Tume imeanza kutangaza matokeo halisi ya urais kutoka kwenye majimbo kadri wanavyoyapokea, ambapo hadi sasa tayari matokeo ya majimbo matatu yameshatangazwa yakionyesha John Pombe Magufuli anaongoza.
Kwa upinzani makini ni wakati mwafaka muwe mnatoa tathimin ya matokeo hayo. Tathmini yenu...
Wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010, aliyekuwa Mnadhimu wa Jeshi hilo Luteni Jenerali Abdulahman Shimbo aliitisha mkutano na waandishi wa habari na kuvitaka vyama vya siasa kutokugomea matokeo ya uchaguzi kwa madai ya kulinda amani ya nchi.
Kauli ile ya Shimbo ilichukuliwa na wengi...
CCM imetekwa na vijana wasiokijua chama wazee na waasisi hawathaminiwi, vijana wameachwa wafanye wanachotaka, Nape anawatukana wazee kina Lowassa hata hakemewi Makonda anampiga ngumi mzee Warioba kesho yake mwenyekiti wa chama anampa u DC kuna chama hapo?
Ndugu wanajamvi,
Najaribu kuangalia na kulinganisha utendaji kazi wa vyombo hivi vitatu muhimu vya serikali.
Jana tumemsikia IGP Mangu akikiri kuwa ni kweli kuna baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wameripotiwa kufanya uhakiki wa vitambulisho kwa askari wake kujua iwapo wamejiandikisha...
Kuomba hifadhi haina maana ya kupata msaada 'physical benefit' tu bali kuuanika utawala dhalimu unaojificha chini ya kivuli cha amani, utulivu na demokrasia ya vyama vingi huku matendo yao yakiwa ni kinyume kabisa, faida nyingine ni ku-draw attention kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa...
Kwanza, ukiangalia kwa umakini lile bomu lililenga kumuumiza au kumuua kabisa Mbowe na ukirejea sms ya mkuu wa mkoa Arusha kuwa atamtafuta Lema kwa njia nyingine, basi utakubaliana na mimi kuwa anaweza kufanywa chochote na serikali hii.
Pili, kujisalimisha kwenye balozi si woga bali ni strategy...
Sote tunajua uhasama uliopo kati ya Jeshi la polisi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na sote tumesikia matamshi ya pande zote mbili:
Kuwa, CHADEMA wanawatuhumu polisi kuhusika na ulipuaji bomu Arusha trh. 15/6/2013, na kuwa mara kwa mara polisi wamekuwa wakiingilia uhuru wa wananchi...
Chama cha Mapinduzi kimeitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kujadili rasimu ya katiba.
Kufanyika Jumatatu ijayo
Kinana: Hatuungi mkono rasimu kwa asilimia 100
=======
*Yaitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu
*Mapendekezo ya Serikali tatu yazua jambo
HATUA ya Tume ya...
Mkongwe wa siasa nchini, Samuel Malecela, ambaye amepata kuwa Waziri Mkuu na Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, amesema ni uonevu kwa Bunge kutaka kuwachukulia hatua wabunge wa upinzani kwa madai ya kufanya vurugu.
Akitoa maoni yake kuhusiana na mwenendo wa siasa na uendeshaji wa shughuli za...
Mkuu Mzee Mwanakijiji nakubaliana na wewe kwa asilimia 100, kinachoonekana CDM haikutegemea kupokea wanachama wengi kiasi hiki. Lakini cha ajabu hatuoni mikakati inayofanyika ya kuwalea, kupokea ni rahisi lakini kuendelea kuwatunza ni kazi. Kila leo tunasikia mikutano ikifanyika lakini...
kindafu
Asante kwa topic yako, binafsi niliwahi kuanzisha thread ya aina hii yenye heading 'CHADEMA haijajiandaa kuunda serikali' ikaondolewa. Lakini nilitegemea kujadili hasa juu ya sera ya majimbo ambayo CDM inatarajia kuitumia kuunda serikali endapo itafanikiwa kuingia madarakani. Tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.