Leo nimesafiri na basi la ABOOD kutoka Morogoro namba T818_____ lililoondoka saa 6.00 mchana. Mambo ya ajabu niliyoyaona na nikikuwa ninayasikia kabla ni kujaza abiria kupita kiasi, wengine hukaa pale mbele karibu na driver, wengine wanachuchumaa kwenye corridor, kama hakuna dalili za askari...
Sio wote, Kuna jamaa yangu kaoa Professor wakati yeye ni Driver, na maisha ni murua kabisa. Ila ninachojua ni mlianza vipi tangu mwanzoni,
Huyo jamaa walisoma wote tangu Primary Jamaa akaishia Olevel, Mke wake (Wakati huo GF) akaendelea UD, Ethiopia na baadae akamalizia PHD yake German.. Sasa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.