Mwandishi: Siku 7 zimepita, je kodi imelipwa?
Magufuli: Kamuulize commissioner wa kodi...
Kwani nani alotoa siku 7??????????????????????????????????????????????????
Hii nchi ya ajabu sana, watu wanang'ang'ania Coco beach, why?? Utakuta watu wanatoka Kigamboni, Mbagala, Mbezi Beach....., na huko wanapotoka kuna beach nzuri na safi tu, kwa nini wasiende huko? Hawa ndio wanasababisha msongamano, wizi, ukahaba mjini
Ukikaa nje sana, unapata ugonjwa mbaya sana, mimi niliwahi kukaa nje sana, ikawa kila nikija Bongo
nakuwa najisikia kusafiri na kuondoka, kwa kweli mkwere atahitaji maombezi ili aondokane na huu ugonjwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.