Search results

  1. R

    Mh.Simbachawene bomba la Gas kutoka Mtwara to Dar then ikiwezekana Dar to Mtwara

    Ndio siasa na utaalamu ukimix unapata kitu hiyo:A S-confused1:
  2. R

    Mabasi ya wanafunzi ya CRDB yahujumiwa

    Huu mradi toka mwanzo ulikuwa unaharufu ya hujuma. Hebu tambieni nani aliyewapa ushauri wa kibiashara hawa CRDB wakanunue mabasi aina ya TATA eti ndio yatadumu? Bei yenyewe ilikuwa ni ya kuruka eti basi moja zaidi ya m 100 hi si kweli. hawa jamaa hawakuwa serius na uwekezaji huu, hata kama...
  3. R

    Mh. PINDA na KAULI zake GONGANA - MGOMO WA MADAKITARI

    Serikali yetu inatumia human shield katika vita hii na madactari. Yaani inatumia wagonjwa kutaka huruma ya madactari na watanzania. hili halikubaliki hata kidogo. serikali ifanye kazi zake, iwahudumie madactari na watanzania wote kwa wakati. mbona nchi hii wafanyakazi ndio walipa kodi wakuu...
  4. R

    Pendekezo la Jina katika tume ya katiba

    Mimi kwa mtazamo wangu nimekuwa nikimsikiliza sana Mkuu wa chuo cha St.Augustine Dr. Charles Kitima, naona huyu bwana ana vision nzuri kwa taifa hili la walalahoi, natumia jina la walalahoi kwa sababu kila mtanzanzania anapoamka anakuwa na mawazo mapya na kusahau yale ya jana. Hivyo mimi na...
  5. R

    Nape ni ndumilakuwili

    Nape kama ninavyokumbuka aliwahi kusema chanzo cha cc magamba kukosa ushindi wa kishindo mwaka jana ni pamoja na kuwa na wanachama wasiowakweli, na ili kukomesha hali hii alisema kuanzia sasa (wakati ule) wanachama wanaotaka kuingia katika gamba lazima wawapeleke darasani ili wafundishwe kabla...
  6. R

    Hivi "kiu" Mzumbe university bado ipo?

    kUMBE MMESOMA JUZI TU MNAJIFANYA WAZAMANI 2005 SIYE TUNAPANDISHWA VYEO KAZINI. PIA MLIKUWA HAMJASTARABIKA HATA MIAKA HII YA 2000? SIYE TULIOSOMA ZAMANI TULIKUWA NA INCOGNITO HUYO ALIKUWA ANAANDIKA UCHAFU WA MTU FULANI NA KUBANDIKA JUU SANA KIASI KUGUNDUA NI TAABU ILA MKISHAGUNDUA MTASOMA...
  7. R

    Ewura wameshindwa kazi ivunjwe

    Ndugu wana jf. Ni wiki chache zimepita toka waziri wa fedha atangaze bajeti ya nchi iliyo kuwa na mambo kadhaa moja wapo ni la kuongeza kodi katika mafuta ya taa na kupunguza kodi kwa petroli na diseli lengo likiwa ni kufuta kabisa tatizo la uchakachuaji. Nionavyo mimi na ndivyoilivyotakiwa kuwa...
  8. R

    Tanzania kerosine consumers association

    tanzania kerosine/parafine consumers association tangazo kwa umma yah: kukataa uamuzi uliotolewa na ewura wa kupandisha bei ya mafuta ya taa. ndugu wananchi chama cha watumiaji mafuta ya taa kina jumla ya wanachama 36,000,000 tanzania nzima. Toka kianzishwe mwaka 1920 hapa tanganyika hakija...
  9. R

    Ni uwendawazimu kupandisha bei ya mafuta ya taa, maji

    sisi tuliojirani na Kenya halituumizi kichwa kwani huku mafuta ya taa yameondolewa kodi hivyo yanauzwa bei ndogo sana kuliko mafuta mengine . Nyie wa mbali kazeni buti kwani hamjui kwa sasa ni Kilimo kwanza? mafuta ya taa baadaye, umeme baadaye Gari la mkulu lilizimika kwa kupata mafuta...
  10. R

    Ikulu imetumia sh bilioni 53 toka mwaka 2003

    Imekuwa ni kawaida ya ikulu kukarabatiwa kila mwaka kwa mabilioni ya shilingi, wandugu hebu tuambieni huo ukarabati wa mabilioni, wanajenga ukuta au vipi? shule na nyumba za askari hazikarabatiwi. kama tukisave matumizi ya ukarabati wa ikulu tunaweza kuongeza fedha hizo katika uzalishaji wa...
  11. R

