitu Ya Mara Yanakuwa Makatili Namna Hi,unawaua Walevi C Ungechukua Hela Nakuondoka.Hu Ni Uhalifu Wa Binadamu
  18. GEBA2013

    Wakulima wa ufuta Songea

    Kwa wakulima wa ufuta naombeni mnisaidie jambo moja ni aina gani ya mbegu mnayotumia huku kwenu Namtumbo? Naombeni msaada katika hili wadau.
  19. GEBA2013

    serikali yanyanganya ekari 20alfu kutoka kwa wananchi nakuwapa wawekezaji

    serikali imenyanganya kwa nguvu ekari 20alfu na kuwapa wawekezaji.hi habari nimeiona itv taarifa ya habari.kwakweli imenisikitisha sna jinsi afisa ardhi wa mvomero alivyotoa ufafanuzi,alisema "km huna lease huna mamlaka ya kumiliki ardhi,ardhi ni mali ya serikali"hakuishia hapo alipouliza kuhusu...
  20. GEBA2013

    Deo Filikunjombe: CCM kinatumia wingi wao ndani ya bunge maalum la katiba

    Deo Filukunjombe Amesema Ccm Wanatumia Uwing Wao Kwnye Bunge Maalum Ya Katiba,kitendo Hicho Ni Hatari Napia Kinaweza Athiri Upatikanaji Wa Katiba Mpya. Amesema C Jambo Njema Kundi Lingne Wako Nje Wengne Wako Ndani,katiba Ni Yetu Sote Malumbano Yanini?Tupate Kwanza Muafaka Na Ukawa Ndyo...
Back
Top Bottom