Search results

  1. NI MTAZAMO TU

    Ushauri kwa Waziri wa Maji; Mgao wa maji uwe wa haki na usawa

    NDUGU Waziri wa Maji, tunajua kazi yako ilivyo tukuka sana tangia Baba Magu hata Mama Samia,na sisi wote ni Mashahidi.na nichelee kusema unajenga heshima kubwa sana kwa mama SAMIA kwa kazi yako nzuri. Ndio tunajua hali sio nzuri sana MAJI KWA KIPINDI HIKI, haswa Ruvu chini kutokana na chanzo...
  2. NI MTAZAMO TU

    Toa mchungaji ingiza Askofu

    Wananchi wameamua pakubwa sana ,wakaona wafanye juu chini waongeze nguvu ya maombi na upako mjengoni maana kusutana na vijembe viitawala sana Bunge lilopita. Watanzania walimtegemea na Mch Msigwa naye akawa bize kujenga chama akasahau kiliombea Mbunge, wananchi wakaona walifanya makosa makubwa...
  3. NI MTAZAMO TU

    Halmashauri iliyotoa lessen kwa Wakala wa Cement Ubungo

    Kilichowakuta wafanya biashara na wachuuzi wa CEMENT pale DEPOT ya Ubungo, kimenikumbusha enzi za UKOLONI kabisa. Kisa chenyewe kiko hivi: Wajasili ya mali ,wachuuzi na wasakatonge kwa njia ya Uuzaji wa cement wamefika pale DEPOT kuanzia saa 9 alfajiri wakiwa na lengo la kuwahi namba ili wapate...
  4. NI MTAZAMO TU

    Uchaguzi 2020 Baada ya kufuatilia kwa muda huu mfupi, jamaa wamekuja na hizi

    Hii ndo tafsiri ya CHADEMA kuwekeza katika maendeleo ya watu na sio Vitu:- 1. Kuuza ndege zote zilizonunuliwa na Magufuli. 2. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa SGR 3. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Rufiji 4. Kuruhusu Uvuvi haramu. 5. Kuruhusu Uchungaji wa Mifugo kwenye hifadhi. 6...
  5. NI MTAZAMO TU

    Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

    MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADDAFI 1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote 2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba. 3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake...
  6. NI MTAZAMO TU

    Wazazi wenzangu tuchague shule bora

    Siku chache zilizopita darasa la saba wamemaliza mitihani yao mwisho. Hongereni watoto wote na pia wazazi na walimu. Hongera kubwa kwa jamii yote iliyowapa nafasi watoto kusoma kwa utulivu. Wazazi wengi watakuwa busy kutafuta shule zenye majina makubwa na zenye ufaulu mkubwa. Ni jambo jema sana...
  7. NI MTAZAMO TU

    Mama ndalichako ona hii

    Nimekuwa nikijiuliza sana ,Watt wetu wamemaliza minihani ya form 4 mwaka jana mwezi wa 11 na mpaka sasa ni miezi nane wapo majumbani wakisubiri kupangiwa SHULE zao. Hivi si hatari kweli kwa kizazi hili Cha nyoka, na hata Material za shule zilisha watoka vichwani huku wakingoja kupangiwa shule...
  8. NI MTAZAMO TU

    Makonda azua balaa kitaa

    Baada ya kutangaza vinywaji vyote nusu bei kwa masaa sita watu hawakulala kutafuta fulsa Nashuri siku nyingine aseme mchele na unga nusu bei maana si kwa kujimwagia huku Sent using Jamii Forums mobile app
  9. NI MTAZAMO TU

    Leo nimetimiza miaka 5 kwenye hiki chama

    Kipindi kile cha Ulokole kwenye makanisa yetu tulikuwa tunajisifia NA kuulizana "mwenzanu unamiaka mingapi mpka sasa kwenye WOKOVU" Na ilikuwa ni sifa kubwa kushirikishwa kwenye vikao vya wakubwa kama ungalau unamiaka 4 kwenye WOKOVU bila kuangaka (kufanya dhambi) na wengine chini ya miaka 4...
  10. NI MTAZAMO TU

    Hii TBS INAWAHUSU

    Hodi Wadau humu ndani. Nimepita kwa mpika chips mmoja nikakuta anaweka mafuta ya kula kwenye chombo ya kukaangia chips, nikamuuiza kiongoz umeangalia EXPARE DATE akasema hapana, kuja kuangalia nikakuta Prod Jan 2019 EXP December 2019 . Hivi hawa TBs huwa hawafuatalii hizi bidhaa jaman...maana...
  11. NI MTAZAMO TU

