Search results

  1. M

    Kuna haja sasa wosia wa marehemu ukataja mali za muhusika

    wanabodi Nimekaa nikawaza hili jambo, mara zote wosia wa marehemu unajikita kwenye historia ya elimu, kuoa au kuolewa na kazi ila hazitaji mafanikio ya kimsingi kwa marehemu, its high time tubadilishe hili pengine tukahimiza maendeleo ya vitu kwa jamii zetu
  2. M

    Naomba kufahamu Car Insurer anayelipa kwa haraka hapa Tanzania

    Wakuu naomba kutoa malalamiko yangu kwa insurer X ambae amehold kutoa approval ya matengenezo ya gari yangu wakati kila kitu kipo mezani kwake wiki ya 3 hiii. Gari yangu ilikuwa na comprehensive insurance na ilipata ajali ya kawaida na imediately nilikamilisha taarifa za polisi ikiwa ni pamoja...
  3. M

    Wimbi kubwa la wasomi walioajiriwa kukimbilia biashara za nguo na viatu mitandaoni

    Wakuu salama? Kitambo sijapost hapa ila nimeona leo tuangalie upande wa pili wa shilingi; tuna idadi kubwa sana ya vijana wetu wasomi tena ambao wapo kwenye ajira iliyo rasmi lakini wakati huo huo wanafanya ujasiriamali mdogomdogo. Sioni tatizo kufanya biashara ila shida inakuja pale ambapo...
  4. M

    Amaboko ya Diamond & Rayvanny yabuma

    Wakuu sikutegemea wakongwe hawa wawili wenye medali za kimataifa kutoa song halafu isiwe hitsong. Naomba niwape pole sana WCB pamoja na fans wao, ni wakati sasa wa kujitafakari hasa ndugu yangu Rayvanny na wenzako hii sio hatua nzuri ni mbaya maana mtapanik na mwishowe mtafeli mazima
  5. M

    Serikali ina mpango gani juu ya kuwaendeleza kipekee wanafunzi wanaoongoza kitaifa?

    Wakuu nimeona nililete hapa ili tujadiliane na pengine kuishauri serikali kuchukua hatua madhubuti wanafunzi wanaoongoza matokeo mbalimbali ya mitihani ya kitaifa. Mathalani, kuna wanafunzi wameongoza mitihani ya kidato cha nne yaliyotoka juzi kwa kupata alama za juu sana kuliko wenzao, top ten...
  6. M

    Unapanda lift za magari ya watu? Hii inakuhusu

    Ndugu, ustaarabu ni kitu cha bure kabisa. Kila siku unapanda gari yangu tena nikichelewa unafanya kupiga simu “leo vipi?” Unajua fika hii gari haitumii mikojo ya punda wala maji ya DAWASCO na sheli tukiingia unakenua tu maana halikuhusu na AC unasema tuwashe na vioo tusishushe maana wewe...
  7. M

    Maumivu makali ya kichwa usiku tu

    Dear wadau, Nina maumivu makali sana ya kichwa na usiku ndio yanaongezeka zaidi. Nimeshaonana na madaktar wa kawaida na specialist na kufanyiwa vipimo hadi MRI bila nafuu. Umri haionyeshi tatizo lolote. Niliepewa dawa za antimigrain nikatumia bila.nafuu sasa natumia dawa zingine aina...
  8. M

    Mke wangu amempa mwanetu jina la ex-Boyfriend wake

    Wakuu Kichwa cha habari chahusika. Nimegundua hili baada ya kubatiza mtoto ila mtoto nafanana naye ni wangu. Tatizo hili jina linaniuma sana...
  9. M

    Red me note 7 pro inasumbua haikamati network

    msaada wakuu nipo dar sim yangu red me note 7 pro inasumbua kukamata internet ....nimeshafanya settings zote muhmu bado tu kuresett....
  10. M

