TOYOTA Cresta GX100.
Km 150,000. 1988 CC. 1999Year.
Location: ZANZIBAR
Inaenda. 4.9m Fixed
Call: # Rashid Abbas 0715394100. Only serious buyer. fp rancotrading
Bishara ya Travel Agency..!
Ni mawakala wa Ndege zote ndani na njee ya Nchi husika. Kuan aina Mbili nazofaham za Travel agency.
1. iATA travela agency. Hawa ni Member wa IATA ambao wanaruhusa ya kutoa tkt bila hata ya kuwasiliana na AIRLINE husika. Na kila Mwisho wa siku 15 anatakiwa kufanya...
kilichotokea madale kimeniuma cos nimehangaika sana kutafta pesa hiyo na kabla ya kununua nimepita sehem husika na kiwanja changu tra wamedai kodi ya jengo nimewapatia.. Leo mbunge naleta kunya... Na baadhi ya waandishi a habar pia.?
Ok no way out..
Lakin yote maisha.. Kaeni mkijua.. Hakuna...
Kumekua na kesi ya muda murefu ikiendelea baina ya wanakijiji na wanaodai wamiliki.
Kabla ya kesi hiyo kuisha wala kujua hatima ya kesi hiyo. Kesi imefutwa bila ya wanakijiji kufahamishwa naikatolea amri ya kubomolewa.
Hilo halitoshi kukudhihirishieni kua ni uzandiki tu wafanyika.
Mimi pia ni...
Nakushauri Check driver kam zipo .. kwenye Devicemenager check kama imekua named"BT3.0" kama sio may be device for bluetooth haipo.
Or jaribu kureinstall driver.
Bluetooth Options: Optional Combo Dell Wireless Card 802.11b/g/n, BT3.0+HS
Download driver from Dell wesite.
You pay 50% tunadeliver the laptop,, then we deliver ukiipata unamalizia 50%..! Before buying. Tutakuomba Specification tutakutumia Pic na bei yake. With full contact detailya muuzaji.. Or if you trust us. You can pay full amount na kueleza unahitak machine iwe na software muhim zipi. Then...
Pia tunahusika na kutoa huduma ya Computer baying consultation. kma unahitaj kukunua computer jitahidi uelewe matumizi ya computer hiyo ni kwa ajiligani.
Yap...! Tunafaham kua Watanzania wengi wanaangalia Bei. Sio uimara na wakifaa chenyewe.
Lkn Tuashukuru waliowengi kupitia jamvio hili wameweza kuwapatia Watoto zao ktk shuguli zao za kimasom. Niseme tu.@ Tatizo jingine ni kua Watanzania hawana ujuzi wakuangalia Kwamatumizi gani ninunue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.