Search results

  1. T

    Shida tunazopata hivi sasa hapa nchini zimesababishwa na mwendazake

    Kila mtu atasema lake ila jini la majanga yote ni katiba. Katiba ndio chanzo cha haya na mara zote naikumbuka kauli ya Mh Kikwete wakati Fulani bungeni kwenye muswaada wakupunguza madaraka ya Rais ambao CCM walikataa fanya mabadiliko ila JK kwa ungwana Wake akawaambia "Mimi kama Rais sijaaamua...
  2. T

    Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

    1 Israelites=1000 Palestine 😭😭😭 hii ni toka miaka na miaka maelfu ndio maana haya Mazayuni sio yakuchukua poa ukiwagusa.. kiukweli mpaka vita ikwishe Palestine watakufa wengi sana nihuzuni na kilio kila nyumba.😭😭😭
  3. T

    Taifa langu Tukufu Tanzania

    Mungu akulinde Jamhuri yangu na watu wangu wa Tanzania. Mungu Tukumbuke watoto wako na Uzao wa Taifa lako siku moja tusije kuwa manamba ktk Taifa letu. Baba yetu na Rais wetu wa kwanza aliona leo na akalia sana na kumbukizi zinatuambia akikaribia kuipumzisha roho yake akasema Anatuombe wa...
  4. T

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Uwenda alikuwa anafanya dhihaka kwenye jamuhuri 🇹🇿 who know
  5. T

    Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

    Ujasusi ni kazi ngumu wewe laani wenzio wanakula Raha maana wanaishi kwa jina la jamuhuri.... So ilaani jamuhuri🇹🇿🤐
  6. T

    Misri atoa onyo kwa HAMAS wana wiki mbili kupata suluhu la mateka, kabla Israel haijaingia Rafah

    Vita ya Israel na Hamas urban war nivita ngumu sana kiasi Dunia imesimama kuona muujiza. Iran wanamtamani kiasi risasi moja tu Irani na komoney wao watakuwa mavumbi. Hezbollah ameambiwa aangalie picha za satellite 📡 some kitu Mazayuni wamewafanyia Hamas kisha atafakari kile kitamkuta...🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱...
  7. T

    The waste president ever!!!

    Alithubutu na uwenda ana Ma ua yake huko Kwa Sir God🇹🇿😍
  8. T

    Huna Wajibu wa kumtunza au kumhudumia Mzazi wako akiwa chini ya miaka 60 kama haumwi

    Kuna mambo ni magumu kujadili kama huna Imani ya Kiroho. Kama unauwezo wahudumie Wazazi wako kama huna muonbe Mungu akusaidie. Ipo nguvu kuwatumia Wazazi matumizi na pia ipo nguvu kwa mtoto anajuwa kumshika mkono mzazi wake. Bilget ni Tajiri mkubwa ila hawezi kataa akipelekewa Zawadi na mtoto...
  9. T

    Wapalestina watafute njia nyingine kudai amani Israel itawasafisha

    Hesabu zinasema Israelites 1=1000 Arabs hence kazi ipo
  10. T

    Tanzania tunaongozwa na Watanzania? Yanayotokea ni bahati mbaya? Asante CDF

    Faiza Kaa kimya 🤐 chutama chutama. Bora ukaye kimya tu.
  11. T

    Tanzania tunaongozwa na Watanzania? Yanayotokea ni bahati mbaya? Asante CDF

    Huwezi kuwa Rais wa Marekani kama hujazaliwa ndani ya Taifa lako. Je washamba nao?
  12. T

    Tanzania tunaongozwa na Watanzania? Yanayotokea ni bahati mbaya? Asante CDF

    Huwezi ukawa Rais wa Marekani kama hujazaliwa kwenye Taifa la Marekani. Acha ushamba
  13. T

    Wizara ya afya Tunaomba mchunguze uwepo wa kunguni na mende wadogo kwenye mabasi ya abiria safari ndefu

    Serikali kupitia wizara ya afya Tunaomba mfanye ukaguzi kwenye mabasi ya usafirishaji wa abiria hasa safari ndefu jamani mabasi yana kunguni na mende wadogo wengi jambo lina hatarisha afya ya abiria. Siku zakaribuni nikiwa na abiria wenzangu tulishuhudia utitiri wa kunguni kwenye basi la...
  14. T

    Why Tanzania is not interested in Technology?

    Hivi kweli mtu bungeni aje na hii hoja watamkaangia kunguni mpaka ajute
  15. T

    Why Tanzania is not interested in Technology?

    Mnataka mtuondoe madarakani? Wafanye wajinga zaidi uwatawale zaidi🤐
  16. T

    Kwa maoni yako nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025

    As long as is an Agency from our special field there 🙏.
  17. T

    Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

    Mwambie ache ushamba akajifunze kwa Rais wa France Macron alipendwa na mwalimu wake akiwa hana kitu leo Rais kama anawapenda awachukue hawataki apotezee asitusumbue hatukumwambia ajipost
Back
Top Bottom