Search results

  1. Pendaelli

    Ushauri wangu kwa CCM ikikufaeni fanyieni kazi

    Ni karibu miaka 50 mpo mfululizo chama kinacho ongoza serikali, matokeo ya jumla yanaonyesha mmefeli sana. Imani ya wananchi wengi na hata wanachama wengi imeshuka sana juu yenu na karibu kila siku ndoto zinaotwa za CCM kutoka madarakani. Kwa sababu ya kuwa na nguvu ya madaraka hamtaruhusu...
  2. Pendaelli

    Nipo kwenye mchakato wa kukusanya audio clips na video clips za hotuba za Hayati Magufuli

    Binafsi huwa nikipata nafasi ya kusali siachi kumuombea pumziko jema huko alipo hayati Magufuli . Nimekuja kugundua baadhi hotuba zake nyingi zimekuwa mareje wakati huu tuliopo ingawa yeye aliongea jana! Wakati huu wa ukuwaji wa teknolojia huwenda zikaja futwa katika mitandao tukazikosa kabisa...
  3. Pendaelli

    Kuchanganya udongo wa Zanzibar na Tanganyika haiwezi kuwa ni kifungo kwetu cha daima?

    Salamu kwa wote na heri za maadhimisho ya kumbukumbu ya muungano wetu. Tuna kila sababu ya kuwapongeza waasisi wetu kwa kuwa na fikra chanya za kutaka kuungana na hatimaye ikawa hivyo. Umoja, undugu, mshikamano kwa kiasi kikubwa imekuwa sababu ya kupelekea maendeleo ya moja kwa moja kwa wale...
  4. Pendaelli

    Nimekumbuka miaka ya 1995 kueleakea 2000

    Majira kama haya wakati huo anga lilikua ni kama hivyo! Sijui ni wapi tumekosea hadi mabadiliko makubwa namna hiyo ya hali ya hewa tunayo yashuhudia sasa! Hapo kama upo mbali na nyumbani wasiwasi wake sio wa kawaida.
  5. Pendaelli

    Nijaribu kufikiria hotuba ya Hayati Mkapa kwenye msiba wa Hayati Magufuli vile ingekuwa!

    Tupo kwenye kumbukizi ya mwaka wa pili tokea kufariki kwa Rais Magufuli, tunaendelea kumtakia pumziko jema la milele. Kabla ya kufariki kwake Magufuli kulitanguliwa na kifo cha aliekuwa rais wa Tanzania mkapa , amabe kwa mtazamo wa haraka haraka walikua wanashabihiana kwenye baadhi ya falsafa...
  6. Pendaelli

    Milipuko ya mabomu Mbagala ni makosa gani ya na kibinadamu na ya kiufundi yalisababisha kutokea kwa ajali hizi

    Milipuko ya mabomu Mbagala na gongo la Mboto. Ajali zilizofuatana kwa tofauti ya miaka miwili kati 2009 na 2011. Zote mbili zilisababisha vifo vya watu 20. Hasara kubwa kwa vifaa vya kijeshi na makazi ya raia waliokua karibu na kambi hizo. Ni mara ya kwanza na pengine ya mwisho kutokea kwa...
  7. Pendaelli

    Picha zinazohuzunisha zaidi (sad pictures )

    Tumekuwa na picha nyingi zinazotutafakarisha vingi vingi, lakini tumekuwa interest zaidi na picha zenye kupendeza, kufurahisha, kuhamasisha, kujifunza na kuburudisha. Hii itakuwa thread maalum ya picha za kuhuzunisha na kutafakarisha juu mienendo yetu mibaya hapa duniani na athari zake kwa...
  8. Pendaelli

    Kati ya kununua gari na kujifunza udereva kipi kianze

    Salamu kwa wote, mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka ni kipindi cha kufanya tathmini na kuweka malengo mapya. Kufanya tathmini ya malengo ya mwaka husika kama yametimia au la, wapi kwenye makosa na wapi pa sahihishwe. Na mwanzo wa mwaka mpya kuweka malengo mapya. Ni katika muktadha huo wa...
  9. Pendaelli

    Kama umewahi kuwa wa kwanza katika jambo lolote karibu tushirikishane na kujipongeza

    Nikiwa nipo mji wa nyumbani muda huu, nimekumbuka mengi enzi za udogo wangu yenye kufurahisha na kuhuzunisha kidogo. Moja nililokumbuka na kujipa moyo kwamba bado naweza ku fight na kushika nafasi za kwanza kama nilivyo wahi kushika nafasi za kwanza nikiwa mdogo kipindi kile. Mwaka 98...
  10. Pendaelli

    Ni namna gani bora ya kushukuru?

