Search results

  1. R

    Kuvuruga upinzani kutaisaidia CCM?

    Juhudi za Kuwafunga midomo Wapinzani ndani na nje ya Bunge kutasaidia kuimarisha CCM? Maigizo yanayoendelea ya kumsimika Profesor alietimkia Rwanda chini ya Escort Kali wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, zitasaidia kuijenga CCM yenye Sera zilizoshindwa kutukwamua kwenye lindi la umasikini...
  2. R

    Je? Unaridhika nchi inavyoendeshwa?

    Hapa hatuhitaji maneno mengi bali jibu la "NDIYO" au "HAPANA"...
  3. R

    Kwanini wanaapa kutunza siri za Baraza la Mawaziri na siyo siri za nchi?

    Baraza la Mawaziri ni Muhimu kuliko Maslahi ya nchi?
  4. R

    Ni ngumu sana kumeza, lakini naomba tujadili!

    Tumeshuhudia Wachagga wakibaguliwa kwa nguvu zote, tumesikia kauli za Viongozi wakubwa wakisema kuwa Rais hawezi kutoka kaskazini, Tumeshuhudia Maelfu kwa Mamia wakilalamikia Mfumo Kristo, tumeshuhudia Kanisa Katoliki likiingizwa kwa mara nyingine kwenye siasa za Tanzania kuwa Mkapa na Pengo...
  5. R

    Mzee Mwanakijiji "eti al - lila na fila hawatengani"

    Mzee Mwanakijiji et al Wanajaribu kujenga hoja Hasi eti Matokeo ya Urais Zanzibar hayana athari kwenye Majumuisho ya kura za Urais wa JMT. Jaji Damian Lubuva anasema hajapokea taarifa zozote kutoka ZEC kuwa uchaguzi wa Urais wa JMT ulikuwa na kasoro ndo maana anaendelea kutangaza kama kawaida...
  6. R

    Je, ni Halali kwa CCM kutumia zaidi ya Trillon Moja kwenye Uchaguzi huu?

    Wakuu CCM wametumia zaidi ya Trillon moja kwenye uchaguzi huu! Wamejiandaa kutumia zaidi baada ya Makada kutaka gawio zaidi ya akina Slaa na Lipumba walizopewa! Tshirts, Trousers, Mashati na Kofia na Bendera plus vipeperushi na Mabango ni zaidi ya Billioni 800. Haya yanafanyika kwa maslahi...
  7. R

    Kukumbushia mauaji ya sokoine ni sahihi ?

    Sijamuelewa Magufuli ama Magufuli hajui hatari ya Kukumbushia Kifo cha Edward Moringe Sokoine ... Wote tunajua kilichomtokea Mzee wetu aliekuwa anapambana na Udhalimu wa wa CCM ... Same kwa Mgimwa, Mvungi, Kombe, Ballow, Mwangosi, Kolimba, Nyerere et al ... Je Mwagufuli anaimarisha Chama chake...
  8. R

    Uhuni wa NEC - Nini Kifanyike Wanavyuo waweze kupiga kura October 25?

    Nimepokea kwa masikitiko Makubwa kuwa tume imekataa Wanafunzi kupiga kura za Urais popote walipo ... Nini kifanyike ili waweze kupiga kura coming October 25?
  9. R

    Swali la Ugomvi: Kwanini Mwanakijiji, EHT, MNCs, CCM wamechanganyikiwa?

    Nimemsoma Mwanakijiji kwa muda sasa akijaribu kutuaminisha kuwa Lowassa hafai na kuwa CCM ndo yenye kutufaa! Nimemsikiliza Magufuli na CCM jinsi wanavyokorogana wenyewe kwa wenyewe kiasi cha kukashfiana hadharani (Refer to Gasper wa Shinyanga), Tumeona jinsi ambavyo Makampuni makubwa ya kibeberu...
  10. R

    Vyombo vya habari vitumike kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu october 2015 kwenye vituo -taifa

    Niwakati Muafaka sasa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikaruhusu matokeo ya awali kutangazwa moja kwa moja kwenye vituo vya television kama wafanyavyo wenzetu ... Marekani huwa wanajumlisha kura kwenye vitu, majimbo na hatimae wanapata kujua mwelekeo kabla hata tume haijatangaza matokeo Rasmi ...
  11. R

    CCM baada ya Oktoba 25, 2015

    Crystal clear CCM haitaweza ku-survive bila Majengo yaliyojengwa chini ya mfumo wa Chama kimoja ambayo kimsingi zitarejeshwa Serikalini, CCM haitaweza ku-survive baada ya viwanja vyote kurejeshwa Serikalini ... Wananchi watahakikisha kila kinachohusiana na CCM kinapigwa moto kutokana na...
  12. R

    Kofia, tshirt plus 10,000/- kwenye mikutano ya CCM imesaidia kuwapatia wanachama wapya?

