Search results

  1. Lasikoki

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Mtwara Ukiongozwa na Tundu Lissu

    Duh yaani ni full piga kotekote; safi sana chadema
  2. Lasikoki

    Arusha: Kinana akosa miradi ya CCM ya kuzindua Arusha

    Duh aisee Hivi ina maana Mkuu wa Wilaya amekosa kabisa miradi ya kuzinduliwa na boss wake Kinana? Mhhh hapa tatizo lipo sana. Wananchi wa Orkereyan simamenu muhesabiwe na Mwenyekiti wenu #Daudi_Safari
  3. Lasikoki

    Kama Hauna Kadi ya kupiga Kura wewe sio Rafiki Yangu:

    Ha ha haaaaaa! Duh ngoja nikajiandikishe maana hizi sifa za huyu 'baunsa' ntaziondoa nikijiandikisha na kuwa na KADI YA MPIGA KURA
  4. Lasikoki

    Kama Hauna Kadi ya kupiga Kura wewe sio Rafiki Yangu:

    Safi sana. Huu ujumbe umguse kila mtanzania mpenda mabadiliko ya kuwaondoa manyang'au na mafisadi wa nchi yetu
  5. Lasikoki

    Mbowe: Jaji Lubuva utakuwa adui mkuu wa demokrasia

    He he heeeee! 2015 mambo yatakuwa zaidi ya hivi
  6. Lasikoki

    Mbowe: Jaji Lubuva utakuwa adui mkuu wa demokrasia

    Ktk hili nec wasilete upuuzi. Nchi yetu lazima iendeshwe kwa misingi ya demokrasia iliyo huru yenye mazingira sawa kwa wadau wote iwe chama tawala au chama pinzani Hatutaki yaliyotokea 2010 ambapo hadi leo Tume haina hesabu kamili ya matokeo ya urais. Suala la kujiandikisha na kura ya...
  7. Lasikoki

    Waziri Mkuu Pinda kwanini hutaki demokrasia mtaani kwako?

    Dah ni kweli mkuu LiverpoolFC CCM ni kansa sugu, imeshasambaa mwilini kote, yafaa kuukata mwili wote hawafai hawa
  8. Lasikoki

    Waziri Mkuu Pinda kwanini hutaki demokrasia mtaani kwako?

    Hivi kweli waziri mkuu ambae badala ya kuwa custodian mzuri wa kusimamia haki na sheria za nchi yeye ndie anavunja mhhhhh Tumesikia ametangaza kugombea urais kimya kimya! shame on him, mpuuzi kabisa huyu.
  9. Lasikoki

    Rais umeruhusu Pinda, Mahanga na Masaburi kuhatarisha amani?

    Nina imani wananchi wa #migombani segerea hawatakubaki huu upuuzi Tusimame pamoja na wananchi, kila mtanzania mwenye kupenda haki asimame na wana-segerea apinge hii dhuluma
  10. Lasikoki

    Rais umeruhusu Pinda, Mahanga na Masaburi kuhatarisha amani?

    Mkuu nasikitika sana kwamba umeamua kwa makusudi kutetea uovu na uminyaji wa demokrasia na zaidi kuwaita wapaza sauti eti ni wapuuzi Kwani tatizo ni wingi wa mitaa na vitongoji ktk nchi au ni uporaji wa sauti ya wananchi? Iweje sehemu CCM wameshinda kusiwe na shida lakini sehemu UKAWA...
  11. Lasikoki

    UKAWA Wamecheza Pata Potea, Hata Bila Uwepo Wao akidi Itatimia, Katiba Mpya Itapatikana

    duh mkuu Masanilo kwani David Mattaks si ni yule bingwa wa kula watu tigo? amechezea tigo za vijana sana huyu. Sasa kwani nae Pasco anafanya huo mchezo mbaya ktkt jamii?. Wakuu mimi nauliza tu
  12. Lasikoki

    Ally Bananga akamatwa na polisi kwa agizo la CCM

    Mambo ya ajabu kabisa haya ktk nchi inyodai ni ya demokrasia. CCM siasa za majukwaa na hoja zimewashinda, mmebaki kutumia ugaidi na vyombi vya dola kuendelea kutawala. ila hakika nguvu hii hii mnayotumia kutawala kwa mabavu na uonevu, ndio bomu litakalowang'oa na kuwfanya chama cha...
  13. Lasikoki

    Msaada wezangu, ninachoka sana ata nikikaa nyumbani tu

    pole sana, nenda hospitali mkuu
  14. Lasikoki

    Katibu Mkuu Dk. Slaa atoa pole Msikiti wa Mtambani, ajionea athari

    Viva rais wa mioyo ya watanzania mheshimiwa sana Dr.W.Slaa
  15. Lasikoki

    Ninaomba jibu la hesabu yangu hii hapa

    jibu ni 1
  16. Lasikoki

    Rungu la serikali latua kichwani kwa gazeti la Mtanzania

    duh hata sielewi, ni habari gani gazeti hilo limeandika? Mwenye kutujuza tafadhali! Wengine hatuna access na gazeti hilo kwa sasa
  17. Lasikoki

    Bima ya Afya

    nawashukuru sana Iron Lady pamona na NCHIMI kwa maelezo mujarabu kabisa. Sasa nimegundua NHIF ndio suluhisho la huduma ya afya nchii hii. Asanteni nyote
  18. Lasikoki

    Waziri wa zamani (Kilontsi Mporogomyi) sasa kumtumikia Mungu kama Askofu Mkuu!

    daaaaah! Kanisa la 'miujiza, uponyaji, kufunguliwa na utajirisho' duh kweli huyu Mungu ana kazi sana: waja wako eeh mungu tupe ufahamu wa kuwatambua hawa matapeli na manabii wa uongo. Roho wako akapate kutuongoza.. Amen
  19. Lasikoki

    A must read story! Poor Tanzanians!

    ........huu ni upande mmoja wa story. Kuna haja ya upande wa pili waseme neno. Siamini kama hakuna immigration officers hasa wa JNIA walio katika forum hii. Ebu wakuje wajibu au watoe maelezo then tufanye ulinganisho. Kitu kimoja kinachonipa shaka na hii story ni kwamba the guy is detailed...
  20. Lasikoki

    TANZIA : Mmiliki wa Masai pub na Meridian afariki dunia

    Duu!! Inasikitisha sana. Natoa pole nyingi sana kwa familia ya Lukumay. R.I P ndugu
Back
Top Bottom