Search results

  1. MEING'ATI

    Umri wa kujiunga na mgambo

    Hi wadau! Naomba kueleweshwa kwa wadau kuhusu hii kitu inaitwa mgambo. Je umri wa kujiunga ni kuanzia miaka mingapi? Na je mtu ambaye hapaswi kujiunga anatakiwa awe na miaka mingapi? Pia je kama mtu ana matatizo kama maginjwa ya akili na magonjwa kama kifua figo na ini anaruhusiwa? Mwisho...
  2. MEING'ATI

    Tatizo la kukonda bila sababu

    Ndugu zangu kuna jambo linanisumbua nalo ni kukonda ghafla bila sababu. Nimepima Ukimwi sina Nimepima kisukari sina ila nina taiford je nayo inakondesha. Nimeshatumia dozi ya taiford japo sijaenda kupima kama imeisha ila hili la kupungua mwili linanichosha nafsi. Tumbo linanisumbua kiasi ila...
  3. MEING'ATI

    Msaada: Maumivu ya kichwa baada ya kufanyiwa operesheni ya uvimbe tumboni

    Habari wana Jf kuna Shemeji yangu amefanyiwa Oparesheni, alikuwa na uvimbe tumbo baada ya hapo kichwa kikawa kinamuuma sana. Mwishoni upande mmoja kama unapararalaize. Yaani tunawaza hatujieleewi maana madokta wanatuambia hio kupooza upande kumesababishwa na uvimbe kichwani sasa huo uvimbe wa...
  4. MEING'ATI

    Huu Wimbo umenifurahisha

    Sijui nani kaimba huu wimbo natamani kujua jina lake maana sio kwa nondo hizi
  5. MEING'ATI

    Hii kali

  6. MEING'ATI

    Hama hama na tuhuma ndani wanazotoa wahamaji

    mos Pambala Anaandika TUNDU LISSU: Advocate Mahinyila salaam, Nafikiri una tatizo moja kubwa: unaelekea kuamini kila tuhuma inayoelekezwa CHADEMA na wanachama wetu wa jana na juzi. Sijakusikia ukijipa tahadhari ya kujiuliza swali moja rahisi: hivi kwa nini wahamaji wetu hawa wanagundua maovu ya...
  7. MEING'ATI

    Nahitaji fundi wa tv anaejua anifundishe kwa njia Online

    Hi Wanaforum. Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu mwenye uwelewa na hii topic ani pm ili tuzungumze nahitaji sana elimu juu ya hili jambo. Kama atapenda afundishe publick pia sio mbaya ila mimi nimeona hili jambo litanisaidia
  8. MEING'ATI

    Wanawake wasanii kuolewa kwao kazi

    Wanawake wengi maarufu kama Bongo movie,na wabongo flaver kuolewa kwao na kulea familia na mume ni kazi sana. Kweli huwezi faidi zote upate umaarufu na ufaidi ndoa ni vitu viwili haviendani. Wengi wao wanabaki tu kuimbiwa na kuimbwa kama ngombe wa kimasai ila ukweli life yao inaishia kuchezewa...
  9. MEING'ATI

    Mei Mosi mimi sijaielewa

    Mei mosi naona ni kiini macho ya kuifanya ccm iaminike inafanya kazi. Wananchi wamekusanywa balaa ili waonekane watu wanamkubali ila kwa halisia watu wengi wameenda kuona jambo jipya kama wakorino. Bila viongozi wa Wafanyakazi imara na kuwa na itikadi isiyoelemea upande wa Serkali basi...
Back
Top Bottom