Search results

  1. Wiston Mogha

    DOKEZO Odonyo, Mratibu wa NIDA Mkoa wa Kigoma awa Kero

    Huyu Mratibu wa NIDA Mkoa kwa jina maarufu Odoyo amekuwa akisumbua wakazi wa Kigoma kwa kuwafukuza ofisini kama wanyama, kuwanyanyasa na hata kuwatukana. Nilipopata taarifa hizo nikasema wacha nami leo niende kuchukua kitambulisho changu kisha nione namna ya kuzungumza nae kama raia mwema juu...
  2. Wiston Mogha

    Buriani Bernard Membe, Mwanademokrasia

    Buriani Bernard Membe, Mwanademokrasia Mama Dorcas Membe pamoja na wanao Ndugu Wafiwa Viongozi na Waombolezaji wenzangu Ndugu Watanzania Nimepewa nafasi niseme machache ya kumuaga mzee wangu Bernard K. Membe, ni mzee wangu sana. Nimepata tabu kutafuta la kusema kati ya mingi ninayomjua kwayo...
  3. Wiston Mogha

    Zitto: Tumekataa kuwa mateka

    ACT-Wazalendo ni chama makini sana. Mbadala wa uhakika
  4. Wiston Mogha

    Tunatoa huduma bora za usafi

    Kindly find the attached company profile and of our cleaning company. Our company was founded on the principle of warm, friendly and efficient service. Our staff knows how to get the job done and we often exceed the expectations of our clients. We offer a range of services that we believe will...
  5. Wiston Mogha

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Our company was founded in January, 2019 on the principle of warm, friendly, and efficient service. Our staff knows how to get the job done, and we often exceed the expectations of our clients. We offer a range of services that we believe will fully meet your needs, and no office is too big or...
  6. Wiston Mogha

    WE OFFER CLEANING SERVICES #MoruguCleanings

    Our company was founded in January, 2019 on the principle of warm, friendly, and efficient service. Our staff knows how to get the job done, and we often exceed the expectations of our clients. We offer a range of services that we believe will fully meet your needs, and no office is too big or...
  7. Wiston Mogha

    Wasanii Roma, Nay wa Mitego na nusura ya kifo

    Pole sana. Story tamu una kipaji na taaluma ndani yako "uandishi"
  8. Wiston Mogha

    Leo nimechukua Fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini

    Nawashukuru sana. Leo nimechukua Fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la kigoma Mjini, nikiwa nimeambatana pamoja na Familia yangu, Ndugu, Jamaa na Marafiki. Kigoma Tuitakayo inahitaji kiongozi wa kizazi kipya ambae kipaumbele chake cha kwanza iwe maslahi ya wananchi wake kwanza. Natambua ukubwa...
  9. Wiston Mogha

    Natia nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini

    Kesho tarehe 01/08/2020 nitachukua fomu katika ofisi za chama jimbo kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Kigoma Mjini. Pamoja nami nitasindikizwa na ndugu, Jamaa na Marafiki. Nyote mnakaribishwa! #PamojaTutashinda
  10. Wiston Mogha

    Uchaguzi 2020 Wiston Mogha ajitosa kwenye ubunge Kigoma Mjini

    WISTON MOGHA AJITOSA KWENYE UBUNGE KIGOMA MJINI (Kigoma Tuitakayo) Na Mwandishi wetu Ally Mahmoud Wiston Mogha amesema ameamua kugombea nafasi hiyo ya Ubunge baada ya kugundua kero nyingi katika Jimbo hilo zimeshindwa kutatuliwa. Alisema ameamua kugombea Ubunge kwa ajili ya kuleta mabadiliko...
  11. Wiston Mogha

    Livingstone Lusinde (Kibajaji) adakwa live na TAKUKURU nyumbani kwake akigawa rushwa kwa wajumbe wa CCM

    Mapema leo TAREHE 7/07/2020 ,majira ya mchana kupitia kwa wananchi wa samaria jimbo la Mtera,Livingstone Lusinde amekamatwa na Takukuru na kuwekwa chini ya ulinzi pamoja na kusitisha mkutano wake na wajumbe wa ccm, baada ya taarifa rasmi za uhakika kutoka wananchi kuwa imekuwa ni kawaida yake...
  12. Wiston Mogha

    ACT-Wazalendo ilitumika kuibeba CCM uchaguzi 2015. Abdul Nondo bado mchanga kisiasa, achunge kauli zake!

    Mogha: ACT ilitumika kuibeba CCM uchaguzi 2015. - Abdul Nondo bado mchanga kisiasa. - achunge kauli zake - aepuke kutumiwa na viongozi wa chama chake Na mwandishi wetu, Kigoma. Mwenyekiti wa NCCR mageuzi jimbo laKigoma mjini, Wiston Mogha amesema chama cha ACT wazalendo kilitumika kuisaidia...
  13. Wiston Mogha

    Thomas Msasa: Nawatakia Sikukuu njema ya kuzaliwa ACT - Wazalendo, huu ni mkono wa Kwaheri na Shukrani kwa Chama

    NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA KUZALIWA ACT - WAZALENDO. Nawatakia ACT-Wazalendo Maadhimisho Mema ya Miaka 6 tangu Kuanzishwa kwa Chama hicho, na nawaaga: Mimi Thomas Msasa ni miongoni mwa watu 6 walioandikisha Chama cha ACT-Wazalendo kilichopata Usajili wa Kudumu Mei 5, 2014. Lilikuwa ni jambo...
  14. Wiston Mogha

    Uchaguzi 2020 NCCR Mageuzi tegemeo jipya kwa wapenda mabadiliko

    #UTUitikadiYetu #PamojaTutashinda
  15. Wiston Mogha

    Kwanini nimehamia NCCR-Mageuzi na siyo chama kingine?

    Ndugu wana habari, kwa majina naitwa Wiston Mogha niliyekuwa mwanachama wa ACT- Wazalendo. Mnamo Machi 18, 2020 nilijivua uanachama wa ACT-Wazalendo na kuujulisha umma wa watanzania kupitia mitandao ya kijamii juu ya maamuzi yangu hayo. Katika andiko langu la kuujulisha umma nilieleza kuwa...
  16. Wiston Mogha

    Mwenyekiti wa Ngome ya vijana Taifa ACT-Wazalendo

    Nimeamua kuchukua fomu, ACT-Wazalendo sasa inahitaji kijana wa aina yangu. SIASA ni sayansi inayohitaji mchanganuo sahihi hasa wakati huu ambao takribani asilimia 70 ya wapiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 watakuwa ni vijana. Mwaka 2020 ni wenye matumaini makubwa kwa watanzania hasa kwa...
  17. Wiston Mogha

    Dkt. Bashiru Ally: Mjamaa anayeishi kibepari

    Dk. Bashiru mjamaa anayeishi kibepari Na Wiston Mogha IPO wapi ile akili kubwa aliyokuwa nayo Dk. Bashiru Ally? msomi aliyekuwa akikemea wazi wazi namna dola inavyovibeba vyama tawala. Leo naye amelambishwa asali ya kukaa kwenye VX na kusahau kila kitu. Huyu sio yule aliyekuwa anazungumza kwa...
Back
Top Bottom