Search results

  1. S

    Wanachuo MUHAS wanazimiwa AC na WiFi Ila wakiwemo wasudan zinawashwa

    Hii kali sana kweli ngozi nyeusi ni nyeusi tu.. Rafiki yangu aliepo MUHAS, katika story za hapa na pale akawa ananielezea kuwa licha ya JOTO la Dar hili lote madarasa wanayotumia kusomea na yenye WiFi huwa yanawashwa AC tu ikiwa hawa wanafunzi wageni wa SUDAN wakiwa wanafundishwa .. (ikumbukwe...
  2. S

    KERO Wanafunzi wa Diploma, Chuo cha Muhimbili-COHAS, Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya

    Wanafunzi wa Diploma, chuo cha Muhimbili-COHAS kilichopo Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya. Kumekuwepo na malalamiko ya wanafunzi kulalamika kwa kile kinachoendelea katika chuo hicho ambacho kinatoa Elimu kwa ngazi ya diploma (MUCOHAS) huku walimu wakisema maelekezo...
  3. S

    Wanaume tuna marafiki wazuri sana kuliko Wanawake

    WANAUME TUNAMARAFIKI WAZURI SANA KULIKO WANAWAKE... Mume na Mke walibishana kila mmoja akijigamba kuwa ana rafiki mzuri. Ili kumaliza ubishi, wakaamua kuwapigia Marafiki zao kwa loud speaker. Mme akampigia rafiki wa mkewe aitwae Anna HUKU AKIWA AMEWEKA LOUD 🔊, akamuuliza; Shemu mke wangu...
  4. S

    Watanzania tuanzishe mazoea ya ku wa unfollow wanaopost mambo ya kijinga mtandaoni

    Watanzania tuanzishe mazoea ya ku wa unfollow wanaopost mambo ya kijinga mtandaoni.... Nadhani ni muda muafaka sasa ni sisi watanzania tunaotumia mitandao ya Kijamii hasa facebook, instagram, tweeter na mitandao mingine.. Kuwa unfollow pages zao au channel zao.. kama tukio lililotokea Kwa...
  5. S

    Madereva 1,000 wa malori Watanzania wamegoma kuvuka mpakani Tunduma

    Takribani madereva 1,000 wa malori Watanzania wamegoma kuvuka mpakani Tunduma mkoani Songwe kuingia Zambia kwa muda usiojulikana kwa madai kuwa wamechoshwa na ahadi hewa kuhusu utatuzi wa malalamiko yao ya kunyanyaswa na maafisa wa Zambia.
  6. S

    Mkoa wa Geita umeanza maandalizi ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira

    Mkoa wa Geita umeanza maandalizi ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu utakaokuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki zaidi ya elfu themanini kwa wakati mmoja ili kuondoa changamoto za viwanja kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Serikali imetangaza kujenga uwanja mkubwa wa mpira wilayani Chato...
  7. S

    EX wako akipost picha yako na caption ya "I miss you so much"...

    Upo katika relationship halafu EX (mwanaume/mwanamke) wako anapost picha ya EX wake ina caption ya "I miss you so much" swali 1. Utaifafanua vipi hiyo issue? 2.Utachukua uamuzi gani? 3.Ni sawa yeye kufanya hivyo? Nawakaribisha katika mdahalo huu wakuu
  8. S

    Nahitaji ps2 mpya full package

    kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kununua ps2 mpya bei maelewanoo inahitajika harakaa sana....tafadhari
  9. S

    kwa anayeomba diploma baada ya kudisco chuo kikuu nini anapaswa afanye?

    naam poleni na shamla shamla za jana siku ya wafanyakazi.. naitaji kujua taratibu za kufata kwa aliedisco chuo kikuu anataka kuomba diploma je afate utaratibu upi?? ahsanteni
  10. S

    mtazamo wa kielimu aliouana mapema aunt yangu kuwapa msingi bora wa kielimu kuliko dini

    AUNT YANGU NI muislam watoto wake wote wamesomaa shule za kikatoriki alisema mimi nachotaka ni kuwatengezea misingi katika maisha yao sio kuwafanya wajue dini kuliko elimu.. mpaka sasa navyoongea hivi watoto wote wapo abroad kujiendeleza na elimu.. katika masuala ya elimu udini muuweke pembeni...
  11. S