    Mikakati ya CCM kutumia magari na malori kasha kugawa 10,000/- kwa masharti ya kuvaa fulana na kofia zimewasaidia so far? Media coverage za gharama kubwa zitageuza upepo wa Mabadiliko... Only GT ndo wenye kutakiwa kwenye uzi huu..
  13. R

    Ccm kifo cha fedheha kimewajia

    A moment Lowassa alipotaja kuwa Mamlaka ya Juu ( RAIS)ndo alikuwa nyuma ya Richmond na ndiye aliezuia kutovunjwa kwa Mkataba ...Tayari Lowassa alishakuwa Msafi kama Theluji ya Mlima Kilimanjaro... Zaidi ya yote: Watanzania wameendelea kushuhudia UFISADIwa kutisha ndani ya miaka 8 baada ya...
  14. R

    Mzee Mwanakijiji, Slaa, Makamba, JK, Magufuli : Mahaba yetu kwa Lowassa hayapungui bali yanaongezeka

    Mzee Mwanakijiji, Slaa, Mwakyembe, Sitta, Makamba et al kwa niaba ya MAFIA wa VATICAN/Economic Hit Men (EHM) wanajaribu kutuaminisha kuwa:- 1. Wanawake kujifungulia Sakafuni imesababishwa na Lowassa, 2. Watoto kusomea chini ya Miti imesababishwa na Lowassa, 3. Watumishi kulipwa...
  15. R

    Kosa la Sheikh Faridi ni nini? Ponda ana kosa gani? BAKWATA imefanya nini Kuwatetea so far?

    Tuweke Hisia za Kidini kando then tujadili huu uvunjwaji wa mkubwa wa Haki za Binadamu kwa mapana na marefu yake. Imeripotiwa kwa masikitiko makubwa sana unyama wanayofanyiwa sheikh Faridi, imeelezwa mkasa wa Sheikh Ponda unatokana na Bandari Kavu iliyoko karibu na Uwanja wa Taifa ambayo...
  16. R

    Usidanganyike, mchague Lowassa kwa mabadiliko

    1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora 2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini 3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria- Igunga 4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU)- Shinyanga 5. Kumaliza migogoro ya...
  17. R

    MBOWE: Lowassa = Mabadiliko... Mabadiliko = Lowassa

    Niliwahi kusema kuwa Mbowe ni bonge la genius... wengi hawakunielewa ... Slogan aliyoitoa hivi punde imekwenda airborne ... Spread like virus ...
  18. R

    Wajue 'Axis of evils' - rasilimali za watanzania

    Walibinafsisha Mashirika ya Umma, waligawana Viwanda, waliingia mikataba ya kishenzi kwenye Uranium, Nickel, Dhahabu, Almasi, Tanzanite. Waligawana Nyumba za Serikali, Wameua ATC, TRL, Wamefanya Ufisadi wa Kutisha kwenye Bandari zetu na Vitalu vya Uwindaji, Wamesaini Sera ya kuwawekeza...
  19. R

    Wapiga kura wangapi wameandikishwa mpaka sasa? Kwanini UKAWA wako kimya?

    Humu ndani ya JF wangapi wamejiandikisha? Kwanini UKAWA hawatoi Msukumo stahili kwenye hili zoezi? Hawaoni kuwa CCM kupitia NEC ya Lubuva wamejiandaa kuchakachua matokeo? Tujadiliane kwa kina ...
  20. R

    Urais 2015: Nchimbi amejitoa na kujiunga na team Lowassa, wengine watafuata?

    Nitakuwa wa Mwisho kuamini propaganda eti umati huu ulinunuliwa...
Back
Top Bottom