Search results

  1. mamsindo

    Ajabu, mwizi kutoroka Mapinga kituo cha Polisi

    Tarehe 18 july majira ya saa 11.00 asubuhi mwizi alivunja dirisha na kuingia ndani kwa jirani zangu eneo la Kiharaka, Bagamoyo. Jirani walikuwa na mgeni wao kutoka Ulaya na siku hiyo hiyo muda mfupi kabla ya kuvunjiwa, mgeni alisafiri kwenda Tanga. Mwizi aliingia kupitia dirisha la chumba...
  2. mamsindo

    Vijuza kutoka ughaibuni vinawamaliza vijana wa Arusha

    Uvivu ndiyo chanzo cha haya.Vijana hawataki kujushughulisha ila wanataka kuishi vizuri.How???[emoji849]
  3. mamsindo

    Onyo: Watumishi Serikalini wanaomaliza kazi saa 9 alasiri, hii ni ''Serikali ya saa 24''

    Walipwe overtime maana muda wao wa kumaliza kazi ni saa tisa(kutokana na mkataba wa ajira)na siyo wakae bure.Kazi masaa 24?Hii kali
  4. mamsindo

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Asante sana.Nimeku pm Mtu mzito
  5. mamsindo

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Asante mtu mzito kwa jibu zuri.Nina dada yangu alikuwa anapendana sana na mumewe. Mawifi zake waliona kuwa kaka yao hawasaidii wakijua sababu ni wifi yao.Hawakujua kama misaada yote waliyokuwa wanapewa ni wifi ndiye aliyesababisha. Walidhani kaka yao ana uwezo mkubwa kumbe hakuwa na lolote.Ni...
  6. mamsindo

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Je,kwa wapenzi au wanandoa waliotenganishwa kwa mfaraka kuna uwezekano wa kurudiana? Ni namaanisha mfaraka unaweza kutenguliwa?
  7. mamsindo

    Nyumba ya kupanga inahitajika haraka

    Samahani, namaanisha 200,000:- mpaka 300,000:-, asante
  8. mamsindo

    Nyumba ya kupanga inahitajika haraka

    Bei iwe kati ya 200-300
  9. mamsindo

    Nyumba ya kupanga inahitajika haraka

    Inahitajika nyumba ya kupanga haraka jijini Dar. Maeneo Kijitonyama Kinondoni Makumbusho Mikocheni B. Mwananyamala Komakoma Aina ya nyumba: Iwe na vyumba 2 vya kulala(kimoja kiwe master) sebule jiko choo cha jumuiya Umeme wa luku inayojitegemea Maji Kwa mwenye nyumba wasiliana na 0714 686 686
  10. mamsindo

    Nyumba ya kupanga inahitajika

    Nyumba ya kupanga inahitajika kuanzia januari 2015 AINA Vyumba 2 vya kulala kimoja kiwe master bedroom Sebule jiko choo na bafu Luku ya kujitegemea MAENEO Kinondoni Mikocheni (isiwe Mikocheni A) Kijitonyama BEI: 200,000.- MPAKA 300,000.- ANGALIZO: DALALI HATAKIWI! Wasiliana na...
  11. mamsindo

    Madirisha ya Aluminium vs madirisha ya Mbao

    Asanteni wote mliochangia kwa mawazo mazuri maana mmenisaidia sana.
  12. mamsindo

    Madirisha ya Aluminium vs madirisha ya Mbao

    Asante mdau kwa ushauri mzuri maana kwasasa mbao nazo si rahisi kama zamani.
  13. mamsindo

    Madirisha ya Aluminium vs madirisha ya Mbao

    ​Asante mdau kwa ushauri mzuri.
  14. mamsindo

    Madirisha ya Aluminium vs madirisha ya Mbao

    Wana JF naombeni ushauri wenu. Je, mbali na kupendeza madirisha yapi ni bora kati ya yaliyotengenezwa kwa aluminium au mbao?Je,kwa wale wenye uzoefu,bei zake zikoje kwa aina zote (aluminium na mbao) kwa standard ya dirisha la kawaida? Nategemea kupata majibu ya kunisadia. :smiling...
  15. mamsindo

    Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Ephoria,million. hugo boss
  16. mamsindo

    Nahitaji vitenge(African print)

    Wana JF naomba ushauri kuhusu vitenge(african print) kwa wale wenye uzoefu na bidhaa hii.Nina project inayohitaji kutumia vitenge(african print) kwa wingi(kwaajili ya nguo).Tatizo nimejaribu ku-google na nimegundua kuwa kuna aina nyingi za vitenge kutoka sehemu tofauti. Awali nilidhani vitenge...
Back
Top Bottom