Search results

  1. P

    JK Ampeleka Augustino Mrema kutibiwa India?

    Wana JF hapo tusifanye dhihaka Mungu amsaidie Mrema apone haraka na Shukrani kwa Mhe. JK kwa moyo wa huruma na kwa kutambua mchango alioutoa Mrema katika nchi hii.
  2. P

    Chama Kipya (CCJ) na Hatima ya CCM - lisemwalo...

    Kwa nini chama hiki kinaonekana kujificha ficha katika mambo yake? ni kweli chama hicho kipo au kinafikiriwa/ kutegemea kuanzishwa miaka ijayo? Ubabaishaji wakati wa kuanzishwa chama ni dalili mbovu wanakotarajia kuelekea.
  3. P

    Chama Kipya (CCJ) na Hatima ya CCM - lisemwalo...

    Kiwavi nakubali maneno yako kwa asilimia zote.Hiyo ni Janja tu ya kutafuta mkono kwenda kinywani.Hiyo ni Mbinu ya Wachache waliozidiwa ujanja na wenzao katika CCM.
  4. P

    HOTUBA ya Seif Sharrif na Majibu yake kuhusu Maridhiano Zanzibar!

    Wana JF ni sahihi huu ni mtego.Watu ( pamoja na wana siasa) hutofautiana sana maeneo kwa sababu ya ulaji!! akipata atatulia, sasa itabaki zamu ya wengine nao kupiga kelele.Inakuwa kama mchezo wa kupokezana vijiti.
  5. P

    Dawa ya Ufisadi:Tanzania Itawaliwe Kidikteta?

    Wana JF hivi Ufisadi uko katika kiwango gani katika Tz? Tunalinganisha na nchi zipi?
  6. P

    WHO yatoa magari 25 akabidhiwa N.Waziri, Mhindi katoa Ambulance 2 kamkabidhi Rais

    Nionavyo mimmi; Msaada alioutoa huyu mhindi ni mkubwa kuliko uliotolewa na WHO.
  7. P

    Kwa Nini Baadhi ya Wasichana Wanapata Waume Wa Kuwaoa Haraka Lakini...?

    Kuna sababu nyingi, lakini nitazitaja chache kwa kuanzia: 1. Kutojua kum handle mwanaume wa aina ile 2. Sura nzuri mara nyingi huleta kiburi katika ndoa 3.Wengine wavivu kitandani 4. Wengine hawatosheki, hivyo hulazimika kwenda nje ya ndoa 5. Vitu laini muhimu unapopumzika , unaweza...
  8. P

    Kumwagwa Kwa Fedha za Ufisadi Majimboni: Wabunge "Wapambanaji" Acheni Siasa!

    Buchanan nakubali maneno yako.Watajwe hao watu hao wanaogawa Ma hela ya kifisadi.UTHIBITISHO KUWA MAPESA HAYO NI YA KIFISADI UNATAKIWA!!! kama watu wamekuwa madarakani kwa miaka zaidi ya 20 watakosa vijisenti vya kuwapa walala hoi?!
  9. P

    Mrema katumia mil. 15 kukodi NYANI..

    Re: Mrema katumia mil. 15 kukodi NYANI.. Bujibuji, naomba kufahamishwa kama kwenye vyama vya Siasa vya hapa Tanzania huwa kunafanyika Audit.
  10. P

    Mtikila atupwa rumande! Demokrasia itapatikana?

    Ukichunguza sana sheria imefuata mkondo wake ila huyu Mchungaji alikiuka vifungu vya sheria.Sijui alifanya hivyo kwa kudhamiria au ndiyo katika kutaka kuandika historia?
  11. P

    Mtikila atupwa rumande! Demokrasia itapatikana?

    Siasa ndiyo hizo!! aliyeshikilia dola si mwenzako. Mtikila ajichunge, na aepuke kutusi walio katika enzi!!
Back
Top Bottom