    Waraka wa Makonda kwa Tundu Lissu part3 - Januari 22,2019

    WARAKA WA MAKONDA KWA TUNDU LISU -PART-3 "Lissu kama bado mgonjwa inamaana kichwani mambo hayajaakaa vizuri na ndo maana anahitaji matibabu na akitoka kule, tunamuomba Spika amfikishe Mirembe pale na aendelee kumuhudumia"- RC Makonda. HABARI KAMILI. Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
  12. S

    HESLB imeongeza pesa ya field kwa wanufaika wa awali Tsh 60000/=???

    kumekuapo na tetesi kati ya wanavyuo mbalimbali wakidai bodi ya mikopo imeongezea pesa kwa wanufaika wa awali pesa za field shilingi elfu 60 kwa kila mnufaika wa awali.. huku wengine wakidai ni zaidi ya pesa hiyo katika website yao Higher Education Students' Loans Board -HESLB hawajaandika...
  13. S

    Kina dada humu JF Mnaoficha profile zenu tatizo mini?

    Kwakweli sielewi elewi. Unatakaa ufatilie thread za MTU flani humu. Member. Unakuta kaweka limits.... Huwezi kuona thread zao. Wala kuanzisha conversion. Tatizo nini ? Hata kina Dada. Au mnaogopa kuibiwa tena ? Jamani badilikeni. Kidogo wengine tunapenda thread zenu. Halafu mnazificha .. ...
  14. S

    Jinsi ya kukomesha mizozo nyumbani

    kama kichwa cha mada hapo juu kinavyosema JINSI YA KUKOMESHA MIZOZO NYUMBANI Kutokana na matatizo mbalimbali hasa ya kimahusiano yawapatao walioko katika ndoa mara nyingi... Na uanzishwajinwa thread mbalimbali katika jukwaa hili. Wakiitaji kupata ushauri na mtazamo tofauti tofauti kutokana na...
  15. S

    Wadau:mda huu nimetoka kununua UNGO anaejua taratibu za kupaa tafadhari.

    Wadau:mda huu nimetoka kununua UNGO anaejua taratibu za kupaa tafadhari. ... Kama mda husikaa hapo juu kuna safari imetokea ya ghafla na inanibidi nifike sehemu ile mapemaa iwezekanavyoo. Sasa nimeona ninue UNGO ili kurahisisha safari. Naona safari za basi ntachelewa kufika .tafadhari kwa...
  16. S

    Angalizo mabinti/wanawake msipuuze haya...

    Utangulizi.... Eeeh sina shaka kabisa. Najua uzi wangu huu hautaamishwa na kufungiwa wala kuwekewa hiden mode . na naweka bayana mimi sio member wa jukwaa la wakubwa hivyo sihusiki hukooo kabisaaaa Wachangiaji kuweni huru. Member wa kudumu MMU.. nyota scorpion ♏.. ................... Haya...
  17. S

    Dalili za mahusiano endelevu

    Kichwa cha habari na mada havihusiani samahanini. Wadau. Haya tuendelee na somo letu. Hili pendwa. Thread hii omeshafutwa mara 3 ndani ya dakika 17 Ahaahaa kwanza kabisa naomba niweke bayana. Mimi ni member wa kudumu wa MMU..katika pita pita hapa na pale katika research ndogo nilizowahi...
  18. S

    Zijue aina za chale/mihuri ya kichawi

    Zijue aina za chale/mihuri ya kichawi Kama kichwa cha hapo juu..kimavyosema. Bila kupoteza mda tuanze........ kuna watu watapata shida kukuelewa, lakini ukweli chale za wanga ni aina ya MIHURI ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi. ukisha wekwa mihuri hiyo huwa Ni ngumu kutibika na...
  19. S

    Wadada mnisamehe kidooogo!, samahani sana

    KWENU WADADA WADADA MNISAMEHE KIDOOOGO! Samahani sana Hakika ni kwamba Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo kuwafikisha kwenye ndoto zao! Ukweli mchungu ni kwamba wanawake hawawataki wanaume ambao bado wako safarini kuelekea ndoto zao! Wanataka...
Back
Top Bottom