Search results

  1. Mahai

    Lupita Nyong'o: Hakupata mrembaji mzuri siku ya Oscar Academy awards

    Wabongo mna kazi kweli. Yaani mlichoona kwa mwanamke wa kwanza muafrika kupata tuzo za Oscar ni umbo lake na nguo aliyovaa???? Watanzania punguzeni basi hata huu upumbavu wa kijinga mbaki na ule ambao ni mgumu kuuondoa kwenye akili zenu. Mwenzenu ame-inspire the WHOLE universe nyie mnabaki...
  2. Mahai

    Aliyekuwa muigizaji wa Isindigo maarufu kwa jina la Letti Matabhane Afariki

    Aliyekuwa anaigiza kuhusu serostatus yake ni Nandipa na siyo huyu Letti. Yeye alikuwa ni mke wa Vusi dada yake Parsons aliyemuoa Nandipa.
  3. Mahai

    Polisi wamtaka Sheikh Ponda ajitokeze kusema nani alimpiga risasi

    I dont get it!! Wanasema yuko Muhimbili anatibiwa majeraha na wao polisi wanafanya uchunguzi huo, uchunguzi gani sasa???? Si waende wakamkamate? Au hawaruhusiwi kuingia Muhimbili?
  4. Mahai

    KCMC waamua kuua sasa!

    Jamani, acheni kulalamika ovyo. Katika hospitali zote za rufaa Tanzania, KCMC ndio hospitali pekee ambayo ilikuwa inacharge gharama ndogo. Matokeo yake wagonjwa wote wenye uwezo na wasio na uwezo wanaenda KCMC na hospitali inajikuta inahudumia wagonjwa wengi kuliko uwezo wake. Kwa nini serikali...
  5. Mahai

    Re: Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na Wala Simu Zangu Hapokei

    Sasa lakini na wewe unalala nao hovyo kwa nini? Unadhani ukilala na mwanaume ndio atakuoa?
  6. Mahai

    Hivi kwanini hizi hisia zinaniumiza hivi wakuu

    hahahaha nilikuwa nataka nitoe ushauri wangu lakini baada ya kusoma hapo kwenye nyekundu imebidi nicheke!
  7. Mahai

    Wanaopiga wake/waume zao punguwani!

    Unampiga ni ngoma hiyo??? Na ni nani kakupa mamlaka ya kumpiga mtu mzima, kisa ni mkeo? Hakuna sababu yoyote chini ya jua inayoweza kukufanya umpige mke wako. Unadhani kama ni mkorofi wakati hujamuoa atakuja kuacha wakati umemuoa???? Hii ndio maana mnaambiwa, acheni kukurupuka tu na kuoa...
  8. Mahai

    Kwa hili nitawachukia wanawake milele. Na sitowasamehe.

    Afadhali hata ungeongea kuliko kuandika chini kabisa!!!! Hii ni statement mbaya sana kwa binadamu wa aina yoyote kuandika. Huyo mwanamke si umekutana naye akiwa na meno yake 32 mdomoni, mkajidai mnapendana na kufunga ndoa haraka haraka bila kuchunguzana??? Sasa kinachokufanya umseme mama yako...
  9. Mahai

    Asaidiwe vipi! True story

    Ni kwa saabu ya uoga na hajiamini. Anahisi ataenda the maisha yatmshinda wakati kila kitu inawezekana chini ya jua kama ukiweka akili yako yote hapo. Ndio mwanzo utakuwa ni mgumu sana, tena sana lakini at some point ataweza.
  10. Mahai

    Asaidiwe vipi! True story

    I dont agree with you at all. Na hii ni mentality ambayo wanawake wengi wa kiTZ wanayo na inawamaliza kisaikolojia maana wamejikuta waking'ang'ania mwanaume anayewanyanyasa kupita maelezo katika ndoa kisa wanaogopa watakayoyakuta huko nje. Kamwe katika maisha usitegemee furaha kutoka kwa...
  11. Mahai

    Asaidiwe vipi! True story

    Mahojiano haya yamenichekesha sana. Ila THE BOSS yuko right kabisa!!!! Run as fast as you can and never look back!
  12. Mahai

    Asaidiwe vipi! True story

    Hahahaa watu mmepinda!!!!
  13. Mahai

    Kwamba shambulio Arusha-Olasiti ni tendo la Ugaidi na si hujuma ya kidini

    Sasa boss unadhani waki-conclude haraka hivyo kuwa ni hujuma za udini na kwa kwamba waislamu wanahusika na shambulio hilo nini kitatokea? Shambulio limetokea juzi, watu hata hawajazikwa wewe uropoke tu kuwa ni waislamu hiyo vita yake utaiweza?
  14. Mahai

    Wasichana IFM Dar wanajiuza laivu...

    Si bure wewe lazima ulipigwa kibuti baada ya kuchunwa ukachunika kisawasawa then ukamwagwa. Haswa ulivyoongea hapo kwenye red, una hasira sana.
  15. Mahai

    Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

    Wanaoendaga Angaza SIO wazinzi. Ni hapo tu kwingine sina haja nako.
  16. Mahai

    Babu wa Loliondo anaswa Benki....

    Watu mpaka benki mnamnasa mtu?
  17. Mahai

    Sakata la Bomu Arusha: FBI watua nchini, EU wadai Udini ni chanzo, ukomeshwe

    We unadhani jeshi la polisi Tanzania litaweza kufanya nini? tangu haya machafuko yameanza wamemkata nani?
  18. Mahai

    Ruge mutahaba atoa amri kwa wafanyakazi wake.. Hakuna kupiga bongo fleva leo..

    Jide katunga huu wimbo wa "Joto Hasira" on the right time. Nina uhakika anasikia joto sana sasa hivi.
  19. Mahai

    Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

    hivi swali la ufahamu, huu mkataba umeupata wapi mwizi wewe?
  20. Mahai

    Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    Umejuaje???? Unaendaga nae huko?
Back
Top Bottom