Kuna taarifa za kufutwa kwa kampuni ya Nicol Tanzania Kwenye list ya makampuni ya Tanzania huku kukiwa na idadi kubwa ya wamiliki wa kampuni ya Nicol hawajui kinachoendelea
Kutokana na serikali kutaka kuuza majengo yake, wataalamu wa uthamini wanakisia majengo ya serikali pamoja na maeneo yake yaliyopo Posta na katikati ya jiji yanafikia thamani ya tshs tril 70.
Je, kiuchumi unadhani serikali ikiyauza ilipe deni la taifa la trilioni 50, itumie kujenga mji mpya wa...
Hivi mashirika ya kimataifa kama world bank na IMF yanatoa wapi takwimu za ukuaji wa Tanzania? Mbona taarifa zao wanazitoa mapema kabla ya taifa kuzitoa ?
kuna tabia ya watumishi wa standi ya ubungo kutoza magari yanayoingia humo shs elfu tatu mpaka tano na kulazimisha kutoa stakabadhi ya shs mia tano bila kuonyesha waraka unaowapa kibali cha kufanya hivyo wakiulizwa wanasema wametumwa na mkubwa wao cha kushangaza ata mapolisi wa ubungo wamejiunga...
Gazeti la mwananchi limekubali kuwa miongoni mwa magazeti yaliyokubali kufumba mdomo kwa ajili ya kupata nafasi ya kupewa matangazo ya baric kila wakati.
Unajiuliza tangazo la kazi la mgodi huu linalotolewa kila siku kwa takribani miaka miwili sasa na linalochokua kurasa tatu na zaidi ni...
zoezi la sensa linalotakiwa kufanyika hivi karibuni ni sehemu ya ukosefu wa mipango thabiti, kwani tungeweza kulijumuisha zoezi la sensa ndani ya zoezi la utoaji wa vitambulisho na kuokoa zaidi ya bil 119, kama ukiweza kutoa vitambulisho kwa taifa zima , je si ni sawa na kuendesha sensa pia...
Nadhani kila mmoja ameona mapungufu ya ujumla ya baraza la mawaziri, hivyo kitendo cha Wabunge kutaka mawaziri 8 tu kujiuzulu si cha maana kwa mazingira ya sasa.
kama jk anataka mabadiliko ya kiutendaji wa baraza la mawaziri basi hana budi kuvunja baraza lote la mawaziri na kuunda tena na si...
hivi kwenye shamba la michikichi kuna utaratibu gani wa malipo ya fidia kwenye mazao yaliyokuwa shambani. nina shamba la michikichi ambalo serikali wamekuja kupima viwanja lakini kuna michikichi ya kimo mbali mbali kuanzia michanga mpaka iliyozeeka sasa sijui ni namna gani ya fidia kulingana na...
Technician anahitajika in civil engineering,
Tuma CV na refferee mmoja Register Engineer ambatanisha na namba yake ya registration
Apply to HR Mchubanga enterprises
Box 71997 Dar es salaam
gdwnchch@gmail.com
nadhani wote tumeona mwenendo wa kuimarika kwa shillingi ya tanzania swali langu la msingi nani apewe heshima ya tukio hili...mkullo, rais au wafanyabiashara?
Harakati za viongozi wa CCM katika ofisi kuu za tume ya uchaguzi zinaanza kututia shaka kwani katika kipindi kifupi tu watu wameshuhudia Nape na mwigulu mchemba wakipita katika ofisi za tume ya uchaguzi. Nini kinaendelea katika harakati za Arumeru kati ya Chadema na CCM?.
Katika mwenendo wa utungaji wa katiba nadhani kuweka imani ya watanzania waliopoteza juu ya umakini wa mchakato wa Kutunga katiba mpya namshauri Jk kumchagua Dr. slaa kuwa mwenyekiti wa tume ya kutunga katiba mpya.
SOURCE:Godwine
Taifa limepoteza uelekea,limekufa kiuchumi,kitamaduni na kisiasa pia , wanasiasa wanatawala kila sehemu bila ya kujali ni za kitaaluma na si za kisiasa.Siasa imeleta utumwa na kusababisha wizi wa rasilimali za taifa unaofanywa na wageni, siasa imefanya watanzania kuwa watumwa katika taifa lao...
Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa kupitia na uhamuzi huo kabla ya kuruhusu kufungwa kwa akaunt hizo, kwani kutokana na kiasi kilichomo ndani...
kwa yeyote anayejua sifa za kupata uwakala wa vodashop na superdealer yaani watu wanaouza mpesa wawe wananunua balance kwako kwa jumla hili waende kuuza kwa wateja wa rejareja
Ni kitu cha ajabu kwa serikali ya CCM kushindwa kuiteketeza chadema inayoelekea kuchukua nchi 2015 mbali kuwa na taasisi zote za mashambulizi. kitu ninachokiona watumishi wa serikali na wanachama wengi wa CCM wameasi chama chao na kungojea tu kushuhudia kudodonga na kufa kwake 2015.
Kwa mwendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.