Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.
Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.
Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.
Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi...
Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu.
ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya.
Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi.
Thierry Henry alimuuliza Pep Guardiola ni timu gani Bora kwake aliyotwaa nayo mataji matatu kwa msimu kati na Manchester City na Barcelona. Hichi ndio alichojibu Guardiola.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya...
Mwanariadha wa zamani wa Olimpiki mwenye ulemavu wa miguu, Oscar Pistorius ameachiwa huru leo kwa msamaha nchini Afrika Kusini baada ya kukaa gerezani kwa takribani miaka 11 kwa kosa la kumuua mpenzi wake, Reeva Steenkamp.
Alimpiga mpenzi wake risasi kadhaa kupitia mlango wa bafuni mwaka 2013...
Naangalia kombe la Dunia la Wanawake hapa, michuano inayofanyika kwa ushirikiano wa nchi mbili ndugu, New Zealand na Australia. Mchezo wa kwanza New Zealand kashinda 1-0 dhidi ya Norway, sahizi ni Australia na Republic of Ireland.
Timu za taifa zinatumia jezi zenye rangi ya bendera yao, lakini...
Sisi wakongwe kidogo wakati mieleka inaanza kuoneshwa ITV miaka ya 1995, kuna mwamba. Lawrence Wendell Pfohl (born June 2, 1958) better known by the ring name Lex Luger sasa katimika miaka 65.
Ingawa dola ndiyo sarafu kuu katika biashara ya kimataifa duniani kote, vita vya Urusi na Ukraine vinaashiria hali mpya. Hiyo ni, China na Urusi zimekuwa zikifanya kazi katika kudhoofisha utawala wa dola ya Marekani.
Vikwazo dhidi ya Urusi kutoka Marekani na Umoja wa Ulaya vimekuwa na athari...
Kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete nilitembea sana na nikafika nchi niliyokuwa na hamu nayo sana kufika ili nijionee ukweli wa hali halisi, Colombia.
Nilifika Bogota nilikaa siku 14 baadae nikaenda miji ya Cartagena na Medellin, aisee zile muvi za kihuni za Marekani nilifikiri ni uongo, kumbe...
Huwa najiuliza marais wa Africa ikiwemo Tanzania hatuna uhusiano na nchi za Latin America?(America Kusini). Nakumbuka Jakaya Kikwete aliwahi tembelea Brazil lakini sio nchi kama Paraguay, Colombia, Argentina, Ecuador, Venezuela, Chile na nyinginezo.
Na pia marais wa huko ni kama hawana time na...
Nilifika Songea nikaaa bar moja inaitwa Serengeti, mhudumu aliyekuwa ananuhudumia nikamuona anazungumza na dada moja mzuri sana. Yaani mzuri elewa hivyo.
Nikamuita nikamwambia yule dada uliyekuwa unazungumza nae nimemuelewa niitie, akasema yule ni mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo ni mwalimu...
▪︎Raphinha: 🗣 "Mashabiki wa Argentina wanamchukulia Messi kama mungu, Mashabiki wa Ureno wanamchukulia Ronaldo kama Mfalme, huku mashabiki wa Brazil wakishangilia Neymar kuvunjika mguu.
Inasikitisha sana, kosa kubwa katika maisha ya Neymar ni kuzaliwa Brazil. Nchi hii haistahili hiki kipaji...
Barcelona yafungua kesi Mahakami kupinga usajili wa Lionel Messi kujiunga na PSG, wakidai klabu hiyo haiwezi kumsajili mchezaji huyo kutokana na rekodi mbaya ya mapata na matumizi ya klabu hiyo, ambapo wanaamini wakifanya hivyo watavunja kanuni ya Financial Fair Play.
Mawakili wa Barcelona...
Ikiwa imeaanza kwa kusuasua kwenye michezo wa Olympic, Marekani imetwaa kwa mara ya nne mfululizo medali ya dhahabu kwenye michezo ya Olympic kwa kuifunga Ufaransa 87 kwa 82.
======
Team USA secured a fourth straight Olympic gold medal as they beat France 87-82 in Tokyo.
It was the second time...
Huwa najiuliza sana, Mamba anakula nyama na Kiboko anakula nyasi, lakini wanaishi sehemu moja. Kwa tabia ya Mamba anakula mnyama yoyote anayekatiza mbele yake. Sasa mbona hamtafuni Kiboko na yuko nae muda mwingi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.