Search results

  1. Kionambele

    Naibu spika Dr. Tulia hajui FFU ni kitengo cha Jeshi la Polisi

    Umesoma makala na sio umefuatilia.(japo umeandika umefatilia sijui kufatilia ndiyo nini!!?? Kiswahili kigumu?) Kubariana ndiyo kitu gani? Hivi hapa umeandika kitu gani? Hebu soma tena. Ninapata mashaka na uhalali wa elimu yako kuhusu kuendana na unayoyahoji. Nikupe classwork wewe...
  2. Kionambele

    Naibu spika Dr. Tulia hajui FFU ni kitengo cha Jeshi la Polisi

    Mkuu utapoteza muda bure. Mie nimefuatilia mjadala huu nikagundua kuna ushabiki, ujuaji, kukosa umakini, kutokufuatilia mambo kwa ukweli wake hasa na elimu ndogo kwa mleta mada na wengi wa wachangiaji. Hawa ni ma undergraduates ambao wanadhani ukimpinga mtu mwenye PhD basi unakua umemzidi...
  3. Kionambele

    Kati ya OBAMA na Ban Ki-Moon, nani ndiye SAUTI ya mwisho Duniani?

    Kuhusu the most powerful person in the world, sio Obama. Mark my words, Barack Obama is not the most powerful person in the world. Kwa cheo alichonacho ni mmja kati ya watu wenye 'power' duniani. Lakini kuna watu hawana promo na wako humu duniani na wana 'power' ni hatari. Wanaweza kuamua...
  4. Kionambele

    Kati ya OBAMA na Ban Ki-Moon, nani ndiye SAUTI ya mwisho Duniani?

    Kichwa cha mada kinazungumzia mwenye sauti ya mwisho duniani? Hii ni sawa na kuuliza kati ya Baba na mama nani amemuumba mtoto? Hakuna aliyeumba kati yao, wao ni wazazi tu. Hali kadhalika sauti ya mwisho ni ya mwenyezi Mungu japo hutamuona akihutubia CNN,CCTV wala BBC. Kuhusu cheo mmoja ni...
  5. Kionambele

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    kwamba hata walimu wamechagua viwanda kwanza!!!!!
  6. Kionambele

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Unamaanisha Ridhiwani Kikwete na....any way tusitaje majina kwanza, unamaanisha Escrow, Twiga kapanda ndege, Uchaguzi 2015 pesa imetumika lakini kumbe mshindi alishachaguliwa, Mabehewa mabovu, Safari hewa za nje, Mishahara hewa Hazina, Ruzuku ya siri kwa CCM, Fungu moto la JWTZ na TISS...
  7. Kionambele

    Nyongeza: Chaguzi zetu ni sambamba, siyo moja

    Baada ya kuchana hoja zako zote Mzee Mbuka, mkafuta post yangu. Halafu bado unaendeleza hii mada ya kiMirembe kabisa. Poa bana furahieni ushindi kwa sekunde hizi chache. Sasa mmezaa jeshi 'underground' lenye nguvu mara mia ya 'forces' zote mlizo nazo. Hatutatumia kura tena wala, 'ammunitions'...
  8. Kionambele

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Yeah mostly! Sheimufulu!
  9. Kionambele

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Elimu tupa kule...au vipi?
  10. Kionambele

    Nyongeza: Chaguzi zetu ni sambamba, siyo moja

    You are a genius Tyta.
  11. Kionambele

    Yaliyomkuta Laurent Gbagbo wa Ivory Coast iwe fundisho CCM Zanzibar

    CCM haihitaji fundisho. Inahitaji mapigo. Kama farao tu itang'oka tu. CCM itang'oka kwa mapigo matatu. Sasa hivi hakutakuwa na uchaguzi tena Tanzania hadi CCM itakapong'oka. Uthibitisho ni Historia. Iko siku Jakaya atajikuta mtaani kama Gaddafi, akivuliwa nguo na watoto wa mitaani, akitemewa...
  12. Kionambele

    Njia Panda; Kataa ya Jecha CCM out SMZ, Kubali ya Jecha Uchaguzi Rais JMT Unakosa Uhalali Unarudiwa

    Hata Kanali Muamar Gaddafi alianza kimzaha mzaha hivi hivi.
  13. Kionambele

    CHADEMA msichezee amani ya Tanzania, angalieni sababu za nyie kushindwa

    Kwani Chato ni kusini mwa Tanzania!? Au inapakana na Lindi!? Au umesahau kauli ya R1 kwamba kaskazini haiwezi kutoa Rais?
  14. Kionambele

    Maalim Seif akataa maamuzi ya ZEC, atoa tamko zito

    Enhe ongezea na hiyo nyingine mkuu, hiyo page ya pili.
  15. Kionambele

    Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    Wakati mnachangia mjue mods wetu wa siku zote wametekwa. Nafasi hiyo wamechukua Ridhiwani, January na Miraji. Ukiandika uzi unaowagusa kumtima lazima aidha wafute au waamishe kwenda mahala kusikohusiana kabisa. Hii nchi imekuwa mali ya JK na familia yake na 'family friends' wake. Jeshi letu...
  16. Kionambele

    Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    Wakati mnachangia mjue mods wetu wa siku zote wametekwa. Nafasi hiyo wamechukua Ridhiwani, January na Miraji. Ukiandika uzi unaowagusa kumtima lazima aidha wafute au waamishe kwenda mahala kusikohusiana kabisa. Hii nchi imekuwa mali ya JK na familia yake na 'family friends' wake. Jeshi letu...
  17. Kionambele

    Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    Wakati mnachangia mjue mods wetu wa siku zote wametekwa. Nafasi hiyo wamechukua Ridhiwani, January na Miraji. Ukiandika uzi unaowagusa kumtima lazima aidha wafute au waamishe kwenda mahala kusikohusiana kabisa. Hii nchi imekuwa mali ya JK na familia yake na 'family friends' wake. Jeshi letu sasa!!!
  18. Kionambele

    Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    Kama kiongozi ni muhimu kujua historia itakuhukumu wewe na uzao wako. Mfano unapotaja Nyerere, Samora, Mandela, Nkurumah, JF Kennedy, Martin Luther King jr, Filikunjombe, Sokoine n.k na kwa upande mwingine unapotaja Hitler, Idd Amin, Mobutu, Samuel Doe n.k
  19. Kionambele

    Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    Kama mkuu wa nchi hii, kama mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutokana na yote yaliyotokea kwenye uchaguzi huu wa 2015 na yatakayoendelea, Tanzania nzima yaani bara na visiwani, unadhani vitabu vya historia, na kumbukumbu za historia, na historia kwa ujumla inaandika na itaandika nini...
  20. Kionambele

    Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Haramu pale CCM inapochakachua halafu bado inashindwa uchaguzi.
Back
Top Bottom