Search results

  1. T

    Ramani ya vyumba viwili, kimoja master, jiko, sebule na public toilet kwa 5000 tu

    Wakuu habari za hapa,ninauza ramani ya kuanzia maisha ,ramani ya vyumba viwili,KIMOJA master,jiko,sebule, choo cha public. Ramani hiyo Ina kurasa za paa,msingi,muonekano,na vipimo vyake. Kwa mawasiliano nichek inbox. NB: NAUZA KWA SABABU MIMI MWENYEWE NIMENUNUA,NDIO AMBAYO NIMEJENGA.
  2. T

    Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza automatic school result ya excel

    wakuu naomba msaada namna ya KUTENGENEZA AUTOMATIC templete ya matokeo ya shule ya msingi....yaani niwe naweka tu majina na matokeo, template yenyewe iwe inanitafutia jumla,wastani, daraja na nafasi.....automatic.....msaada wakuuuu
  3. T

    Ushauri kwa Yanga: Siku ya Simba tuvae kitambaa cha captain begani, kutambua mchango wa Mwamunyeto

    Wakuu heshima kwenu, naomba kutoa wazo kwa uongozi wa YANGA, kuwa Jumapili mechi ya Simba na YANGA wanayanga wote wavae KITAMBAA begani wakiaanisha KUTAMBUA MCHANGO WA kapten wetu Bakari Nondo Mwamunyeto. Yaani iwe Mwamunyeto day walio karibu na uongozi tufikishieni hilo
  4. T

    Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea. Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
  5. T

    Namna ya kujenga nyumba kimasihara

    Wakuu heshima kwenye, Naamini mmestuka kidogo mkajua Uzi huu unafanana na Uzi wa Rikboy... hapana, hapa namaanisha NAMNA gani tunaweza kupata cement, nondo, tiles, mabati, fundi wa bei rahisi Ila anakazi nzurna vifaa vingine. Kumbuka unapochangia zingatia kutoka location, na gharama...
  6. T

    KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

    wadau nauliza aliyewahi kupata kaz serikalin kwa koz hiyo je yupo? na je ni ofisi gan au wizara gan? mtu anawez kupata kaz kupitia kozi hiyo. asante
  7. T

    MWALIMU WA CHEKE CHEA( AWALI) ANAHITAJIKA

    mwalimu anahitajika mwenye sifa kuu zifuatazo *elimu ya cheti au diploma *awe na uwezo wa kuwafundisha matukio watoto ya kwenye mahafari( garaduation) *awe na uwezo wa kufundisha masom ya baby mpaka pre unity *mshahara ni maelewano *simu 0686138399 *eneo ni dar- kinondon- kata ya kawe.
  8. T

    Msaada wa mawazo: Nakopi wazo la Q-Beans kuuza maharagwe ya kuchemsha

    Habar wakuu, Kwanza nikiri kuwa nepata wazo la kufanya hii biashara ya maharage ya kuchemsha kutoka humu humu kwa MSELA Q Beans, Ila sio dhambi, msela nimemtafuta kwa number yake ile ya watsap aliyoitoa lakini haipatikani. Nimecheki inbox hajajibu, huenda Yuko bize, najua akiwa online...
  9. T

    Mwalimu/Mlezi wa Day Care center anahitajika

    Habari! Mwalimu /mlezi anahitajika Shule: Tiger Day Care Wapi: Dar- kinondoni-kawe Sifa: Awe amesomea uwalimu/ au malezi , awe anajua kingereza vizuri na nyimbo nyingi za watoto, upendo kwa watoto. Jinsia: Awe wa kiume au kike ,umri awe kijana Sharti: Awe anaongea kingereza muda wote...
  10. T

    Paving blocks zimefubaa mno. Je, nitumie rangi gani ziwe mpya?

    Wakuu naombeni ushauri wenu nitumie mbinnu gani zirud kuwa mpya?
  11. T

    Vijana wanahitajika kwa ajili usambazaji wa Ubuyu

    Mambo vip wakuu Kuna project inataka kuanza wiki ijayo inahusu kusambaza ubuyu wa jumla na rejareja mtaani. Kwa ambaye Hana ramani, ramani ndio hiyo hapo. Unapewa target ya mzigo, ukiisha unalipwa kamisheni ya 10,000, so wewe Tu na juhudi yako. Project hii tutatumia gari kuzunguka mitaani na...
  12. T

    Nina Noah, ni biashara gani niweze kufanya?

