Search results

  1. B

    Sugu apata soko la maharage nje ya Nchi, Wakulima kazi kwenu

    CHADEMA inatekeleza agenda ya maendeldo ya watu kwa vitendo na ndiyo maana viongozi wake wanaojua kujiajiri mfano Joseph Mbilinyi Sugu , Meya Boniface, Freeman Mbowe, Mungai, Peter Msigwa na wengine wengi wanafaa kuongoza nchi katika kuanzia udiwani hadi uongozi wa juu nchini ili maendeleo ya...
  2. B

    Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC)

    Christine Gideon Mwakatobe academic background includes a Bachelor's degree in economics from Augustana University in Canada and a Master's degree in Business (MBA) from the Bussiness School of Netherlands.
  3. B

    Ifike mahali Watanzania tuache kukubali hadaa na uzushi unaotolewa na akina Evarist Chahali na Kigogo

    Kila kitu sasa hivi Tanzania ni mali ya rais, ikiwemo gazeti hili la kila siku la serikali. KUTOKA MAKTABA : Mhariri mkuu wa Daily News : The Guardian https://www.theguardian.com › oct Julius Nyerere 17 Oct 1999 — ... Tanzania, he was also editor-in-chief of the state newspaper, the...
  4. B

    Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Na kundi hilo ndiyo mtaji mkubwa kwa chama dola kongwe CCM kubakia madarakani
  5. B

    Meli ya misaada kutoka Spain imetia nanga Gaza.Sasa bandari anayojenga Marekani ina haja gani?

    Jamaa anataka mizigo itiwe kwenye matishari kisha ifikishwe pwani kutoka meli zilizoshusha nanga mbali na ufukwe haoni umuhimu wa bandari
  6. B

    Oman Wafanyakazi wa Ndani Toka Afrika Wapitia Magumu

    Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8 Wakipewa ahadi kemkem kuwa ajira za ndani nchini Oman zitabadilisha maisha yao, lakini mara wakifika huko hupokonywa hati zao za kusafiria na mikataba. Baada ya hapo hufanyishwa kazi masaa mengi, kufanyiwa...
  7. B

    Ifike mahali Watanzania tuache kukubali hadaa na uzushi unaotolewa na akina Evarist Chahali na Kigogo

    17 March 2024 Katika mahojiano ya CDF mstaafu, Critical thinker anapitia majibu ya mkuu wa majeshi mstaafu general (rtd) Venance Mabeyo ambayo yameibua mengine ambayo wananchi walifichwa, lakini pia zaidi yameibua mengine ambayo hakujibu https://m.youtube.com/watch?v=I-urvkCKP6M
  8. B

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Nitajaribu kuweka ktk lugha yetu hii adhimu ya KiSwahili ingawa kuna changamoto haina maneno sahihi, nanukuu baadhi " diplomatic maneuvers have ignited a storm of controversy and apprehension profound ... maelstrom is the contentious 1700-word opus, a fusion of article and advisory, shared...
  9. B

    TANESCO watorosha Maji Bwawa la Nyerere, na kuharibu mazao Kwa mafuriko

    Tunapoteza sana maji, utasikia miaka miwili baadaye kuna ukame bonde la Rufiji maji yote yamekwenda baharini. Ilitakiwa kuwepo mpango kuyavuna maji haya kwa kutumia bwawa la pili . Maktaba : 2022 17 November MTO RUAHA MKUU / GREAT RUAHA UKAME WALETA UPUNGUFU WA MAJI TISHIO KWA MRADI WA...
  10. B

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Tukiambiwa kuna umuhimu wa serikali kukazia umahiri kwa waalimu wa somo la lugha ya kigeni ya Kiingereza ngazi ya vidudu, msingi hadi sekondari O na A level ili tuende sawa maeneo mbalimbali ikiwemo diplomasia na masuala mengine mengi ajira, uwekezaji n.k watu wanasema hakuna umuhimu wa lugha ya...
  11. B

    Kwako Mkurugenzi mpya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART): Katatue changamoto zifuatazo…

    Pia serikali impe uhuru na rasilimali muhimu za aina zote kama fedha, kuajiri watu wapya ili CEO Waziri Kindamba afanye kazi kuleta mambo mapya na utendaji mpya kufuata na uzoefu wa aliyoyaona katika dunia nje ya Tanzania.
  12. B

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Andiko kwa Lugha ya kiingereza limeweka mambo ya ziada mazito na kusomwa na jumuiya pana ya kimataifa.
  13. B

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Andiko la Mussa Lugete kuhusu uwakilishi wa balozi mtarajiwa wa Rwanda nchini Tanzania laenda kimataifa na kunukuliwa katika mtandao tajwa : Controversy Swirls as General Nyamvumba Nominated as Rwanda’s Ambassador to Tanzania. March 16, 2024 By Adonis Byemelwa General Patrick Nyamvumba...
  14. B

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    MKOA wa Ruvuma unaoongoza kwa udumavu Tarehe Ya Kuwekwa: May 16th, 2019 MKOA wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa mitano nchini inayoongoza kwa udumavu. Mkuu wa Wiaya ya Songea ndugu Pololet Mgema ameongoza kikao cha Kamati ya Lishe katika Manispaa ya Songea ambacho kimezungumzia changamoto...
  15. B

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Ndiyo maana kuna asilimia kubwa ya watanzania wanaudumavu ulioanzia utotoni kwa kujaza matumbo yetu kwa chakula kililichojaa wanga bila virutubisho vingine muhimu kwa makuzi. Taarifa ya Lishe ya Tanzania Kulingana na Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya ya mwaka 2015-2016, takriban theluthi ya...
  16. B

    UTEUZI: Rais Samia amemteua Ephraim Mafuru kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya utalii Tanzania

    TOKA MAKTABA Tanzania Tourist Board Appoints Damasi Mfugale As New MD February 8, 2023 in APTA News The Tanzania Tourist Board has appointed a new MD who is expected to continue the growth trajectory of the country’s tourism sector. Damasi Mfugale, who was formerly the head of the...
  17. B

    UTEUZI: Rais Samia amteua Richard Rwanyakaato Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro

    Miezi sita anatenguliwa, nani atachukua nafasi hiyo kutoka kwa Richard Rwanyakaato Kiiza aliyekuwa kamishna Ngorongoro Conservation Area Authority (NCCA)
  18. B

    Rais Samia atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa TTB na NCAA

    VIDEO PICHA MAKTABA Richard Rwanyakaato Kiiza akielekea kupanda mlima https://m.youtube.com/watch?v=4Zg2PglRzrA
  19. B

    UTEUZI: Rais Samia amteua Richard Rwanyakaato Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametengua uteuzi wa kamishna wa Hifadhi ya Ngorongoro (NCCA): 15 March 2024 Zanzibar TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Richard Rwanyakaato Kiiza, aliyekuwa Kamishna...
  20. B

    Tahadhari yatolewa Bonde la Rufiji, baada ya bwawa la JNHPP kufunguliwa maji yake

    Upo sahihi hata kabla ya mradi wa bwawa la JNHPP mafuriko yamekuwa yapo eneo hilo la Rufiji, Ikwiriri n.k Maji haya yalitakiwa yavunwe kutumika kwa umwajiliaji na matumizi ya kijamii mijini pia vijijini. Wameshindwa kutafuta namna kujenga bwawa la ziada pembeni kilometa kadhaa kutoka bwawa la...
Back
Top Bottom