Search results

  1. JOYCE PAUL

    Naombeni msaada wa tiba ya kuongeza damu kwa haraka kwa njia asili

    Naombeni msaada jamani kwa mtu anayefahamu njia bora ya asili ya kusaidia mtu kuongeza damu mwilini kwa haraka bila kutumia dawa za hospital.
  2. JOYCE PAUL

    Msaada wa kuziba ufa kwenye kwenye kioo cha gari

    Wajukuu, Naomben Masada. Hivi kioo cha gari kikipata minor crack hivi hamna utaalamu Tz wakuunga ili nisisnunue kioo kipya?
  3. JOYCE PAUL

    Nitawezaje kupakua vitabu online bila malipo ?

    Polen na majukumu wana jukwaa kwa heshima na taadhima naomba mtu mwenye utaalamu au link ya kuweza kupata vitabu vya masomo ya sayansi jamii anisaidie ili niweze ku download maana nasikia kuna watu wana huo utaalamu.asanteni sana
  4. JOYCE PAUL

    Msaada kwa anayejua kutumia connectfy me kwa ajili ya kupata wi-fi

    Naombeni msaada jamani kuhusiana na application inayoweza kunisaidia kujirushia wi fi kutoka kwenye kompyuta yangu kwenda kwenye simu ya android na computer nyingine,nilikuwa natumia connectfy me ila sasa inataka nilipie ili niendelee kutumia, najua kuna watu wana ujuzi wa masuala haya...
  5. JOYCE PAUL

    Msaada tutani....kwa anayejua masuala ya hisa za precission air.

    Nilinunua hisa za precision air mwaka 2011 walipotangaza kuziuza kwa mara ya kwanza. Ila mpaka leo sijawahi pata barua yoyote wala kuwasikia hawa precission air na sijui naanzia wapi ili nijue kama nina faida au imekula kwangu? Msaada tafadhari kwa anayejua.nawatakia kazi njema
  6. JOYCE PAUL

    Msaada wataalamu wa ujenzi,natafuta mbao za kuezekea kigae

    Wanajamii samahani kwa usumbufu, naomba msaada kwenu ndugu zangu naomba msaada nataka kuezeka nyumba na vigae vya mbezi tiles shida yangu sijui mbao nzuri ,na mafundi nimejaribu kuongea nao wananiletea bei tofauti na maelezo mengi nisiyoyaelewa,naomba mnisaidie mbao nzuri ntapata wapi?
  7. JOYCE PAUL

    Heko kwa dk. Benson Bana, Asiyetaka posho laki tatu akae pembeni

    Katika kipindi cha radio one cha kumepambazuka leo kaojiwa dk benson bana kuhusiana na madai ya kuongezewa posho kwa wajumbe wa bunge la katiba.kwa maoni yake ni kwamba mjumbe anayeona posho n ndogo basi aandike barua kuwa akubaliani na posho ya laki tatu na aachie ngazi wanaoweza pokea laki...
  8. JOYCE PAUL

    Usikurupuke kuna siku utakutana na hii...

    ujumbee huu umfikie young master na wenzake...
  9. JOYCE PAUL

    Ubunifu wa ccm

    Kazi kwenu kutiririka....
  10. JOYCE PAUL

    Dokii, msanii wewe umechemshaaa

    Jamani leo nimejaribu kuchungulia nione kizota kuna ni pale nikamkuta msanii dokii akitoa burudani.yaani nilifadhaika sana na mfadhaiko huo uliniacha na maswali mengi pia..huyu dada alikuwa akikata viuno kama hana akili nzuri mbele ya viongozi wa taifa wenye imani tofauti haswaa za kidini ambao...
  11. JOYCE PAUL

    Umeme umekatika wakati naangalia bunge..ni hujuma au?

    Bunge likiwa limeanza kunoga gafla umeme umekatwa sasa je ni mpango maalum au?
  12. JOYCE PAUL

    Mapenzi nomaaaa...haya tena wana ndoa..

