Search results

  1. F

    Katiba ibadilishwe? Kikwete awe Rais wa Maisha!

    Makuzi ya akili za watu yameambatana na mazoea, hali inayokwamisha maendeleo na ukosefu wa amani ndani ya nchi kwa maana muda wote watu hawa, hawawezi kujiamini bila kuona kile walichokizoea.
  2. F

    Katiba ibadilishwe? Kikwete awe Rais wa Maisha!

    Mzozo mwingi umezuka kwa wenzetu wa Tanzania Zanzibar wakidai kuvunja katiba ili Rais alioko madarakani aendelee kuwaoongoza.Haiwezekani kuvunja katiba kwa sababu ya interest za wachache na kwa gafla kias hicho tafikiria kwamba watanzania hawafikiri.Swala nikwamba wanapaswa kujipanga nakujiwekea...
  3. F

    Form za mikopo - heslb

    HESLB, Mkulima amekosa pesa ya kunulia jembe ,ameuza shamba ampeleka mtoto shule, sasa hajui atalima wapi siku akipata jembe.Je pesa ya kulipian fomu za mikopo atoe wapi?. Maoni muwezeshe huyo mtoto wamkulima ili aje aikomboe jamii hiyo ilyo katika mbaya.
  4. F

    Hivi nje ya HESLB nani anaweza dhamini elimu ya juu nchini?

    HESLB ,ushauri wangu ni kwamba kwa wale wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo wapewe 100% ili kuwawezesha kupata elimu bora na isiwe bora wapate elim.
  5. F

    Hivi nje ya HESLB nani anaweza dhamini elimu ya juu nchini?

    Si waaliki kuwa watu wa kusoma tu na kuyaacha bali nawaalika kutafakari kwa kina kisha kutekeleza kwa vitendo. HESLB ,MAENDELEO ya Tanzania yanategemea wasomi wa hali ya juu ili kupambana na mwendo wa kasi wa sayansi na teknologia .Watanzania walio wengi hawawezi kumudu garama za kupata elim...
  6. F

    I'm new here

    :D hello I am Fabian Donatus,I enjoy much to join with this jop of Great Thinkers. Thank you very much for you registration,byee.
  7. F

    I'm new here

    Najiunga na kijiwe cha wasomi wenye nia na malengo ya dhati ya kuwakomboa WATANZANIA kifkra.
  8. F

    I'm new here

    Asanteni sana Watanzania wenzangu kwa ukaribisho wenu, nami nifurahi kujiunga nanyi . Niaminicho ni kwamba FIKRA zenye malengo mema mwisho wake huwa ni ushindi,na fikra hizi husongwa na mwandamo wa vizuizi lakini si kitu.
Back
Top Bottom