Search results

  1. L

    kumbu kumbu mjarabu

    Umenikumbusha mbali.sana.Mnazimmoja enzi hizo? Kumbukumbu nzuri sana
  2. L

    Katibu mkuu Wizara ya Afya aitwa Ikulu

    Mbona nasikia mkuu kaenda majuu? Aenda onana na nani?
  3. L

    Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"?

    Mtu makini watu hawamtaki kwanini? Membe anafaa sana
  4. L

    T.C.R.A Wanatumaliza; TiGO Nao Wanatunyofoa Ngozi, Chukua HATUA

    Kweli kabisa tigo wameshiba mapesa huduma hakuna tena.Customer care wanatia kichefuchefu pamoja na kulipia hako ka mia hawapokeiwanakuwekea matangazo yao na music masaa hata manne.Ukinunua muda wa maongezi kwa tigo pesa nayo tatizo wanakata salio lkn huo muda wa maongezi hupati.Kama unadharura...
  5. L

    UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

    Dunia kwishineiiii! Mambo gani tena wanatuletea? Ukimwi walileta bado watesa haitoshi tu? Babu zetu walifaidi sie mmmh!
  6. L

    obm n dghter

    Kabisa mtoto kakubali
  7. L

    Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    Pole sana kiongozi mchango wako kwa taifa hili bado twauhitaji.Get well soon.
  8. L

    Ajali ya kutisha: Zaidi ya watu 40 wahofiwa poteza maisha!

    Poleni wote mliopoteza ndugu na jamaa
  9. L

    Kumbe kupima ukimwi si mchezo !!

    Kabisa hasa mara ya kwanza lazima jasho likutoke.Yahitaji ujasiri wa hali ya juu
  10. L

    Kumbe Bi Siti Mwinyi Ndo Mmiliki Wa Mv SPICE ISLANDER,

    Hivi ugumu uwapi kumfahamu mmiliki tu jamani? Mwenye uhakika atubarishe jamani
  11. L

    Ajali ya Meli: SMZ yakataa misaada ya VODACOM

    Vyombo vya usafirishaji abiria vyote vichunguzwe
  12. L

    mliopitia boarding hii haikua form one ila bomu 1

    Boarding school noma.lakini inafundisha maisha haswa
  13. L

    VIDEO - Wanawake Waiba Bia na Kuzificha Kwenye Nyeti...

    Mambo ya kiu hayo kiu haina adabu kabisa
  14. L

    Picha itakayomsuta JK na wabunge wake mamilionea.....

    Kazi ipo miaka hii mambo haya du!!
  15. L

    Sijui ni b unge lipi linalofanya kazi hapa........

    Mwili mkubwa wahitaji mapumziko.Mbinga magharibi walipata kijana shupavu wakampuuzia inakula kwao sasa
  16. L

    President Obama's Trip to Ireland and England....

    Ahsante kwa picha huchoki kuziangalia.Obama bonge la rais naona wazungu hawaamini mpaka leo ni kiongozi wa kuigwa.Toa na ile ya uingereza akiwa na cameron wakifanya mambo fulani ya michezo ili marais kula kulala waone
  17. L

    Jinsi Osama alivyokamatwa while Obama watches from The Situation Room

    Ubishi wa nini? Lazima tukubali marekani taifa kubwa pia hawakurupuki kutoa tamko kama hapa kwetu tz. Tumeona obama alivyochelewa kutoa tamko jiulize sababu nini?Alitaka aseme kitu chenye ukweli.
  18. L

    Sir Elton John and David Furnish's Baby Boy!

    Hili jamaa lina heshima sana kwao lkn haya mengine mmmh! Ni tamaduni za kishenzi.Namuombea huyo mtoto ajepata akili tofauti aje tanua hayo mapesa.Kwani zipo za kutosha na si ajabu ataachiwa urithi wa kutosha.
Back
Top Bottom