Search results

  1. mrangi

    Watanzania bado ni wabishi

    Wabongo bado ni wabishi, hawasikii. Eneo lishaonesha kuwa na madhara. Wao wanapita tu, hivi hapo gari ikisombwa na maji watailamu serikali. Siku zote nasemaga madereva wengi sahvi ni viherehere tu. Usalama wowote unaanzia kwake. Ova Mshana Jr FRANCIS DA DON Extrovert MamaSamia2025
  2. mrangi

    Mapenzi ya kweli kumbe yapo

    Kuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo? Ova Miss Natafuta Victoire Sky Eclat Bushmamy Nifah
  3. mrangi

    Mamlaka ziwe makini zinapotoa leseni za udereva

    asilimia kuɓwa ya wanaondesha magari akili zao haziko sawa na inawezekana kuna machizi. Ndomana ajali nyingi zinatokea,ushauri tu inabidi mamlaka husika wanaotoa leseni wawe wana wapima akili pia madereva au wanaotaka leseni za udereva. Watumiaji vyombo vya moto waendawazimu ni wengi sana...
  4. mrangi

    Tanzanite bridge

    Aliyeliweka hilo lidude juu hapo Aise,wamechemsha maana linaleta Show mbaya sana hapo darajani Maana wakati wanaliweka mbwembwe zilikuwa nyingi sana Mwisho kituko Ova
  5. mrangi

    Kumbe kesi za serikali nje zinakuwaga hivi

    Sina maneno mengi Acha mjionee wenyewe Bams Mshana Jr Erythrocyte Ova
  6. mrangi

    TANZIA Mwanamuziki Tina Turner afariki dunia akiwa na miaka 83, alikuwa na Saratani ya Utumbo

    Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock’n’Roll amefariki akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, Turner alianza kuwa na hali mbaya ya Kiafya baada ya kugundulika kuwa na Saratani ya Utumbo mwaka 2016 na kupandikizwa Figo mwaka 2017. Enzi za uhai wake...
  7. mrangi

    Vifo vingine vya kizembe

    Wabongo kwa ujumla ni wabishi sana We ushaambiwa msipite hapo maana Kuna maji,watu na magari yao wanapita tu kiubishi,na kujifanya wanajua ona sasa huyo mwenye noah Kachukuliwa na maji ndani ya gari yuko na watoto na wote wamepoteza Uhai Wabongo hebu tupunguze ujuaji na tujali uhai wetu na
  8. mrangi

    Hii ajali kiboko!

    Inasemekana gari ni la IT. IT wazee wa mwendo wenu tunaujua. Any way poleni. Mshana Jr Extrovert RRONDO Ova
  9. mrangi

    Kama mzazi utajisikiaje?

    hivi kama mzazi yaani baba, mama au kaka, ndugu kwa kuona tukio la huyu mtoto utajisiaje? Any way naona binti ana kachura fulani. Ova Mshana Jr cocastic King Kong III Nakadori anasbo
  10. mrangi

    Video: Vijana wanadhaniwa ni panya road waonekana wakikatisha na mapanga usiku

    Ukiangalia hii video iliyochukuliwa na cctv camera,inaonesha panya road wanakatisha mtaa wakiwa na mapanga na ni usiku mnene! Najiuliza tu ina maana maeneo hayo hakuna ulinzi shirikishi. Pata picha sasa ndiyo mtu anarudi kutoka kwenye mitungi au kwenye mihangaiko yako unakutana na hilo convoy...
  11. mrangi

    Ajali daraja la Tanzanite

    Hii ajali imetokea na maeneo yanaonekana kama Tanzanite Bridge. Video inaonesha magari yameparamiana. Hii video nimetumiwa tu, mwenye kufahamu chanzo ya ajali hapo atueleze. Ova RRONDO
  12. mrangi

    Kusherekea mwaka mpya

    Hii ni starehe au mateso sasa... Ila nawasifu hawa miamba kwa.. Kupaki gari njiani na kuvuta usingizi. Maana wangesema waendeshe gari kibishi,lazima wangeingia mtaroni au Kupigwa mzinga. Ila salute kwa tungi walilopiga si la kitoto Ova RRONDO Mshana Jr Shunie cocastic
  13. mrangi

    Mgao wa Maji + Mgao Umeme

    Huyu mwanakatuni Said Michael hatari sana, hii katuni ukiangalia unacheka na kuna wakati unasikitika. Mshana Jr Ova
  14. mrangi

    Masela wametoa kitu

    Nikiwa bado niko huku Ruangwa, masela wangu wametoa kitu safi. Mambo haya kama wewe ni brazamen huyawezi! Wengine sisi tunaishi kokote. MamaSamia2025 Bushmamy Ova
  15. mrangi

    Namna gani tena Bwana Trump

    Wenzetu kwenye masuala ya nchi zao Hawaleani au kuendekezana! Hata kama ulikuwa fulani utashulikiwa Uzi tayari Ova
  16. mrangi

    Kuhusu masoko yetu

    Huwa sielewagi kwanini masoko ya kuuza vitu vya mahitaji ya vyakula Ikibadilishwa muonekano, kisasa Kuwekwa vioo, vizimba vya kisasa Wafanyabiashara huwa wanaondoka. Na licha ya soko kuwa na muonekano Mzuri, linapwaya. Watu huwa wanasema mambo sokoni. Usiweweke floor chini nk. Wengine wanasema...
  17. mrangi

    Safi sana Kamanda kwa kujali usalama wa abiria

    Tukisema asilimia kubwa ya watanzania,ni wajima ,hawajielewi bado kuna watu watabisha. Hivi tabia ya kupakiwa kwenye mabasi. Na kukaa kama mangombe na utakuta mtu anaona sawa tu. Ndomana kuna mwamba humu JF Countrywide Ana kauli yake moja utamsikia anasema "hamna akili" Ova
  18. mrangi

    Msafara wa kiongozi

    Niaje kwa wazee, Niko kwenye mataa ya moroco Nimepanda kwenye daladala Daladala nyingi za mjini wengine sisi Ni mastuff...nmekaa na dereva Dakika za kutosha tunasubiria msafara upite, Kuna abiria kaniacha hoi anakuambia kiongozi huyo anaye subiriwa itakuwa ndy kwanza anapiga chai au ananyoosha...
  19. mrangi

    Nimeingia mjini

    Ngoja nkampige mtu Wenye mji tumerudi [emoji1] Ova
  20. mrangi

    Ufipa hii lami au

    Habari zenu bandugu Leo nlitokea bestbite nkasema nipitie Barabara ya kutokea bakwata lami mpya Kufika nkasema nchepuke nipitie ufipa Mara nakutana na mavivusi Kutokana na uzawa&legend wangu kinondoni nkasema ngoja nisimame Nipige toli na wadau Kwenye maongez naambiwa kifusi tangu kimwagwe...
Back
Top Bottom