    DAWASA haitutendei haki wakazi wa Goba Kinzudi Majengo

    wanazengo naomba nitoa malalamiko ya kutosha kabisa kwa niaba ya wakaazi wa kata ya Goba mtaa wa KInzudi kwa mamlaka ya maji safi DAWASA DSM...Mtaa wa Kinzudi umegawanyika sehemu ya Kinzudi- Usukumani na KInzudi Majengo...kiukweli ni mtaa mkubwa sana na inafaa waugawanye....pili lengo la kuleta...
  11. M

    China Bar salasala ndiyo habari mpya ya jiji

    ukipita hapa mchana au asubuhi ni frem tu iliyofungwa kama frem zingine za biashara...asubutuuuu pita apo kuanzia saa moja jioni na kuendelea alafu uone iyo set-up yao utazimia na roho yako.....wahudumu classic, setup nzuri ya nje na ndani...watu wazuri hakuna maboya boya yanayokunywa...
  12. M

    Foleni ya kutisha Morocco-Posta - Jan 23, 2019

    Wazee wa favor vipi huko Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Bajaji TVS King used inahitajika DSM

    Habari wakuu, nahitaji bajaji iliyo kwenye hali nzuri hapa dsm... tafadhali tuwasiliane haraka pesa ipo tyari....tafadhali utapeli ni kosa kisheria natoa tahadhari kaa mbali.
  14. M

    Matunda ya mpapai wangu yanakufa kila yakiota

    habari wakuu....mpapai wangu umekua sana na unazaa kwa sasa...ila maua yake yanashambuliwa sana kila likianza kutengeneza papai linakufa..mapapai machache sana yamesurvive..naomba kujua nipulizie dawa gani
  15. M

    Wanaume tulionyang'anya wanaume wenzetu wanawake zao tukawaoa tukutane hapa

    yes!! nilikua na uhusiano na mwanamke mmoja ivi kwa takribani miaka 6 bila moyo wangu kufikiria kumuoa wachilia mbali kumuoa....na hadi kwao nilijulikana kama sala ya bwana. all of a sudden nikaja kukutana na mwanamke mwingine (ambae ndio mama watoto wangu sasa) ndani ya mwaka huo huo nikawa...
  16. M

    maji yalivyoongeza nguvu zangu za kiume

    wakuu utafiti hupingwa na utafiti. binafsi ni mme wa mtu na baba pia, kama ilivyo desturi ya mume ni lazima utimize kukamilifu kabisa tendo la ndoa pasi na shaka!! wachilia mbali masuala ya kiuchumi nk....please forget about my ID. nije sasa kwenye ushuhuda,,wakuu nguvu zangu zilikua...
  17. M

    Low mobility ya sperms

    Wakuu inapotokea mwanaume ana low mobility ya sperms zake ..hapa nazungumzia 3% na kabla ya hapo hakuwa na shida iyo inaweza kuwa imesababishwa na nini?na tiba yake ipoje
  18. M

    TTCL yazindua huduma ya TTCL PESA

    Heading above, Uzinduzi unaendelea sasa Ofisi za makao makuu Samora na makamu wa Rais ndie mgeni rasmi.
  19. M

    TV ya BOSS ni nzuri?

    wakuu nipo kwenye mchakato wa kununua TV nzuri na nimeresearch TV kadhaa.....nimetokea kuipenda BOSS TV na nataka ninunue ya inch 50 au 55 ......specs zake nimezielewa nataka tu kupata uzoefu wa nyie ambao mmeshanunua hii brand...mapungufu na mazuri yake asanteni
  20. M

    Bati zangu zinavuja sana

    wakuu naomba msaada,,,,nahitaji utaalam wa namna ya kudhibiti bati zangu za vigae ambazo zinavuja hasa kipindi hiki cha mvua...niliwahi kuziba na silicon lakini naona haikusaidia....msaada tafadhali maana gypsum inalowekwa
Back
Top Bottom