    Yako wapi mapenzi yenu ya mara ya kwanza mlipokutana hadi mkaamua kufunga ndoa..halafu mwisho wa siku ni kukatana mapanga?jamani hii akili au?si bora muwe ma senior bachelor kama uwezi as ndoa nayo ni wito..unyanyasaji huu kwa wanawake haukubaliki kabisaaa bora muambiane ukweli na sio kukatana...
  13. JOYCE PAUL

    Tatizo la maji na kutoongezeka kwa watanzania wapya

    Mhe .lusinde akichangia hoja jioni hii" tatizo la maji linawanyima wanaume kuweza kutengeneza watanzania wapya kwani muda wakuwatengeneza watanzania wapya wao wanakwenda kuteka majii.siasa hizi jamani ,asa bora tatizo la maji liendelee maaana bila hivyo watanzania mtazaa kila baada ya miezi 9..
  14. JOYCE PAUL

    Bodi ya wadhamini muhimbili ni kina nani?

    Jamani wana jamvi naomba kwa wale mnaojua mnijuze bodi ya wadhamini hospitali ni akina nani na wamewekwa na nani?na je ni madokta au?kwa majina yao tafadhari mtu anayeijua hiyo bodi na tuchambue cv zao...
  15. JOYCE PAUL

    Tigo tigo tigo wizi huu mpaka lini?

    JAMANI NISAIDIENI NATAKA KUJUA HII KAMPUNI YA TIGO INAYOIBIA WANANCHI WA TANZANIA inamilikiwa na nani huyo jamani,maana kampuni ni weziiii sijapata ona tena wizi wao wa wazi wazi nadhani ni zaidi ya wakoloni waliowai itawala tanganyika na visiwa vya unguja na pemba tena wanashirikiana na tcra...
  16. JOYCE PAUL

    Tbc Televisheni ya taifa jamani..........

    Jamani television ya taifa leo mmechemsha zaidi...yaani huwa hamsikilizi kwani matangazo yenu yanavyoingiliana na mashirika mengine?jirekebisheni kama vipi ombeni msaada kwa tido mhando si dhani kama awezi kuwapa abc za bbc jamani nanyi mkadeseee.
  17. JOYCE PAUL

    Ya Zuma na ANC kama Jakaya na CCM

    TAARIFA KWA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA ZIARA YA KISERIKALI NCHINI AFRIKA KUSINI, TAREHE 18-21 JULAI 2011 1.0 UTANGULIZI Kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mheshimiwa Jacob Gedleyihlekisa Zuma, Rais wa Jamhuri ya...
  18. JOYCE PAUL

    Anahitaji msaada wako(picha zinatisha)

    Mtoto kwenye picha anaitwa justine,alipata ajali mbaya ya moto ambayo ilimuunguza vibaya kama anavyoonekana na mkono mmoja ukapukutika kabisa.aliungua kiasi cha mifupa ya fuvu kichwani kuwa inaonekana.alipata ajali hiyo tarehe 16/5/2010 huko morogoro mpaka leo hii nimekwenda kumwona khali yake...
  19. JOYCE PAUL

    Ajali mbaya ya moto(pichani anahitaji msaada wako)

    Wapendwa watanzania wenzangu kijana kwenye picha ni mtoto umri miaka 10 amepata ajali ya moto,yupo muhimbili anahitaji msaada wa chakula,fedha na matibabu kwa ujumla ni gharama.hivyo tunaomba wadau wa jamii forum kama unaweza mwende muhimbili pale mkamsaidie kijana huyu tafadhali.ANAITWA JUSTINE...
  20. JOYCE PAUL

    Dr slaaa kupewa uwaziri...

    Kuna tetesi kuwa DR JK atampa uwaziri ila haijulikani ni wizara gani DR SLAA ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya URAIS kupitia chama cha CHADEMA.kama kweli nampongeza sana MH DR RAIS JK....:israel:
Back
Top Bottom