Search results

  1. MWATANI

    Je, Rais Samia anastahili tuzo ya Mo Ibrahim?

    Salaam Wana JamiiForums, Naanza andiko hili fupi kwa marejeo ya usemi usemao " Myonge Myongeni lakini haki yake mpeni" ni usemi wenye maana Pana kimantiki, Sasa ni miaka miwili ya Rais Samia tangu ashike hatamu ya uongozi wa nchi, amefanya mengi hata ambayo wahafidhina ndani ya CCM na nje ya...
  2. MWATANI

    Mwl. Nyerere aliona mbali, Rais Magufuli anaona mbali zaidi

    Sijui labda nitafiti kwanza, alafu nirejeshe majibu.
  3. MWATANI

    Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?

    Mkuu, hoja ya Paschal inaeleweka na ipo wazi kuwa ni kweli Watanzania wengi wamefurahi ndege kukamatwa, na furaha yao ni matokeo ya pengine kutosikilizwa ushauri wa wadau juu ya hizo ndege na sababu nyinginezo za kisiasa, nafikiri bandiko la P. linaeleweka wala halina uhusiano na unasaba wa...
  4. MWATANI

    Rais Magufuli, unamkumbuka mwandishi huyu?

    Wanabodi nawasalimu kwa heshima kubwa. Jioni ya leo nimetoa maoni yangu kwenye uzi wa Ng'wamapalala, unaosema '' Kwanini wanahabari wazaliiwa wa maeneo ya Kagera huwasumbua watawala nchini'' Kwenye maoni yangu nikasema wapo baadhi ya waandishi wanatoa hoja zao kwa mantiki na mrengo chanya wa...
  5. MWATANI

    Kwanini wanahabari wazaliwa wa maeneo ya Kagera ‘’huwasumbua’’ watawala nchini?

    Misingi yao ya elimu ni matokeo ya ujasiri wa kuhoji na kufanya uchambuzi wa masuala muhimu yanayohusu taifa letu, sio ukorofi wala ufitinishaji bali ni maarifa yao ya kutumia taaluma na weledi kujenga nchi katika dhana ya kuhoji. Umetaja wengi lkn nakuongezea na Deogratias Mutungi ni...
  6. MWATANI

    Ma-DED wapandishwa mabasi kwenda kushangaa reli, wawili wapigwa chini jana, yupo DED wa Mbozi

    Aliyepigwa chini ni ndugu Makwega wa Mbozi na ni Mwanahabari aliyepata kuhudumu TBC Taifa akiendesha kipindi cha habari na Muziki cha saa 12:00 jioni hadi saa moja usiku.
  7. MWATANI

    Kutengeneza noti nyingine mpya na kuzifuta za zamani kutapandisha uchumi?

    Hata Mobutu naye alichapisha noti, na juzi mzee Denis SSasongweso kafyatua manoti mengi tu, ngoja nasi tufyatue manoti pengine itapendeza.
  8. MWATANI

    Clouds 360 waipitia bajeti ya msiba wa Akwilina, wasema ni kubwa watoa pendekezo

    Si vema kuijadili bajeti ya marehemu kulingana na mazingira ya kifo chake, lkn ifahamike kuwa hii ni bajeti elekezi kutoka serikalini, kumekuwepo na vikao vya pande zote mbili serikali na wawakilishi wa familia kuona ni jinsi gani wanaratibu jambo hili kwa busara zenye fidia ndani yake. Media...
  9. MWATANI

    Je, TISS mnawashauri nini Watanzania ikiwemo watumishi wa Serikali hasa baada ya CIA, FBI NSA nk kugutuka?

    Tuibiwe nini sisi, taifa limekosa dira tumewekeza kwenye sera na falsafa mpya za kupoteza mabilioni ya pesa za wanyonge kwa marudio ya chaguzi ndogo kwa kisingizio cha "Democracy". America, China na nchi za Magharibi awana mpango na kudukua mambo yetu, si kwamba awawezi wanaweza sana ila wanajua...
  10. MWATANI

    Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

    real G Musiba najua unachokitafuta najua dhamira yako ya kutafuta cheo kwa gharama yoyote, usijenge hoja kwa ujumla wa sisi watanzania bali jenga hoja kwa sisi wasaka tonge, uliwahi kusema "wamenisahau hata ukurugenzi" Yatosha sasa kutafuta cheo kwa mgongo wa kunajisi katiba, Mr. President...
  11. MWATANI

    Magufuli kutawala kurasa za mbele za magazeti, Je anastahili hata kama hazina impact, au wahariri wanajipendekeza?

