Search results

  1. D

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Anaenuna anune anaecheka acheke bwana Muro kwa namna moja ama nyingine lazima atakua anajihusisha na makundi ya kihalifu.Hata kama inaruhusiwa kisheria mtu yeyote kumiliki pingu mwanahabari na pingu wapi na wapi?alizinunua kwa ajili gani?self defence or what?haiingii akilini,hata...
  2. D

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    UMENENA THE PLAYER,Tatizo humu watu wakimpenda mtu huwa hawaamini kwamba anaweza kukosea,Bwana Muro anatuhumiwa kwa utapeli kwanza,polisi wanamchukua kwa ajili ya maelezo then katika hali ya kawaida wanaanzisha uchunguzi wa tuhuma hizo wanagundua Kumbe bwana MURO anamiliki pingu wanatuambia...
  3. D

    RwandAir Haoooo!

    Hongera watu wa Rwanda,hongera sana kagame,hayo ndio mambo yanayotakiwa hata kama maendeleo ya Rwanda yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na wizi wa rasilimali za CONGO ya Jose Kabila uliofanikishwa kwa kiasi kikubwa na Mkongoman mtutsi Laurent Nkunda,lakini mwisho wa siku ni kwa manufaa ya Rwanda...
  4. D

    CPJ condemns "Kulikoni" suspension; demand immediate lifting!

    Acha ushabiki kupita kiasi,adabu wamemkosea nani?
  5. D

    Zitto ajutia kuingia kwenye siasa?

    Kuna katabia ka baadhi ya wanajamii humu ndani ka kutotaka kusikia wala kuona mijadala yeyote inayomuhusu mpendwa wao zitto ikiendelea,yani mnataka kumfanya zitto awe the special one humu ndani?acheni hizo!unachoshwa vipi na mijadala ya zitto ilhali bado anaishi na kuendelea kutoa kauli ambazo...
  6. D

    Zitto ajutia kuingia kwenye siasa?

    Nakerwa na hii tabia ya baadhi ya wanajamii kumpenda zitto kupita kiasi,mpaka kufikia kujaribu kuzuia watu wenye maoni na mitazamo tofauti dhidi ya bwana zitto kutoa maoni yao,shida hapa inaonekana kuna baadhi ya watu wanapenda kuona kile wanachokiamini na si kuamini wanachoona.sipendi zitto awe...
  7. D

    Mzindakaya, Kimiti na Keenja watangaza kutogombea tena

    Ni kweli kabisa wazee hawa wamefanya jambo la busara kutangaza kutogombea,mzee mzindakaya tutayamis mabomu yake lakini vijana wapo,salamu hizi za wazee hao wawili zimfikie maalim seif popote alipo,iwe darajani ama kibanda maiti,kipindi cha lala kwa buriani ndio hiki.
Back
Top Bottom