Search results

  1. Chief Isike

    CHADEMA imeitisha Kamati Kuu ya Dharura Julai 26, 2015

    Nimeipata hiyo kutoka kwa mmoja wa wahariri waliokuwa wamealikwa...
  2. Chief Isike

    CHADEMA imeitisha Kamati Kuu ya Dharura Julai 26, 2015

    Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa Kamati Kuu ya Chama imekutana leo Julai 26, 2015, jijini Dar es Salaam kwenye Kikao Maalum cha dharura kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na; 1. Maandalizi ya Chama kuelekea Uchaguzi mkuu. 2. Kupokea taarifa za mchakato wa kura za maoni...
  3. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Upendo. Wapiganaji hupendana namna hii. Si maCCM yanapigana hadi kutaka kutoana roho. Kikwete aliwahi kusema hawaaminiami kabisa wanaweza hata kuwekeana sumu...
  4. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    CHADEMA huu ni upendo mkubwa. Wananchi wana imani kubwa mno na chama hiki...
  5. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Pipooooooooooz....mapokezi hayo.
  6. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Anajisikia yuko nyumbani zaidi sasa...
  7. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Ni makamuzi tu...Asante Bulaya. Umeonesha mfano wa kuigwa kwa vijana na wanawake nchini. Kuwa kwenye timu sahihi inayoendana na uwezo wako.
  8. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Na kweli jamaa wanawashughulikia, dah hadi huruma. Wapigwe tu waondoke sasa maana tumechoka sasa utawala huu... James Lembeli akiwa kazini...kuimaliza CCM.
  9. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Mpiganaji Ester Bulaya akiwa ndani ya kombati rasmi kwa ajili ya mapambano. Wapi Tyson sasa...
  10. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Nakwambia, jaribu kufikiria wanachowaza huko CCM.
  11. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Mkiti wa Mkoa wa Mara CHADEMA, Vincent Nyerere
  12. Chief Isike

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Hawa jamaa sasa watawaua CCM kwa kihoro kabla ya muda. Mkakati huu wa kuwatanguliza maCCM kwa baiskeli ya mbao, dah! Jionee mwenyewe
  13. Chief Isike

    Mbunge wa Mbeya Sugu 'awazunguka' CHADEMA wenzake Mbeya Mjini

    Mkuu Mkuu Mkuu Meandu haya jamaa bhana. Yamekuja haraka haraka, yamekutana na kisiki, mwe yakaishia kutokuelewa. Sugu kapiga noma. Atawazunguka hivi hivi maCCM tena.
  14. Chief Isike

    Mbunge wa Mbeya Sugu 'awazunguka' CHADEMA wenzake Mbeya Mjini

    Umekuja. Hoja ni uwingi wa wagombea au uwezo wao na uadilifu. Hapa ni hoja kwa kwenda mbele kwa mbele. Au unaleta za MACCM kuwa mengi yakijazana mazee ya kupiga Escrow tu nakadhalika nakadhalika. Wewe vipi wewe. Haya angalia hapa chini. Hii inaitwa shut up. Au hujasikia kuwa huko Kanda ya Ziwa...
  15. Chief Isike

    Mbunge wa Mbeya Sugu 'awazunguka' CHADEMA wenzake Mbeya Mjini

    Vijana wa siku hizi ambao hata UMISHUMTA au UMITASHUMTA au UMISETA hawakupita utawajua tu. Yaani mtu hata hajui maana ya kuwazunguka wenzake. Kaka ukajifunze riadha. Hizo ni misamiati za kwenye riadha. Ushanifahamu?
  16. Chief Isike

    Mbunge wa Mbeya Sugu 'awazunguka' CHADEMA wenzake Mbeya Mjini

    Haya ndiyo matokeo ya kura za maoni CHADEMA Jimbo la Mbeya mjini. Kamanda Joseph Osmundi Mbilinyi amemaliza ubishi wote hapa Mbeya. Maeneo mengine pia makamanda wanaendelea kupata wagombea wazuri. Mmoja wao anayesubiriwa ni mpiganaji Mwambi au Mwambigija au Mzee wa Upako. Wana Mbeya wanamsubiri...
  17. Chief Isike

    Kwa staili hii CCM wajiandae kuondoka; matokeo Jimbo la Same Magharibi

    Sijui ni wapi kumefanyika kampeni! Kampeni zinafanyika nje ya majukwaa? Wewe ni mpiga kura?
  18. Chief Isike

    Kwa staili hii CCM wajiandae kuondoka; matokeo Jimbo la Same Magharibi

    Matokeo ya Kura za Maoni nafasi ya Ubunge CHADEMA Jimbo la Same Magharibi- Kilimanjaro 1. Jonas Justo Kadeghe 98 2. Christopher Shangwel Mbajo 49 3. Gervas Eliewasha Mgonja 30 4. Elisifa Mbaga Godson 15...
Back
Top Bottom