Kwa mtazamo wangu kwenye utalii hatujawahi hata kujaribu,kwasasa tunabebwa tu na vivutio tulivyo navyo lakini hakuna investment ya maana iliyofanyika.Ndio maana nikasema,investment ktk Utalii ni rahisi na yenye faida ya haraka kuliko viwanda.Sisemi kwamba tuachane kabisa na viwanda.Viwanda...
Binafsi nafikiri mtazamo kuwa ili tuendelee ni lazima tuwe ni nchi ya viwanda,mtazamo huu sio sahihi.Uchumi wa viwanda ni safari ndefu sana na yenye siasa nyingi hasa siasa za kimataifa.Msingi wa wa viwanda ni sayansi na teknolojia,ambapo sisi uwezo wetu wa kisayansi na kiteknolijia upo chini...
Mkuu,nafikiri mfumo wa ujamaa ndio ulio tudumaza.Wenzetu wamekulia ktk mfumo wa Ubepari ambao unamsukuma mtu apambane,tofauti na mfumo wa ujamaa unaowafanya watu wagawane umasikini tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.