    Salamu kwa wote. Kuna wakati kama binadamu tunakuwa kwenye uhitaji kwa namna moja ama nyingine, na mara nyingi sote tuaanzia kumuomba Mungu atusaidie mahitaji yetu, au atusaidie kutatua changamoto ilio mbele yetu kwa wakati huo. Kwa kiasi kikubwa huwa tunafanikiwa , ndio maana leo tupo ingawa...
  11. Pendaelli

    Mwezi Oktoba mwezi wa Maria

    Natumia jukwaa hili kama jukwaa linalo fikiwa na wengi kuwakumbusha wale wanao amini katika hili. Kwamba ni mwezi wa Maria tuapaswa, au tunatakikana kusali haswa rosari kwa madhumuni ya kuomba maombi mbali mbali juu ya maisha yetu kijamii na kiimani kwa ujumla. Wakati tulio nao huu umejawa na...
  12. Pendaelli

    Rest In Peace my Brother

    Ni jana tumemaliza maziko yake, alikuwa ni mtu wangu wa karibu sana kwangu kama workmate. Kwa kipindi kifupi tulichofahamiana alikuwa ni mtu mwema kwa watu wa rika lote na ndio maana wengi tulimlilia kutoka ndani ya moyo. Alikuwa ni mwenye kupenda kazi yake mpaka karibu na mwisho kabisa wa...
  13. Pendaelli

    Ni dhambi gani kubwa inayoweza kumwangusha mtu kiroho na kimwili?

    Sio mada ya kidini tafadhali. Kwa tasfiri yangu maana haswa ya dhambi ni kitendo anachokifanya hali ya kua unajua ni kosa. Hio ndio ndambi. Kila binadamu anayo dhamiri ambayo hio ndio inayomhukumu kwamba hiki ulichofanya ni kosa, ikazaliwa dhambi. Dhamiri inavyo kua active humsuta sana mtu...
  14. Pendaelli

    Kipi haswa kinachokwamisha watu wengi kukua kiuchumi

    Nimejiuliza swali hili kwa kuangalia maisha ya walio wengi nikiwepo na mimi. Kwa mfano mimi nimekuwa kwenye utafutaji walao kwa miaka 15, lakini maendeleo yangu kiuchumi hayalingani na umri wa utafutaji wangu. Ukijaribu kupata mwongozo kutoka kwa baadhi ya watu watakuambia acha pombe, acha...
  15. Pendaelli

    Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

    Alikua Ni kiongozi moja wapo ya mataifa wa afrika ambea aliwahi kuwa na utajiri wa Mali na fedha kiasi ambacho mpaka Leo hii kwa mujibu wa historia hakuna ambae amemfikia .Jina Mansa karankan Musa, kiongozi wa taifa la Mali.
  16. Pendaelli

    Upo wakati Jamhuri ya Tanganyika itarudi tena?

    Natoa Salam kwa wote waheshimiwa hapa jf. Kama mada hii itakua ni kinyume na sheria au haitakikani kuwepo naomba uongozi wa jamii forum muweze kuiondoa. Tukiwa tunaelekea siku ya mapinduzi yaitwayo matukufu ya Zanzibar, karibu miaka 57 tokea kupatika kwa Uhuru wa taifa Hilo. Na pia karibu...
  17. Pendaelli

    Matajiri wa manispaa ya Morogoro

    Hope mpo na amani na tumaini la kufukia kilele cha mafanikio. Wakati tukiendelea kupambana ili kufikia matarajio yetu Kuna wenzetu ambao ama kwa juhudi zao au za waliowatangulia wameweza kufikia walao hatua nzuri, basi kwetu tunaotazamia kufikia huko wao wana baki Kama kioo kwetu. Wakati...
  18. Pendaelli

    Kati ya dini, siasa, majanga ya asili, ni kitu gani chenye historia ya kusababisa vifo vingi vya binadamu?

    Nawasalimuni kwa heshima zote. Tokea siku ile Adamu aliposhindwa kutii agizo la mungu, Mungu alimtahadharisha kuhusu kifo cha mwili. Na tokea kipindi hiki kumekuwepo na vifo vingi vya binadamu na vyote vikitokana na sababu nyingi. Ukiachilia maradhi na uzee kuna vifo vinavyotaka na sababu ya...
  19. Pendaelli

    Ni hotuba ya Rais yupi ilikuwa bora wakati ufunguzi na ufungaji wa bunge?

    Hope mpo salama, Katika tukio la kumuapisha waziri mkuu awamu ya tano kipindi Cha pili, moja Kati ya kauli za waziri mmoja alimpongeza mh Rais kwa hotuba bora ya karne wakati akizindua bunge. Kwa kweli mimi binafsi niliweza kuisikiliza hio hotuba, nikailinganisha na ile ya 2015, Kisha nikarudi...
  20. Pendaelli

    Nisipo mtoboa mtoto wangu wa kike masikio kuna shida?

    Salam ndugu na jamaaa. Naomba kujua Kama itamletea shida akikua huyu mtoto, sikusudii atobolewe masikia Kama ilivyo kawaida ya wanawake wa kwetu. Labda anaweza kutulaumu huko mbeleni kwa vile hatukumfanyia hivyo? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom