Search results

  1. Extramiles 2010

    Regia alikuwa anaendeshaje gari? Wakati mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu?

    Wabongo bwana COMPLICATIONS kibaooo,sawali la kawaida hata mi najiuliza sasa cha ajabu nn?kwani kuna siri kama muheshimiwa Regia alikuwa mlemavu?kwani kuna tatizo gani kuuliza sasa huvi mbona misibani watu wanauliza marehemu kafaje?acheni kuleta siasa kila sehemu...wote mliokwazika ni CRAAP...
  2. Extramiles 2010

    Jinsi gani naweza kuuza business ideas/marketing ideas?

    wat if i have no capital?how can i start it?
  3. Extramiles 2010

    Jinsi gani naweza kuuza business ideas/marketing ideas?

    thanx man....roho inauma kichizi...f...k em
  4. Extramiles 2010

    Jinsi gani naweza kuuza business ideas/marketing ideas?

    Habari wadau wa forum, naomba kujua nawezaje kuuza ideas? je ni lazima niwe kwenye registered company or agency? maana ilishatokea nikaandika PROPOSAL ya kuhusu TV show na kupeleka TBC but mwisho wa siku sikupata any feedback na kibaya zaidi wanaitumia idea yangu,kuna kipindi kipya...
Back
Top Bottom