    Muswada wa makosa ya barabarani kosa moja 3m

    Wakuu humu kwa yyte mwenye huu mswada wa makosa ya barabarani tunaomba atuwekee humu ili tuusome, maana tunaambiwa kutokujua sharia hakukufanyi sheria hiyo kutokukubana kisheria. Na Sisi na Vigari vyetu tusijejikuta tunandikiwa na kuishia kulalamikia Traffic wakati ni wajibu wetu kuusoma...
  12. NI MTAZAMO TU

    Mabwawa ya samaki kila wilaya

    Msaidizi wa Asikofu Malasusa: ameongea kitu cha mbolea sana katika watumishi wote walioalikwa na muheshimiwa Rais leo , Mvua nyingi sana zinazonyesha nchi hii tungeweka BWAWA KUBWA KILA WILAYA na kuvuna maji kila mvua inaponyesha nchi hii ingekuwa NOMA SANA ktk ukanda huu wa mashariki...
  13. NI MTAZAMO TU

    Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

    Nimependa mtoa maoni mmoja wa Facebook alivyo wapongeza Askari wetu na kumwagia sifa nyingi kwa kazi wanayoifanya yanapotokea majanga na ikiwa wakati wa Aman hudharauliwa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. NI MTAZAMO TU

    Neno mapangaboy ya Magufuli mbona silisikii tena? Imekuaje likapotea mapema hivi?

    Ijapo najua hii itakuwa sio mada furahishi sana humu kuichangia nilitaka kujua tu,ila hili neno(Mapangaboy) lilikuwa na Tani za kutosha kipindi kile Magufuli alipoleta ndege mbili za kwanza. Na sasa silisikii tena huku nini kimetokea na mbona neno hili limemaliza haraka hivi umaanarufu wake...
  15. NI MTAZAMO TU

    Nimegundua Trafik wanakula hela nyingi za dereva kwa kutokujua sheria

    Leo nimepita zangu na kigari changu maeneo ya Kariakoo, atii nipo kule Barabara ya Lung'ombe na sikukuu street mara nikakamatwa na Traffic sijafunga mkanda. Nikamuuliza haujui kuwa katikati ya mji kama hapa sipaswi kufunga mkanda ili ukitokea moto niweze kujiokoa..etii sheria hiyo umesoma wapi...
  16. NI MTAZAMO TU

    Demokrasia sasa ihamie Bugeni

    "aliposimama hapa kazungumzia Demokrasia,(mpinzani) sijui demokrasia gani anataka, tumekaa hapa CCM, CHADEMA na CUF, ameitwa kwenye mkutano ambao Rais ni Mwenyekiti wa CCM anazungumza, sijui anataka demokrasia gani, demoktasia sio fujo" "Tungekuwa wabaya sisi CCM, tusingeweka hii barabara Dar...
  17. NI MTAZAMO TU

    Atii Changudoa kanifunania leo

    Asubuhi sana ya Jana nimeona nimkimbize mother ubungo mkoa akamate Basi za mbeya. Nikiwa pale ubungo nasubir kukunja kuelekea stand, ghafla nikaona Changu mmoja akiwa kwenye Daladala ya Tabata Mwenge,kitambo tu nilipumzika naye kutoka Bar moja pale Liverside.. Atii nipo na mama na ccta yangu...
  18. NI MTAZAMO TU

    Bei ya Dar to Dom 20,000 km 400 bei ya Dar to Zanzibar 25 km 25

    Hivi sumatra hawajaliona hili, haiwezekan kwenye maji kukawa na bei kubwa sana mwendo wa saa 1.30 na Dom mwendo wa saa 9 mpka 10 Naomba kujuzwa tofauti yake au huwa wanaangalia nini, maana mafuta ni yale yale tu
  19. NI MTAZAMO TU

    Kuna mafundisho kuhusu dhambi kweli kwenye mwamko wa makanisa mapya

    Habari wa ndugu, Nina mwanangu wa miaka 9 -10, akiwa yeye na bibi yake wanapenda sana kwenda kwenye kanisa moja la KIROHO pale Mwenge ila cha kushangaza Jana kaja kaniuliza "atii Baba nasikia neno dhambi kwani dhambi ni kufanya nini " nilipata mshtuko Kuwa inawezekana siku hizi makanisa haya...
  20. NI MTAZAMO TU

    Wabeba unga wa wakati ule maarufu 'Mapunda' ndio Mashoga wa wakati huu

    Wakuu nimetafakari kwa kina juu ya hili janga la Ushoga tz kuhusisha watu nisio wategemea kabisa. Mtazamo wangu sasa ni hivi!, Kuna kipidi kuliibuka sana vijana wetu wengi kubebeshwa unga kupeleka nchi za mbali au kuleta UNGA hapa tz, na wakapachikwa jina la PUNDA wa unga. Sasa PUNDA huyu wa...
Back
Top Bottom