Search results

  1. GreedyKenyan

    Malaika anayetajwa katika Ufunuo wa Yohana 9:11, ni nani haswa? Je kupatwa kwa jua Aprili 2024 kunahusiana na malaika huyu?

    Hicho kitabu kizima cha ufunuo wa Yohana hakistaholi kuorodheshwa kwenye biblia. Ni miixer ya ndoto pamoja na imaginatove thinking. Kinatisha sana na maja nyinyi hutumuwa na wahubiri mwenye itikadi kali na doomsday conspiracies. Mara wadai 666 is the sign of the beast.
  2. GreedyKenyan

    Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

    Hamna documented record ya chatu wa Africa (Rock python) kumeza binadamu. Ila reticulated python ambao wanapatikana bara Asia (na ni wakubwa kushinda wale wa Aftica) ni kawaida kumeza binadamu kule Indonesia na nchi zingine.
  3. GreedyKenyan

    Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

    Vyote ulivyitaja havijalishi, kuna wanaume wengi wanafwatilia mpira out of peer pressure na sio kwamba ni wapenzi wa mpira. Mradi unaipenda mbunye wewe ni mwanaume kamili.
  4. GreedyKenyan

    Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

    Al Shabaab, Boko Haram, sijui Islamic state West Africa sio waarabu ila wamawaua wakristu kwa jina la huyo Allah wenyu. Tunawachukia waislamu kwa sababu hizo sio kwa sababu ya waarabu.
  5. GreedyKenyan

    Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    5th Freedom allows an airline based in country A to uplift passengers or cargo from country B to country C without going back to their hub i country A. Eg KQ currently operates flights from Kigali to Bujumbura, in reciprocation, Kenya has allowed Rwandair to operate from Mombasa to Dubai. Kenya...
  6. GreedyKenyan

    Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ndio hao kondoo wa TB Joshua wameanza kujitokeza
  7. GreedyKenyan

    MSAADA: Pesa ya Morroco, Dirham inabadilishwa Tanzania?

    Zanzibar washenzi, mwezi wa Agosti nilitembea huko benki zote zilikataa kubadilisha hela za Kenya, wakasema wao wanachukua Dola tu, Euro na Sterling Pounds. Ilibidi nimtumie jamaa mmoja pale sokoni.
  8. GreedyKenyan

    Kero katika stendi kuu ya mabasi Dodoma

    Mimi sio MTZ ila nimeangalia exchage rate ya USD to TSHS online. Yaani unaanzisha uzi kwa sababu ya 0.12 USD? Shilingi kumi na nane za Kenya? Kazi ipo.
  9. GreedyKenyan

    Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

    Mbona huku 🇰🇪 ni kitu cha kawaida. Msimu wa Krismasi foleni huwa kubwa sana za watu kurudi vijijini (sisi tunaita mashambani). Sio kabila moja huku kwetu.
  10. GreedyKenyan

    Ukikua kiumri taste ya baadhi ya aina ya chakula inapotea ama nini?

    Nikikumbuka jinsi nilivyokuwa napenda mkate, siku hizi hata hamu sina.
  11. GreedyKenyan

    Kwa situation ambayo napitia, hakika uchawi upo

    Mbaazi akikosa kuzaa........ Acha fikra za kipuuzi tupe total ya mapato na matumizi yako ya kila mwezi tukusaidie kubudget. Yaani utoke TZ hadi nchi za nje halafu badala ya kutumia fursa unaanza kusingizia uchawi?
  12. GreedyKenyan

    Nawakumbusha tu zimebaki Siku 4 tu ili JWTZ waanze Msako wa Nguo zinazofanana na Sare zao Majumbani na Mitaani

    Wenye sare za jeshi, chungeni msije mkapatana na haya https://m.youtube.com/watch?v=YOJUB01u0k0&t=96s&pp=ygUabmFpamEgbWFuIGFuZCBhcm15IHVuaWZvcm0%3D
  13. GreedyKenyan

    Nchi zenye Bendera zinazofanana

    Australia, New Zealand na Uingereza.
  14. GreedyKenyan

    Hii Imeenda: Aliyeua kwa upanga ameuawa kwa bunduki

    Huoni kuwa ni maigizo? Wanajaribu kuiga Ebru TV ya Kenya.
  15. GreedyKenyan

    Babu yangu ametimiza Miaka 100, ameshajiandalia vifaa vyake vya mazishi

    Babu yangu aliaga dunia mwaka 2017 akiwa na miaka zaidi ya tisini. Boma lake kulikuwa na miti mingi sana ya asili na alipiga marufuku mti usikatwe hata mmoja akisema hataki waombolezaji kwenye msiba wake wahangaishwe na miale ya jua.
  16. GreedyKenyan

    Ahukumiwa kwenda jela miaka 4 kwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na jirani yake

    Huku Kenya ukifungwa jela, watahesabu kuanzia mda uliokaa rumande. Kwaio huyu angeachiliwa kwa sababu tayari keshamaliza miaka 7 rumande.
  17. GreedyKenyan

    Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana

    Kenya kuna uhuru wa mahakama sio kama TZ. Mahakama kuu ilitoa uamuzi kuhusu haki za mashoga ila hilo halimaanishi kwamba Kenya imekubali. Tayari rais amesema licha ya kuheshimu mahakama, yeye binafsi hakubaliani.
  18. GreedyKenyan

    Muonekano wa sayari ya Saturn ukiwa na baadhi ya Miezi yake kadhaa

    Sii Saturn pekee ambayo ni sayari yenye rings ila hivo rings za Saturn ni kubwa kushinda rings za sayari nyinginezo. Jupiter, Saturn, Uranus na Neptune pia zina hizo rings ingawa hazionekani vizuri.
  19. GreedyKenyan

    Kubadilisha gia angani kwa NECTA na maajabu Kemobos

    Huku kwetu, baraza la mitihani KNEC pamoja na wizara ya elimu zilifutilia mbali kuorodheshwa kwa shule pamoja na wanafunzi kitambo sana. Sababu kuu ni hizo hizo za NECTA, kupigia shule promo, walimu kuzidisha ushindani hadi kutumua njia za mkato ilmradi shule zao ziongoze. Hata hivyo, vyombo vya...
Back
Top Bottom