    Habar wakuu, kuna gari Aina ya noah zile za zamani, Sasa najiuliza ni biashara gani niweze kufanya ili niweze kupata pesa kwa kutumia hii gari... Kumbuka kwa usafiri kwa hapa Dar es salaam imekatazwa...naombeni mawazo yenu wakuu, na mungu atawabariki.., au kama kuna connection yoyote ile ya...
  13. T

    Muda muafaka wa kuanzisha tovuti ya ongea na Rais Samia

    Habari wakuu, Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake. Hii itasaidia kubaini tatendaji wabovu,manyanyaso na uonevu katika jamii moja kwa moja, tovuti hiyo ikishakusanya maoni, awepo mtu...
  14. T

    Shamba linahitajika, kuanzia heka au zaidi. Maeneo ya Kibaha hadi Mlandizi

    Wakuu habari zenu. Mwenye ndugu au babu yake kama anauza shamba kuanzia heka moja au zaidi lakini liwe barabarani au isizidi kama moja kutoka barabarani. Maeneo yanayohitajika ni kuanzia Kibaha Hadi MLANDIZI, weka offer hapaa, itapendeza.
  15. T

    Msaada ndugu zangu: Chimbo la ubuyu ule unaouzwa Kariakoo

    Wakuu habari za muda huu,ni wapi naweza pata chimbo la ubuyu huu uliopikwa kabisa, wanaouza pale Kariakoo sokoni, ule sio ubuyu wa babu ISSA, Ila ukiwauliza wanasema ubuyu wa babu ISSA. Nimejaribu kwenda kuwauliza wanapochukua, lakini wamegoma kusema ,Ila wanataka wao ndio wakuuzie jumla. So...
  16. T

    Bei za Sikukuu: Kitanda 5*6 na bed sides zake

    Napatikana Dar Wilaya ya kinondoni, kata ya Kawe, kwa mawasiliano 0625959542. Unapata kitanda cha 5*6 na bed side zake mbili....wahi kabla ya offer haijapita.bei ni 250000 fixed. Karibu sana.
  17. T

    Nauza vitanda na bed side zake....Bei nafuu

    Habar, tunauza vitanda na bedside zake kwa kila kitanda ......ni vitanda vilivyotumia mbao ngumu. Bei: 380000 - 350000 kwa kila kimmoja wapi : kawe ukwamani. Simu : 0757994417 au 0625 959542. Usafiri: utajitegemea Je naweza kuwekeza? Ndio unaweza kuwekeza kidogo kidogo mpaka unamaliza deni. Je...
  18. T

    Ukisikiliza press ya Mbowe na ukisikiliza press ya Mdee pana Igizo la Kanumba

    Wakuu heshima kwenu...ukisikiliza press ya mbowe na ukisikiliza press ya Mdee hapa pana igizo la kanumba. Nahiisi michezo umechezwa hivii Mbowe amebariki majina kimya kimya au Kamati Kuu imepitisha hayo majina kimya kimya wakayapeleka NEC kwa mujibu wa press ya NEC. Sasa CHADEMA itaonekanaje...
  19. T

    Amkeni, wamefungua mtandao wa internet

    Wakuu amkeniiii, mtandao wameachia. wastue Wana na Wana wawastue Wana. mwendo wa kuchati na kupigaa pesaa au kwa wale wa jagd plaza wanasema kudownload pesa hahahaa. Unashangaa nini uzi tayari.
  20. T

    Naombeni ushauri, nataka nianze ujenzi

    Wakuu heshima kwenu! Ninakiwanja mkoa wa pwani maeneo karibu na halimashauri, ukubwa wa kiwanja no sq 600, sasa usawa wa magu ni mgumu,ila kujenga kunahitajika......nimeenda kuuliza wadau maeneo hayo wakanipa point zifuatazo Mchanga unaweza kuchukua kwa Bibi Fulani kwa gharama 15000, kwa ndoo...
Back
Top Bottom