    Sina imani na Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

    mimi nimekuwa nikifuatilia sana hoja na mijadala mbalimbali pale mjengoni, nilichoweza kukiona mpaka leo ni kuwa hakuna hoja ya kumtetea mwananchi wa tanzania hata moja ambayo inapewa kipaumbele. hili bunge letu chini ya Mama Makinda limekuwa likijaa mabishano na miongozo ya spika mpaka muda...
  12. R

    Watu 2500 ngorongoro hawana chakula- JK na Mkewe wapo shelisheli

    Hivi kweli tumedhamria kuondoa umaskini hapa Tanzania? hivi inaingia akilini eti wananchi hawana chakula alafu Rais wa nchi yao anaenda kusalimia rafiki zake? huyu pinda na makau wa rais wanabaki hapa pia hawajui waziri wake anaishi wapi, je watajua kuna wananchi wanakufa njaa?? watanzania tuwe...
  13. R

    Ni lini serikali ya Tanzania itasikiliza kilio cha wananchi wake?

    Katika miezi ya hivi karibuni kumekuwa na maandamano yaliyoongozwa na vyama vya siasa hasa CDM kuhusu kupanda kwa gharama za maisha. Kwa ufupi katika maandamano hayo watu walifocus zaidi katika hoja kama bei juu ya sukari, mafuta ya petroli, na chakula yaani mahindi na mchele, bila kusahau...
  14. R

    Bungeni: Maswali ya 'papo kwa papo' kwa Waziri Mkuu

    Ndugu zangu mimi nilikuwa na imani sana na huyu bwana anaye jiita mtoto wa mkulima lakini sasa nimejua kwanini alijiita hivyo. kama waswahili wanavyosema unapokula na kipofu usimshike mkono, ndivyo Pinda alivyotaka kuwafanya watanzania wasijue yeye ni nani hivyo kujifanya yuko karibu sana na...
  15. R

    Bungeni: Maswali ya 'papo kwa papo' kwa Waziri Mkuu

    Kwa hiyo Huyu mtoto wa mkulima ana taka kutuambia kuwa watanzania tutaendelea kwa kuomba nauli kwa wabunge wetu na maafisa wa serikali? je atakubaliana na mimi kwamba kama yeye PM anabariki ombaomba ndio maana watanzania omba omba wanaongezeka mjini? Kwa nini matonya alifukuzwa Dar na Bungeni...
  16. R

    Watanzania wanapenda BODABODA-JK

    hivi majuzi rais wetu alisema eti watanzania wanapenda sana bodaboda. swali langu ni hili> Hivi kweli raisi wa nchi hajui kwanini watanzania wanatumia usafiri wa bodaboda? hivi ndio sababu iliyopelekea rais kununua bodaboda kwa ajili ya usafiri wa wagonjwa? mpaka sasa bodaboda zinaongoza kwa...
  17. R

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Mhe, January Makamba mara tu baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya nishati, alianza ziara kufuatilia vyanzo vyote vya umeme pamoja na kukutana na wadau wa umeme ( Tanesco) baadaye akaitisha mkutano na waandishi wa habari na kuwaeleza mikakati mingi ya kuondoa kabisa au...
  18. R

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Gari la abiria la Ngorika limegongana na Hiace na kusababisha vifo vya watu takribani 20 au zaidi na majeruhi wengi mno katika eneo la makumira. Ngorika miguu juu na hiace imekgandamizwa kabisa. RIP.
  19. R

    Cuf wamefanya nini pemba toka washike majimbo hayo ili tujifunze?

    Ndugu zangu, naomba mnijuze mambo waliyo yafanya kule pemba hawa jamaa wa cuf ili nasi tujifunze kuchagua upinzani. huku bara tumeshuhudia Karatu na kigoma ndio maana Chadema wakaweza kuendeleza ushindi zaidi baada ya mifano hiyo michache, je wenzetu wa Cuf wamefanya nini pemba??
  20. R

    India Left parties walkout in Parliament over price rise issue

    The Left agitation in the capital against price rise had its echo in Parliament today with members of four Left parties walking out of both Houses protesting the government's "lack of response" to their demand for a white paper on the issue. In the Lok Sabha, Samajwadi Party also joined the...
Back
Top Bottom