Itakuwaje kama mmiliki wa leseni ni sole proprietor or a company limited by guarantee?
Becase the issuance of shares would be non-existent.
It is also my understanding that investors/limited companies must earn back their capital plus any preferred return before the Governmeny can earn...
Hata ukubwani anadaiwa kufanya mambo ya ajabu alipokuwa ameajiriwa kabla ya kuteuliwa kuwa balozi.
Nimesoma hukumu ya tribunal ya Umoja wa Mataifa ya Disemba 2022 alikokata rufaa baada ya kufukuzwa kazi UNDP; inaonekana alikuwa anafanya kazi kibongo bongo vile kama vile kaajiriwa na serikali ya...
I hope the car you drive is brand new.
Chupa za bia na soda na glasi tunazotumia kunywea are all overused.
Daladala tunazopanda ni overused.
Nyumba tunazopanga ni overused.
Kama una mke au ukioa na kuishi na mkeo for a couple of years she will be overused as well tena by you. Hopefully...
Kati ya hao watatu ni Scholes all the way. Alicheza wakati Man Utd walikuwa na masuper stars lakini alishine except mechi moja dhidi ya Derby City - he was absolutely terrible, Furguson akamtoa mapema. Nimekuja kujua wiki chache zilizopita kuwa alikuwa na tatizo la kifamilia siku ya mechi. Ndiyo...
Kweli there are all sort of reasons, including the impact of Covid-19 and the regulatory framework.
The markets being cut in Africa generated just 1% of total income in 2021 and a similar proportion of profit before tax. Not worth it for investing.
Standard Chartered is just following other...
Over years ofisi makamu wa rais has done little at all. Some have served as surrogates wakati rais akiwa nje ya nchi. In practice, makamu wa rais na ofisi yake is merely the spillover of unwanted or extra presidential responsibilities kama kukata tepe, nk na ku-balance power between Tanzania...
Huyo alitaka kukupiga chini baada ya kula hela yako. Labda alikuona hufai kabisa, fala fulani hivi hata hujui mzunguko wa hela unaendaje sasa utakuwa mme wake kwa mfano?[emoji1787]
Ilitakiwa serikali ipandishe maradufu kodi ya kuingiza pikipiki nchini ili ziwe chache and bei ghali.
Nadharia ya bodaboda kuwa ni mtaji wa maskini ni mbaya sana na inadumaza ubongo wa vijana.
Usafiri wa bodaboda unatakiwa upigwe marufuku jijini Dar. Huwezi kutengeneza usafiri wa mwendo kasi huku ukitegemea usafiri wa pikipiki kwenye sehemu za jiji.
Najua bodaboda ni delicate issue, sijui ni usafiri wa maskini n.k lakini linahitaji mtu mwenye balls kutokomeza kabisa usafiri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.