Search results

  1. JOYCE PAUL

    Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    DUH..HATIAMYE....HONGERA ZAKE
  2. JOYCE PAUL

    Naombeni msaada wa tiba ya kuongeza damu kwa haraka kwa njia asili

    Naombeni msaada jamani kwa mtu anayefahamu njia bora ya asili ya kusaidia mtu kuongeza damu mwilini kwa haraka bila kutumia dawa za hospital.
  3. JOYCE PAUL

    Msaada wa kuziba ufa kwenye kwenye kioo cha gari

    Wajukuu, Naomben Masada. Hivi kioo cha gari kikipata minor crack hivi hamna utaalamu Tz wakuunga ili nisisnunue kioo kipya?
  4. JOYCE PAUL

    Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    k wa hili nakuunga mkono kabisa..tatizo watu wamekuwa hawamtafuti mungu kwa kusoma neno lake wao wanafata miujiza...sasa hata akili za la kwanza tu manabii na mitume walikuwa wanatoa unabii na wanatumwa...sasa hawa wanatumwa na nani na mbona unabii wao hatuuoni?ilitakiwa waseme na taifa...
  5. JOYCE PAUL

    Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

    duh hii elimu ulijifunzia sehemu au kipawa kutoka kwa mungu? iii
  6. JOYCE PAUL

    Mchumba wangu ana madeni balaa

    anakukomesha huyo..wewe kukaa unamuita mchumba miaka tisa unadhan ni sawa ?kafungeni ndoa huko...
  7. JOYCE PAUL

    Wakati Tanzania tukiwa tunashangilia kusimamishwa maofisa TRA, Kenya wanafanya hivi...

    na mimi nilitaka uliza hivyo hivyo....umeniwahi tu
  8. JOYCE PAUL

    Nitawezaje kupakua vitabu online bila malipo ?

    nashukuru sana jamani kwa msaada...asanteni ngoja nifanyie kazi hayo maelekezo..nikikwama nta wa PM
  9. JOYCE PAUL

    Nitawezaje kupakua vitabu online bila malipo ?

    Polen na majukumu wana jukwaa kwa heshima na taadhima naomba mtu mwenye utaalamu au link ya kuweza kupata vitabu vya masomo ya sayansi jamii anisaidie ili niweze ku download maana nasikia kuna watu wana huo utaalamu.asanteni sana
  10. JOYCE PAUL

    Msaada kwa anayejua kutumia connectfy me kwa ajili ya kupata wi-fi

    WEWE JE SAIDIA BASI AU HADI NJUNWA?:wacko:
  11. JOYCE PAUL

    Msaada kwa anayejua kutumia connectfy me kwa ajili ya kupata wi-fi

    HA HA HA HILI NI JINA NILAMBIWA NA MWALIMU MMOJA WA UDSM KUWA ENZI HIZO HAPO CHUONI WALILITUMIA KUWATAITA WATU WANAOSOMA MASOMO YA SOCIAL SCIENCES(ARTS) YAANI YALE YENYE NOTICE KIBAO ZA KUSOMA MFANO HISTORIA ENGLISH POLITICS NK.NA LILITOKANA NA VITABU VYA KUSOMA VYA MAREKANI NA UK VILE VYA...
  12. JOYCE PAUL

    Msaada kwa anayejua kutumia connectfy me kwa ajili ya kupata wi-fi

    Naombeni msaada jamani kuhusiana na application inayoweza kunisaidia kujirushia wi fi kutoka kwenye kompyuta yangu kwenda kwenye simu ya android na computer nyingine,nilikuwa natumia connectfy me ila sasa inataka nilipie ili niendelee kutumia, najua kuna watu wana ujuzi wa masuala haya...
  13. JOYCE PAUL

    Be aware na tamthiliya ya Be Careful With My Heart

    Umenichekesha sana dah..me mpenzi wa hiyo kitu.....
  14. JOYCE PAUL

    Picha: Usahili post ya Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji - Uwanja wa Taifa

    Idara ya uhamiaji siku ya leo tarehe 13 wanafanyia interview au usahili watu kwa ajili ya kujazia nafasi ya afisa uhamiaji msaidizi. Katika usahili huu wameiita watu elfu kumi kwa ajili ya kupata watuwatakaojaza nafasi 70 tu. Hee jamani hivi kweli waliofanya maamuzi ya kuita watu wote hawa...
  15. JOYCE PAUL

    Msaada tutani....kwa anayejua masuala ya hisa za precission air.

    nilikuwa sipo nchini kaka....kwa hiyo nikienda kwa wakala anaweza kunipa hesabu za hisa kama imekula kwangu au lah?
  16. JOYCE PAUL

    Msaada tutani....kwa anayejua masuala ya hisa za precission air.

    kuwadi unamaanisha pale niliponunulia benki?maana walinipa risiti.nilinunuloa crdb.
Back
Top Bottom