Search results

  1. K

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    bendi hizi hazina mfano.inasikitisha mno.maana nyimbo zilijaa mafunzo bila kusahau burudani.ukichanganya na wale watangazaji walizoziendesha,ilikuwa raha tele.kwa hivi sasa hamna kitu.fujo moja kwa moja
  2. K

    Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

    nakubaliana na listi hiyo msela.walikuwa wana sauti za kuvutia hata matangazo ya vifo utasikia bila kujua
  3. K

    Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

    kwa upande wangu waliyonifurahisha sauti zao hat ikanipa mori kusikiliza rtd ni pamoja na Halima Kihemba,Domtila urasa,mikidad mahmoud Anna Gogo,Abdallah Idrissa Majura,Yusuf Seif Nkamba,Salim Mbonde,Angalieni Mpendu,Sara Dumba,Christina Chekunegela,Charles Hillary Titus Filipo,Bati...
  4. K

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    hawa walikuwa magwij mfano hamna namkumbuka kipindi cha jungu kubwa kila jumamosi ilikuwa na mtangazaji moja maarufu.jina imenitoka kidogo
  5. K

    Nimpende nani:asha,mariam ama jenny

    penda wote amini moja.inakubalika siku hizikazi kwako
  6. K

    Mambo ya Dar at night

    dar at night,lazima nikayaone na macho yangu.kuna uhondo bila shaka.lakini ndiyo maisha,kazi adimu,mishahara ndiyo hiyo.simpondi huyu dada.ila ushauri wangu,usisahau soksi
  7. K

    Tanzania Karne ya 21;Wasichana mfunike miili yenu msije mkabakwa

    mbona hamna huruma kwa watoto wa watu.jua lilivyo kali na unalazimishwa kujifunga kama ninja.ukisikia jambo limepitw na wakati,mfano mzuri unao hapa
  8. K

    Baunsa Kaaazi kweli

    hii ni sindano tu, hakuna binadamu anaweza kuwa hivyo.nami pia najaribu kuinua lakini hapo hapana.ukisikia doping basi ndiyo hiyo
  9. K

    Rufaa ya Babu seya hii hapa

    imani tunayo bado kuwa Nguza na wanaye wataachiliwa huru.hawajaua mtu masikini.ni uonevu usiojulikana mwanzo wala mwisho.hizi sheria za shagla bagla zitatumaliza wanyonge
  10. K

    Tumetoka mbali: Unawakumbuka watu hawa na mambo haya?

    wazee hakuna aliyehifadhi sauti hizi adimu katika video ama kasseti?.maana zinashinda hata halua kwa utamu
  11. K

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    hawa ndio vigogo,yaani moyo unakuwa mzito nikiwafikiria.mimi ni mkenya lakini redio yangu wakati huo ilikuwa inashika tu rtd.kuanzia jambo hadi usiku mwema.loo.... ama kweli
Back
Top Bottom