Search results

  1. Shagiguku

    TBS na TMDA mikate ya maziwa ina ubora na viwango stahiki kuliwa na binadamu?

    Hello wananzengo wa Tanzania popote mlipo duniani. Nautupia huu uzi humu ili tuujadili kwa pamoja. Kumeibuka wimbi la "Mikate ya Maziwa" hapa nchini. Kila sehemu ipo inauzwa. Maswali yangu machache kwa mamlaka za udhibiti ubora (TMDA na TBS) ni haya: 1. Je, tuna taarifa za kutosha juu ya...
  2. Shagiguku

    Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Weye naona umebanwa kunya, kanye kisha uchambe na maji ya baridi. Hivi Membe nawe unaweza kumfikiria kuwa rais wa TAnzania katika enzi hizi za Magufuli. Hata nusu ya Magufuli hafuati
  3. Shagiguku

    Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

    Naunga mkono hoja, tena napenda kuongezeapo kidogo tu ili kunogesha mapokezi ya "MFALUME TINDIKALI SULI" 1. Siku hiyo itangazwe kuwa ni ya mapumziko. 2. Wananchi wote wapenda amani tutangaziwe kubaki majumbani. 3. Serikali iwaandae vijana wake wa JESHI LA POLISI na wale waliopo kwenye mafunzo...
  4. Shagiguku

    Toka lini TAKUKURU wanatembea na SMG na AK47 na bila vitambulisho?

    Hivi hakuna mwanaNzengo hata mmoja aliyebahatika kupiga picha za video au mnato hao wakamataji wa nyalandu ili tuone hizo SMG na AK47......???? Yaaani yanavyokuzwaaaaa......!!! Teheeee teheee teheee....!!!! Najaribu kujiwazia kwa sauti tu mwanaNzengo miye
  5. Shagiguku

    Toka lini TAKUKURU wanatembea na SMG na AK47 na bila vitambulisho?

    Hivi hakuna mwanaNzengo hata mmoja aliyebahatika kupiga picha za video au mnato hao wakamataji wa nyalandu ili tuone hizo SMG na AK47......???? Yaaani yanavyokuzwaaaaa......!!! Teheeee teheee teheee....!!!! Najaribu kujiwazia kwa sauti tu mwanaNzengo miye
  6. Shagiguku

    TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

    Ndugu zangu wananzengo wenzangu wa Tanzania, na hususani wana JF tumepatwa na msiba. Mwana-Jamii Forum mwenzetu kennedy lufulondama hatukonaye tena duniani. Amefariki jana majira ya saa 1:00 jioni. Taratibu za maziko zinaandaliwa huko Mkula Simiyu.
  7. Shagiguku

    Mwanza, nina kadi moja ya bure kwa ajili ya kuhudhulia show ya Paul Clement

    Nipatie miye hiyo kadi, nipo buswelu +255758380076 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Shagiguku

    Vitisho kwa Maafisa wa Elimu.....!

    Ndugu zangu wanaNzengo wa Tanzania popote pale mlipo duniani habari zenu.....!!!!? Ama baaada ya salaaamu, napenda nishirikishane na ninyi mambo machache hapa kupitia kipande hiki kidogo cha video. Katika hii picha ya video anaonekana na kusikika mtu mmoja akiongea na maafisa elimu (sina...
  9. Shagiguku

    Nakerwa na masharti ya kuingia hospitali ya Bugando

    MwanaNzengo ili usikereke ACHA kwenda hospitali ya rufaaa ya Bugando. Vinginevyo anzisha hospitali yako ya bugando ambayo haitakuwa na utaratibu huo unaokukera! Period....!
  10. Shagiguku

    Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    Kama hujui kuripoti au kutoa taaaaarifa kwenye mitandao ya kijamiii bora usiwe unapost tu! Hueleweki.....!
  11. Shagiguku

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Anayetafuta ama anayetaka king'amuzi cha startimes tafadhari anitafute in-bobo! nitampatia buReeeee kabisa, nina miaka kama minne hivi sikitumii nimekifungia tu kwenye boksi. Tido Mhando alinihamasisha na kuniaminisha kuwa baada ya muda mfupi startimes kitakuwa king'amzi bora chenye channel za...
  12. Shagiguku

    Leo ni Kumbukumbu ya kifo cha Tx Moshi William

    Tangu jana nipo hewani na Rajabu Zomboko radio One tukimuenzi TX Moshi William, na leo tunaendelea tena usiku kumkumbuka kupitia radio one. Baadhi ya nyimbo zake nipamoja na: 1. Amida 2. Kilio cha mtu mzima. 3. Cheusi Magala. 4. Queen Cathe. 5. 6. 7.
  13. Shagiguku

    Ningekuwa mimi ndiyo mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela...!

    Habari za leo wanaNzengo wenzangu wa Tanzania popote pale mlipo duniani. Ningekuwa mimi ndiyo mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela Ningeitengeneza barabara ya kutoka jengo la ofisi ya mkuu wa wilaya kuelekea shule ya msingi Lukobe kupitia mtaa wa Buteja kwa kuanzia na kiwango cha...
  14. Shagiguku

    Kwanini Rais hajawapa pole Clouds?

    Kwa nini awape pole!!!??? Kama ni suala la urafiki, hata makonda ni rafiki yao (hao klouds) na wao jana wamekiri hilo. Mbona hata yeye sasa rafiki yao hajawapa pole kwa yale yaliyotokea??? Kwani hili ni tukio kubwa kiasi cha kuonewa huruma na kupewa pole na kila mtu!!!?? Mbona rais mstaaafu...
  15. Shagiguku

    Kwa Mkurugenzi Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela - Mwanza

    Tuuunganeni kwa pamoja wakazi wa Buswelu Majengo mapya, Nyamadoke, Ilalila, Buteja, Buyombe, Kigala, Bujingwa, Mbogamboga nk kwa kupiga kelele kila siku humu JF ili mkurugenzi asikie kelele zetu. Namfahamu mkurugenzi ni member humu na hizi post anazisoma saaaana, hivo kwa pamoja tutamfanya...
  16. Shagiguku

    Kwa Mkurugenzi Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela - Mwanza

    Habari za leo wanaJF Ndugu yangu mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela Mwanza, kama mimi ningekuwa ndiyo weye (Mkurugenzi wa Manispaa Ilemela) basi ningemuagiza mhandisi wa manispaa kushughulikia barabara ya National hadi wilayani kwa kujenga mitaro imara ya kusafirisha maji. Na...
  17. Shagiguku

    Baba yangu Askofu Kakobe upo wapi?

    Jamani wanaNzengo wa Tanzania, napenda kuuliza. Je, yupo wapi mtumishi wa Mungu Mchungaji KAKOBE....!!!!!!????
  18. Shagiguku

    Vita ya Dawa za Kulevya: Steve Nyerere alivyopiga kambi Bungeni Kumuokoa Wema Sepetu

    Ndugu zangu wanaNzengo wa Tanzania, nina tu-swali tuchache tu hapa. Binti "msanii" Wema ametuambia kuwa "Yeye hajahama CCM kwa hasira eti kutokana na sakata linalomkabili la kuhusishwa na "matumizi ya sembe." Bali amehama kama mtu mwingine tu wa kawaida anavoweza kuhama kutoka chama kimoja...
Back
Top Bottom