    Tunao Wahariri ambao wanajulikana kwa jina la "Butcher Editor" wengi wao ndani ya newsroom wapowapo tu ndo maana wakati mwingine tasnia inaonekana "Mdobwedo" while not kinachoitajika ni kuwapata Wahariri wenye ujuzi, weledi na umakini kwenye taaluma. Ifahamike kuwa Journalism ni Professional...
  12. MWATANI

    Kwa mwendo anaokwenda nao Rais Magufuli, upinzani unakufa kifo kitakatifu.

    Tunahitaji kuwa na upinzani imara wenye dira madhubuti ya kupigania maendeleo ya kitaifa kwa nyanja zote ikiwa ni pamoja na uchumi, kubomoa upinzani na kuimalisha chama ili kurudi kwenye enzi za chama kimoja na kudumisha fikra za mwenyekiti si jambo jema kwa dunia ya sasa. Hata hivyo naamini...
  13. MWATANI

    Msekwa asema kilichotokea kwa Mugabe ni kipya

    Mkuu naheshimu maoni yako, lakini nikufahamishe kuwa kosa moja la mwanataaluma wa habari lisikufanye uichukie tasnia nzima ya habari ikiwa pamoja na waandishi wake, tunao waandishi makini, weledi, wasomi na wanaofanya kazi zao kwa utaalamu zaidi, Mkapa si Malaika kuwa kila tusi lake lina...
  14. MWATANI

    Political Capitalization: Kufuatia Kupendwa na Wengi na Kumhurumia, Je, Tumuombee Msamaha wa Rais, ili Aachiwe Huru?.

    Sheria ni msumeno, na binadamu wote ni sawa, Hakuna binadamu bora kuliko mwenzake, kilichompata lulu kinaumiza kwa roho ya kawaida lakini kwa mantiki ni haki yake aliyostahili kulingana na hatia aliyokutwa nayo na mahakama. "Eti kuonewa huruma" Kwangu si hoja, wapo wangapi Jela waliofungwa kwa...
  15. MWATANI

    Mama Anna Tibaijuka atangaza kutogombea tena ubunge, asema nchi ilikuwa inasubiri kiongozi na sio Rais

    Huyu mbunge kwa sasa ameshamuandaa kijana wake atakaye chukua mikoba yake, ni mkuu wa shule kati ya shule za huyo mama, tunafahamu mbinu na nguvu ya hela aliyopanga kuitumia kuhakikisha jimbo linabaki kwa ndugu, Prof. Atambue kuwa CCM ya ssa nitofauti na ya zama zile za uswahiba na undugu.
  16. MWATANI

    Thinking Deeply: Ilikuwaje Tundu Lissu akavuliwa nguo zote na kupewa dereva badala ya mke wake?

    Duh! hii ni hatari, bahati mbaya sijui umri wako nikiwa na maana ya wewe ni mzee au kijana lakini kama nikijana na unahoji na kujenga hoja kama hizi basi taifa, ukoo, jamii na familia zina hasara hatuwezi kuwa na watu wenye mawazo uji tukasonga mbele, kiongozi mmoja aliwai kusema tunao vijana...
  17. MWATANI

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Huyu kiumbe anayeitwa Lemutuz ni kati ya wazee wanaozeeka vibaya, hoja zake uwa niza kusikitisha licha ya kujinasibu ni msomi wa level ya juu lkn mambo na matendo yake hayana tofauti na brother Kirikuu.
  18. MWATANI

    Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.

    Mwenge ni kichocheo cha maendeleo na miradi iliyolala kwa muda mrefu katika maeneo yetu hapa Tanzania, Mwenge unaweza kuhamasisha na kuchochea ukarabati wa barabara ambayo ili sahaulika miaka hata mitano iliyopita. Swali la kujiuliza hapa ni je bajeti ya uendeshaji wa Mwenge inatoka wapi...
  19. MWATANI

    Mzee 'Mapesa', John Memosa Cheyo "Ripoti Imenitoa Machozi!. Tumepata Rais Jasiri!. Tumuunge Mkono!".

    Hili kukwepa majanga kama haya ya Makinikia tunahitaji serikal iweke mikataba wazi ili kila mzalendo asome na kutoa maoni yake kwa manufaa ya Mama Tanzania, kuendelea kuficha mikataba ni kuendelea kuliangamiza taifa na kuhalalisha umasikini usio kuwa wa lazima.
Back
Top Bottom