Search results

  1. L

    Wanawake/Mabinti tuliowahi kutoka kimapenzi na wanaume wa kimasai tukutana hapa

    kiukweli nimeshasikia huu ushuhuda kuwa wamasai ni watamu kwenye mapenzi
  2. L

    Ukimya wa watumishi wa umma juu ya kikotoo kipya, ni upole wao au kutojielewa?

    Naamini magufuli atayaweka mambo mazuri kwa watumishi,naikumbuka kauli yake siku ya mei mosi kuwa atawaongezea watumishi mishahara kwekikweli,hili bado halijachelewa, watumishi wawe na subira,watumishi ni serikali,hivyo ni lazima muamini kuwa mmehaidiwa, kuhusu swala la kikokotoo,naamini...
  3. L

    Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Ebu Ni Pm Tuongee Vizuri Na Ushauri Mzuri
  4. L

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Karatu Nije Monduli,idara Ya Msingi 0765481551
  5. L

    Magufuli kasababisha nikosane na demu wangu

    Mwambie Lowasa Ndio Jembe
  6. L

    Ina maana mabinti wa kitanzania mmefikia hatua hii au ni uhaba wa wanaume?

    Ni Kweli Jamaa Akili Yake Haipo Vizuri Bcoz Of Ccm, Hana Pesa Ajira Hakuna Anataka Kuolewa Na Binti
  7. L

    Mimi ni mme wa mtu, ila nimempa staff wangu mimba, nifanyaje?

    Haina Shida Ukiweka Mimba Staff Mwenzio,maana Mtoto Atakuwa Na Uhakika Wa Kula Kuvaa Na Elimu Maana Mama Yake Anakazi, Ebu Mtafute Mwingine Mwenye Pesa Mweke Mimba, Mie Nina Watoto 17 Kila Mmoja Na Mama Yake, Mama Zao Wote Wanakazi,majukumu Wananizaidia
  8. L

    Edward Lowassa; Mtanzania aliyeshambuliwa, kudhalilishwa na kukosa haki ndani ya nchi

    Lowasa Uko Juu Wewe Ndio Jembe, Ukiona Mtu Anakupaka Matope Ujue Wewe Uko Juu Anajitahidi Kukushusha Muwe Sawa, Kura Yangu Na Ndugu Yangu Wote Ni Yako
  9. L

    Nastahili tuzo kwa jinsi ninavyowakwepa wanafunzi wa kike

    Kweli Sisi Walimu Tunapata Mitego Mingi Kwa Wanafunzi, Ila Tunajitahidi Kuzikwepa Maana Sisi Ni Walezi
  10. L

    Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

    Kiukweli Ningekuoa,ila Sijui Nyimbo Zako Kichwani Zote,kwa Upande Wa Simu Hatuwezi Kutumia Simu Moja Maana Sio Muda Wote Tutembee Pamoja, Heri Nio Mtoto Aliyemaliza La Saba Kuliko Kunipa Masharti Hayo
  11. L

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Namtafuta Mwl Wa Kumwoa Nimhamishie Arusha Umri Usizidi Miaka 30, Naomba Anipigie Kwa 0765481551
  12. L

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Jiji La Arusha Ni Mwl, Namtafuta Mwl Wa Kuoa,awe Na 28 Kwenda Chini,kama Yuko Nje Ya Arusha Nitamhamisha Aje Arusha Piga 0765481551 Matuzi Sitaki Uwe Serious
Back
Top Bottom