Hapo kwenye rangi.
Siku anatangazwa kuwa mshindi nilikuwa MORO kwenye Internet, palikuwa na dada mmoja akasema hampendi huyo mama kwani ana hasira sana!! Sikumuelewa sasa nimemuelewa.
Nadhani mabadiliko yanahitajika.
Hongera Dr. Pombe. Lakini kwanini asingepewa hata uwaziri mkuu tukaona anavyofanya mambo? Tumuombe Mkwere ampe PM kwa miaka miwili tu angalau. Nadhani tutaona mabadiliko angalau.
Kuna wito ambao umenivutia. Naomba kuwashirikisha wote. Nakubaliana na mtoa mada kwamba mass failure ya F4 inabidi kuangalia mfumo mzima kwa ujumla wake. Kuanzia mazingira shule za msingi na sekondari, wanafunzi wenyewe, waalimu, watunga mitihani, wasahihishaji na mtaala mzima wa elimu yetu.
Nimekusoma mkuu. Ila nashangaa kidogo kama kwa elimu ya TZ mwenye cheti cha F4 kama kitamsaidia popote. Hata kusomea ualimu wa chekechea i guess wanataka mwenye div III. Kwa hali hiyo waliofaulu ni 11% na waliopata vyeti vya F4 ni 50%.
Kuna usemi kuwa picha zinaongea kuliko maneno. Let's visualize the results. Source of data michuzi blog.
Kwa hiyo kwa graph hizo hapo 89% wameshindwa. 11% ndio wanaohesabiwa kuwa wamefaulu. Hata hivyo katika hao 7% huenda wakaambulia kwenda kusomea kuwa walimu wa shule za kata kwani combination...
Acha kutuyeyusha wewe. Na hawa wanachoma hivyo viwanda kama symbo ya kukataa kuendelea kunyonywa na gabachoris. Nadhani hata wahindi wa Rites nao wanatakiwa wafanyiwe hivyo na watimuliwe kabisa. Wanatulitea marichmond na Dowans bure. Ile reli ya kati ilikuwa inaoperate japo kwa kusuwasuwa kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.