Search results

  1. bishoke

    CCM ikichagua mgombea kutoka Z'bar itaanguka!

    Du, kumbe twaweza kutawaliwa na mtu toka ng'ambo katika karne hii.
  2. bishoke

    Upanuzi wa barabara Mwanza

    Kumbe kweli eti no research no right to speak!!!
  3. bishoke

    Team Wasira ni Noma

    Mbona husemi kuwa ni mwana chama wa CCM asiye na msimamo kwani alisha timkia upinzani, au hiyo ni siri?
  4. bishoke

    Huyu ndiye askofu Gwajima ninayemfahamu, Wakristo jihadharini naye

    Usihukumu usije ukahukumiwa, maandiko yanasema. Unaweza kuthibitisha matamshi yako hayo?
  5. bishoke

    Burundi President says third term will be his last

    Ni wananchi wangapi hawamtaki Bwana Pierre? Mleta uzi kasema waandamanaji wako Bujumbura peke yake, sasa wananchi wa Burundi si zaidi ya Bujumbura, naamini warundi wataamua, kama hawamtaki si wataacha kumchagua, shida iko wapi. Watulizane kwani tumechoka kuhifadhi wakimbizi bwana
  6. bishoke

    Madereva 15 wa Daladala na Mabasi ya Mikoani wafukuzwa kazi

    Kumbuka kazi mbaya unayo, sasa imeondoka waliofukuzwa wanatamani waifanye hata bila ya mkataba. Wakati mwingine migimo ni mob psychology tu. Sijui kama serikali ndiyo mwajiri wa wale madereva au walitakiwa kuwagomea waajiri wao!!:tonguez::tonguez::tonguez:
  7. bishoke

    Tutasambaratisha CUF na kuteka mikoa ya Pwani - Mwigamba

    Kumbe ACT siyo chama cha upinzani! Inashangaza na kutia shaka kuona ACT inavyopambana na vyama vya upinzani badala ya chama tawala!
  8. bishoke

    NEC: Kura ya maoni ya Katiba Mpya kusogezwa mbele

    Hawa nao wanachosha kwanini wasisubiri mpaka watakapo kuwa tayari kuandiskisha wapiga kura? Kama vipi waunganishe na uchaguzi mkuu Oktoba 2015. Tumechoka kuahirisha kaura hii ya maoni.
  9. bishoke

    Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Jamani tabia haina dawa, mwacheni kwani ndivyo alivyo
  10. bishoke

    Tanzania yapunguza safari za Kenya Airways

    Mtajua wenyewe kama ni kwa faida ya nani au nani !!!
  11. bishoke

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Nimekukubali mkubwa. Naamini haya ndiyo matumizi sahihi ya hii kitu
  12. bishoke

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Maelezo yako ni mazuri sana mkuu lakini nadhani ungesema unaongelea gari gani kwani magari yote hayana tabia zonazo fanana kuhusu O/D.
  13. bishoke

    Hostel/Rest house zenye bei nafuu Arusha

    Wana jamvi mlioko Arusha, naombeni msaada wa majina ya hostel au rest house nzuri na zenye bei nafuu hapo Arusha mjini ambazo zinafaa kuishi mgeni wa Kitanzania. Lengo ni kujaribu kupunguza gharama za kuishi hotel za Arusha mjini, jamaa yangu awapo Arusha. Nashukuru sana
  14. bishoke

    Meya Jiji la Arusha presha inapanda presha inashuka

    Mkuu Gwalo nimependa sana hii analysis yako kuhusu chakula. Ni kweli kuwa wao hutumia chakula kama njia ya kuvuta watu kwenye mikusanyiko na wala siyo kujipongeza. Big up
  15. bishoke

    Mwanza kampeni za CCM hadi usiku wa manane? Ni hatari

    Bila shaka tarehe 14 Desemba 2014 utampigia kura kama umejiandikisha. Naamini ulikumbuka kulala na 'viatu', vinginevyo uchaguzi wa mwakani waweza kuusikia kwani watu wengi kwenye hicho chama ni wagonjwa.
  16. bishoke

    Mfahamu Eliza, Binti mrembo anayesambaza VVU kwa makusudi

    Naamini Eliza hana rekodi ya kumbaka mmtu yeyote ni uamuzi wa mtu kwenda kwake au kuacha. Na ukiamua kwenda basi kuwa mwangalifu, vinginevyo sioni kosa la Eliza kwa kuwa mkarimu kwa wanaohitaji huduma yake.
  17. bishoke

    Askofu Kilaini aitwa Dar es Salaam na Kanisa Katoliki

    Nimeishangaa hii system ya kanisa katoliki kwamba maaskofu wote na maaskofu wasidizi wote wa dunia nzima wana ripoti kwa askofu mkuu wa jimbo la vitican. Sasa nimejua kwa nini papa Mjerumani alijiuzulu, alizidiwa na kazi na alikuwa na haki ya kuzidiwa. Binafsi naamini kuwa Cardinal Pengo ni...
  18. bishoke

    Utoro wa Wabunge wakwamisha mswada wa Sheria ya usimamizi wa kodi

    Mzee Warioba na tume yake ya katiba walijua vema kuwa wabunge wetu ni watoro sana, wakaweka kipengere cha kuwajibishwa na wapiga kura. Bahati mbaya wanasiasa wakakitoa kwa ulafi wao, hapa ndiyo ilikuwa fursa mwafaka kuwang'oa watoro, lakini tumefungwa mikono na CCM yao.
Back
Top Bottom