Search results

  1. A

    Msaada please. Nitapata wapi mayai ya bata ya kutotolesha?

    Waheshimiwa sana salaam. Mimi ni mkaazi wa Dar es Salaam na hivi karibuni nimepata interest ya kufuga bata na kwa kweli nimeamua kuanza ufugaji wa bata wa kienyeji (bata maji) ila ninapenda kununua mayai bora yanayoweza kutotolewa kwa mashine na niyatotoleshe mwenyewe kisha nikuze vifaranga...
  2. A

    Biashara ya vibua mikoani

    heshima kwako mkuu. mi nahitaji, nitaku-PM number yangu. tuwasiliane please
  3. A

    Biashara ya samaki

    heshima yako mkuu. pale kimara mnada unafanyika sehemu gani?
  4. A

    Naomba ufafanuzi wa haya kabla sijaenda kuangalia mradi wa stiggler's gorge

    Angalsu umeshukuru. Nilikuwa nashangaa sana kwa kutosema asante kwa ndg Steven Nguma kwa majibu mazuri sana Na ya kina kwa swali lako.
  5. A

    Nafasi ya Kazi ya kuoka mikate

    Anachotakiwa Ni kujua kuoka mikate tu Na atajaribiwa kwa vitendo
  6. A

    Nafasi ya Kazi ya kuoka mikate

    Yes, Ni dar. Ila wa nikoani pia wanakaribishwa Na watalipiwa usafiri
  7. A

    Nafasi ya Kazi ya kuoka mikate

    Kiwanda kipo mbezi luis hapa dar es salaam Karibuni sana
  8. A

    Nafasi ya Kazi ya kuoka mikate

    Habari wana JF, Napenda kuwatangazia nafasi moja ya Kazi ya kuoka mikate kwa kutumia jiko (oven) la mkaa. Yoyote mwenye ndugu, jamaa au rafiki mwenye ujuzi huo Na aliye tayari awasiliane nami kwa namba 0629 04 47 34 haraka iwezekanavyo. Hakuna usaili wowote. Unachotakiwa kujua Ni kuoka mikate...
  9. A

    Tuliotelekezwa na baba zetu tukutane hapa

    mimi sikutelekezwa, bali alinilea kama analea "mzoga" nyumbani kwake! hakunipenda na mara kadhaa aliniambia hakuwa baba yangu, vipigo vilikuwa sehemu ya maisha yangu. mara kadhaa akishirikiana na kaka yangu mmoja. huyu kaka ilifikia mahali nikamwambia ukweli kuwa ajitahidi anipige hadi aniue...
  10. A

    Hashim Mbita alivyoleta uhuru wa Sao Tome and Principe

    hawa akina Zitto ndio aina ya viongozi tulionao leo. wanapenda kuusimulia na kuuelezea uzalendo lakini hawawezi kuutekeleza kwa vitendo. wanatufundisha waliyofanya akina Mbita, ila wao wako bize na ACT wakipambana na wapinzani wenzao. eti wanajiita wazalendo! watamfikiwa Mbita hata kwa robo tu...
  11. A

    Live updates: Uzinduzi rasmi wa ACT-wazalendo - Diamond Jubilee Hall

    jamani, mbona ukumbini siwaoni wale waheshimiwa walioahidi kuwa wangehudhuria? siwaoni 1. Prof Lipumba, 2. mjane wa Nkurumah, 3. viongozi toka vyama vya ujerumani 4. etc wako wapi? msaada tafadhari
  12. A

    maumivu sugu ya mizambwa yanasababishwa na nini?..............

    hapo penye red ndipo paliponifanya kuuliza swali hili.................... sasa tuambie mizambwa ni kiungo gani cha mwili................. na kinachofanya mizambwa yako ikuume kila siku ni nini................. huendwa ukapata hapa tiba yake..............
  13. A

    Paul Chizzi amuumbua Mwakyembe

    tutaonmgea huko huko!!
  14. A

    Paul Chizzi amuumbua Mwakyembe

    mhe4shimiwa fixed point, nakutafuta!!
  15. A

    Nimesikitishwa na Watanzania!

    duh,................. mods bado tu hawajaushtukia huu uzi??................. we masa ungetia vineno kama hivi kwenye msiba wa regia, ungekiona cha moto kutoka kwa mods.............................. beware!
  16. A

    Polisi wasalimu amri warudisha Bendera ya CDM Tunduma!

    tunduru au tunduma??.........................
  17. A

    Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

    mengine ya kuchapia.................. mfano urefu wa nchi 130 kwa penbe......................m hapo sio kweli............... halafu tembo hawezi kuswaga wanawake................... anaweza kupanda majike ya tembo tu................ hakuna mwanamke duniani anayewezxa kumhimili...
  18. A

    Dr Mwakyembe hapaswi kuhurumiwa, amevuna alichokipanda

    kusema kweli hata mimi sijaona chochote cha "maana" na cha "kukumbukwa" alichoifanyia tz.................. kama ni "kusoma" ripoti mbona hata mimi wangenipa ningesoma!!................... kusoma tu??................. hilo tu ndiyo tumkumbuke na kumshukuru na kumtukuza kama...
  19. A

    Suzan Mubarak atishia kuanika siri za Marekani hadharani!

    mi hapo ni poamenishangaza kama ni kweli............................
Back
Top Bottom