Search results

  1. Anfaal

    The 10 worst books ever written

    thanks umeniongezea terminology leo writed
  2. Anfaal

    Nyumba ndogo!

    kwenye hii thread tayari kuna wanawake watatu. Nyumba kubwa knows alot about family issues na anaamini kwenye subira na communications kutatua matatizo, bab girl ni mdogo asiye na ujuzi wa yoyote yatokeayo kwenye ndoa too hypothetical kuliko uhalisia, Pretty yeye mh anaweza kulianzisha ndoa...
  3. Anfaal

    Hivi ni sheria kwa mashirika ya ndege kutumia" US dola" kukata tiketi

    Nadhani kuna concept nyingine hapa haieleweki. Hapo hawakwepi fluctuation ya currency tu bali pia wanaangalia kwamba wakiwaambiwa mtoe kwa Tshs inamaana wakiwa wanafanya reptriation ya pesa zao itabidi kwanza wabadili kwenye USD then wakifika huko kwenye Rand. Hapo ni hasara kubwa kutokana na...
  4. Anfaal

    Hivi ni sheria kwa mashirika ya ndege kutumia" US dola" kukata tiketi

    oh bahati mbaya sipo kwa hao agents. Mie napenda saana international business kuanzia currency, bonds na stock markets na performance ya countries pamoja individual companies. Kubwa hasa huwa sisahau theories na kuangalia kwenye uhalisia. Mie ni Mtanzania hasa na niliyependa nisafiri lkn sasa hv...
  5. Anfaal

    Nyumba mpya inapangishwa

    Inaweza kuwa quick turnover lakini si profit. Mkuu wewe ofisi zako zipo wapi? Upo registered?
  6. Anfaal

    Hivi ni sheria kwa mashirika ya ndege kutumia" US dola" kukata tiketi

    well inayosukuma kupanda bei si dola peke yake. Kuna mafuta nk. Ni kweli mafuta sasa hv yamepungua lakini sasa hivi ndio majira ya utalii. Kuna nchi nilikuwepo kwakweli kusafiri miezi ya June-August basi iwe lazima kweli. Kwahiyo huu msimu sio wenyewe demand ni kubwa saana kwa airticket na ndio...
  7. Anfaal

    Hivi ni sheria kwa mashirika ya ndege kutumia" US dola" kukata tiketi

    Thanks kwa angalizo. Lakini ngoja nikukumbushe kuwa currency zinaweza kuwa fixed and floating. China wao ni fixed ingawa huwa wanaadjust mara moja moja. Sina hakika na Hong Kong but I think ni floating lakini ni mji ambao ni hub kwa international business na wana financial market za kueleweka na...
  8. Anfaal

    Hivi ni sheria kwa mashirika ya ndege kutumia" US dola" kukata tiketi

    tatizo lipo wazi saana. Pesa yetu haiko stable kila siku inabadilika. Ndani ya mwaka huu peke yake imefluctuate karibu 15%. Sasa nani anaweza kucheza na currency ya hivyo? Pia pesa yetu haitumiki sehem nyingi, ipo very localised kwahiyo hakuna futures au forward contracts kutokana na mfumo wa...
  9. Anfaal

    Bingo!

    Kwanini huwa tunakurupukia vitu hivi? Hivi zile tiketi zilikuwa kiasi gani? Yupo hata mmoja hapa aliyewahi kupata hata senti tano?
  10. Anfaal

    Bingo!

    Leo nimekumbuka ule mchezo wa Jackpot Bingo uliokuwa unaendeshwa na ITV. Mchezo ule ulimnufaisha saana bwana Mengi kutokana na ugeni wake na uelewa wa wachezaji! Katika hali ya kawaida, hivi nani tena anaweza kuaminiwa na Watanzania maana kila mtu akipata upenyo anawaza kukwepa kodi na kuwaibia...
  11. Anfaal

    Mama Kanifichia paja!!!

    Ukisoma thread hii utagundua sisi ni masikini kiasi gani. Imagine matatizo yanaanzia kwenye mboga? Kule nje kuku ni kitu cha kawaida saana. Tujitahidi tujikwamue sisi na jamaa zetu kwenye tatizo hili. Maana hili linanikumbusha miaka ya nyuma familia zilivyokuwa zinasambaratika kisa mke kafungia...
  12. Anfaal

    Nyumba mpya inapangishwa

    Mh Bongo pagumu saana. Hii ni sawa na rent niliyokuwa nalipa ughaibuni kwa bei ya room moja miaka 2 iliyopita. Sijui sasa hv patakuwaje! Lakini kule umeme wa uhakika, maji na usafiri. Kusema hivi haijustify hii charge. Maana kuna factors nyingi saana miongoni mwao ikiwa ni vipato vya watu wa...
  13. Anfaal

    WAZIRI WA ELIMU- unayajua yanayofanyika CBE- DODOMA?

    Ungewashauri watafute vyuo kuliko kuendelea kupoteza muda wao. Wamefanya makosa naamini prospectus inaelekeza kila kitu; ni namna gani mtu anaweza kukoma kuwa mwanafunzi.
  14. Anfaal

    Wahindi na Waarabu wanawachukia Wachagga sana, kwa nini?

    Huwa unawaza chuki tu enh! Kama huna cha kupost ni vyema ukaficha ujinga wako.
  15. Anfaal

    Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi

    unasema miaka mitano inatosha kujijenga kisiasa na kiuchumi....... Hii dhana ni potofu saana. Hv mtu anatakiwa ajijenge kiuchumi au namna ya kuhudumia wapiga kura wake? Dada ww mh uelewa wako ni wa mashaka saana. Umejinyongesha kwenye gender na hata kiuchumi. Kwahiyo umekaa kimaslahi zaidi...
  16. Anfaal

    Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi

    mbona umeandika kwa huzuni na kukata tamaa hivyo? Hii mentality inakuangamiza! Kwanini hujiamini? Wapo wanawake wengi saana wanafanya vizuri kuliko hata wanaume. Sasa hii dhana ya kinyonge umeitoa wapi? Lini wanawake watajikomboa kama maandishi yenyewe ndio haya? Hivi wanawake wanatakiwa...
  17. Anfaal

    Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi

    sorry nilikuwa sijaiona post hii. Lakini katika mapambano yapo ya aina mbalimbali. Kuna wengine wanaamini watapambana ndani ya mfumo huohuo kwa kusema ukweli na hata wakiweza kubadilisha machache kwao ni mafanikio. Binafsi siamini katika kukimbia uozo. Dawa yake ni kupambana humo humo tena si...
  18. Anfaal

    Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi

    huu msimamo wako unatofautiana na ule uchambuzi paled nyuma wa akili yenye utapiamlo. Wewe ulitaka mtu akaye ndani ya chama na afuate yale chama inachosema hata kama hayafai. Hapa unaonyesha kuwa kukosoa inawezekana. Sasa mtu atakasoa saa ngapi na yeye yupo kwenye chama. Hoja hii na ile...
  19. Anfaal

    Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi

    Unatafuta ban ww hakuna asiyefahamika hapa.
  20. Anfaal

    Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi

    KIranga kwa hili natofautiana na ww. Healthy intellingence km unavyoita ww si kukaa kimya kisa chama.Haya ya ukimya ndio yameifanya nchi iwe ilivyo kisa kuwa na kadi. Huu si wkt wa kubembelezana ni wa kuelezana ukweli. Kuna mifumo mingi mibovu tukipata fursa ya kuikataa tuseme hivyo.
Back
Top Bottom